Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

Hiv wakuu ilitokea mtu katoa posa mahari ikamshinda kutoa hua nn kinafata?
 
Unaona mkee au unanunua kirikuu? Million 7? Ana Nini Cha ziada ambacho wengine hawana?? Digriii au mastaz mbona wapo wengi wenye hizo digrii na mastaz ukimtongoza ukamwambia nakuoa na Mahari ya kulipia kwao anakuchangia isitoshe hata suti anakushonea na magoti ataupiga vile vile, waachie mtoto wao wampeleke mnadani
 
Hiv wakuu ilitokea mtu katoa posa mahari ikamshinda kutoa hua nn kinafata?
Mahari unashindwaje mkuu, wakat Ile ni maridhiano yaani mnafanya bargaining mpaka mfikie hitimisho kama una Nia ya dhati kabisa unaoa licha ya mahari uliyotajiwa kuwa kubwa au ndogo
 
Mahari unashindwaje mkuu, wakat Ile ni maridhiano yaani mnafanya bargaining mpaka mfikie hitimisho kama una Nia ya dhati kabisa unaoa licha ya mahari uliyotajiwa kuwa kubwa au ndogo
Mfano unaambiwa m3 au m2 mambo yanakua mdivyo sivyo unakwama kabisa, unaweza kuchukua binti,? Nauliza tuu mkuu wala ainihusu
 
Mfano unaambiwa m3 au m2 mambo yanakua mdivyo sivyo unakwama kabisa, unaweza kuchukua binti,? Nauliza tuu mkuu wala ainihusu
Kuna jamaa yangu aliambiwa mahari M3 2016 yeye akapeleka 900k na mke akaoa na anawatoto wawili hata sent hajaongeza
 
Mil 7 duh!
Vipi, Demi, kidogo au nyingi? Maana duh unaosimama pande zote.

Samahani, wewe zilitolewa ngapi? kama hutojali!!
Maana wengine wanajumlisha na blanketi la Bibi, mkaja wa shangazi, kibembelezo cha mama, mambo kibao. Ukijumlusha ndiyo hiyo m7!!! Looh! Mabinti wenyewe hawa wa dot.com!!😀😀😀😀😀😀
 
Kuna familia walikuwa na ujenz wa nyumba ya familia,sasa binti wa mwisho akaamini akiolewa na mimi tutatoa mahali ambayo sio chini ya million 3,ukizingatia wazaz wangu wote alikuwa anawajua na walikuwa ndo wamestaafu na pesa wako nayo

Lakini kilichompata sasa,wazaz wang wakawa hawana time nae na hawatak awe na mimi na tayari nimeshamzalisha,hatimae imebidi awe mpole tu anaelea kichanga
 
Vipi, Demi, kidogo au nyingi? Maana duh unaosimama pande zote.

Samahani, wewe zilitolewa ngapi? kama hutojali!!
Maana wengine wanajumlisha na blanketi la Bibi, mkaja wa shangazi, kibembelezo cha mama, mambo kibao. Ukijumlusha ndiyo hiyo m7!!! Looh! Mabinti wenyewe hawa wa dot.com!!😀😀😀😀😀😀
Ni nyingi mno. Lkn km mtu anajiweza atoe tu
 
Ni nyingi mno. Lkn km mtu anajiweza atoe tu
Mmh! Hiyo mbususu ina chumba Cha akiba ndani yake?

Hata kama ana uwezo, kwanini kufanya Kama biashara. Hii ni rahisi kutengeneza kiburi kwa mwoaji; kwa asiyehekima haishi kutaja taja kima cha mahari wakiudhiana. Hiyo ndiyo hofu yangu.
 
Mbususu next level..haichoki
 
M 7 ni ng'ombe 10.bora ufuge hao wanyama kuliko mtoto wa mtu.
 
Milioni saba(7million) mahari?

Nadhani, Walikuwa na lengo la kukukatisha tamaa usimuoe Binti yao au ulijionesha kuwa una ukwasi wa kutosha.
Hatahivyo, kwanini hukuomba punguzo kama ulijua kuwa fedha hiyo ni kubwa kuliko uwezo wako? Au kulikuwa na ushindani mkali katika kumpata huyo binti? ( Kwasababu, kukiwa na ushindani ukiomba punguzo tu, ni tikiti yako ya kupigwa chini).
 
dunia hii unakubali mahari 7ml? Hiyo familia mtasumbuana tu kwakuwa wametanguliza pesa mbele. Kama haujamwoa kisheria tembea mbele. 7ml parefu sana ukizingatia maisha ya ndoa stess tupu!!!!! Wabaki na binti yao na hiyo 1m usiwadai ili watafute mwanamume atakayelipa hiyo 6ml iliyobaki.
 
Back
Top Bottom