DOKEZO Ukwepaji kodi kupitia EFD ni mkubwa kweli mpaka nimeona uchungu Kariakoo leo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Unanunua kitu cha laki tisa unapewa risiti ya laki 4 tena niyakusindikizia mzigo, unapofika home, unarudisha risiti maana kuna kijana unakuwa umepewa ili akaichukuwe.

Kwa maoni yangu mfumo wa zamani wa risiti urudishwe ispokuwa maduka yote Kariakoo nzima yafanyiwe sensa maalumu yajulikane, pili yote yapatiwe namba maalumu(unique) utambukisho wa mmiliki wa duka pamoja na kitambulisho chake uraia

Ikibidi GPS ya eneo la duka and then serekali urudishe utaratibu wa ukadiriaji kwa awamu 4 kwa mwaka, nikiwa naamini hakuna duka ambalo litakadiriwa chini ya million 6 kwa mwaka, it should be 6 ml, and above, infact to 20ml P.A Kwa akili za wafanyabiashara wa kariakoo ndilo litakuwa jibu sahihi unless otherwise ni shida they are so tricky!

Maduka haya yakishaingizwa kwenye database na faini zikawa nzito kwa mcheleweshaji zikiambatana na vifungo na kutafutwa na vyombo vya doll kwa watakaojaribu kukwepa itasaidia sana kwa mtazamo wangu kwa jinsi nilivyoiona hali halisi.

WASALAAM.
N. B, Mashine hizi ni nzuri sana lakini ni nzuri kwa jamii iliyostaarabika.
 
Tuanze na wewe unayepewa risiti ya laki 4 badala ya laki 9, na tena unairudisha akapewe mwingine kusindikizia mzigo wake..!!! Kwanini usitoe taarifa panapohusika?
Mimi ni mmoja katika 5 millions purchasers, nilichotaka kueleza hapa ni njia nzuri na Bora ya kusaidia nchi yetu kwa ujumla wake maana kuna na godawn humohumo ambayo yanauza as if ni maduka and so many #shits undergoes!..
 
Unanunua kitu cha laki tisa unapewa risiti ya laki 4 tena niyakusindikizia mzigo, unapofika home, unarudisha risiti maana kuna kijana unakuwa umepewa ili akaichukuwe.

Kwa maoni yangu mfumo wa zamani wa risiti urudishwe ispokuwa maduka yote Kariakoo nzima yafanyiwe sensa maalumu yajulikane, pili yote yapatiwe namba maalumu(unique) utambukisho wa mmiliki wa duka pamoja na kitambulisho chake uraia

Ikibidi GPS ya eneo la duka and then serekali urudishe utaratibu wa ukadiriaji kwa awamu 4 kwa mwaka, nikiwa naamini hakuna duka ambalo litakadiriwa chini ya million 6 kwa mwaka, it should be 6 ml, and above, infact to 20ml P.A Kwa akili za wafanyabiashara wa kariakoo ndilo litakuwa jibu sahihi unless otherwise ni shida they are so tricky!

Maduka haya yakishaingizwa kwenye database na faini zikawa nzito kwa mcheleweshaji zikiambatana na vifungo na kutafutwa na vyombo vya doll kwa watakaojaribu kukwepa itasaidia sana kwa mtazamo wangu kwa jinsi nilivyoiona hali halisi.

WASALAAM.
N. B, Mashine hizi ni nzuri sana lakini ni nzuri kwa jamii iliyostaarabika.
Kwanini ukubali kupewa risiti ya laki nne na umetoa laki tisa? Yaani uache kumdai mwenye duka kitu ambacho ni haki yako unakuja kulia JF? Why haki yako ya risiti uione ni fadhila? Watanzania mtakua watu wa hovyo mpaka lini?
 
Kama zinaenda kupigwa kwann nao wasipige. Tena ripoti ya CAG ya mwaka ndo itakuwa hovyo zaidi kwa upigaji ukizingatia wapigaji wa mwaka uliopita awakuchukuliwa hatua.
 
Kwanini ukubali kupewa risiti ya laki nne na umetoa laki tisa? Yaani uache kumdai mwenye duka kitu ambacho ni haki yako unakuja kulia JF? Why haki yako ya risiti uione ni fadhila? Watanzania mtakua watu wa hovyo mpaka lini?
Investigative issues, that's why has been here for general solutions, am one in a millions, businessmen always intend on getting highly beyond.
 
Kama control number tu zinapigwa nini EFD maana wanigeria wapo Afrika ni vigumu kumdhibiti mtu Mweusi. Mbongo akishirikiana na Mnigeria wanaongoza kwa uharibifu na sio ubunifu, labda ubunifu wa upigaji.
 
Unanunua kitu cha laki tisa unapewa risiti ya laki 4 tena niyakusindikizia mzigo, unapofika home, unarudisha risiti maana kuna kijana unakuwa umepewa ili akaichukuwe.

Kwa maoni yangu mfumo wa zamani wa risiti urudishwe ispokuwa maduka yote Kariakoo nzima yafanyiwe sensa maalumu yajulikane, pili yote yapatiwe namba maalumu(unique) utambukisho wa mmiliki wa duka pamoja na kitambulisho chake uraia

Ikibidi GPS ya eneo la duka and then serekali urudishe utaratibu wa ukadiriaji kwa awamu 4 kwa mwaka, nikiwa naamini hakuna duka ambalo litakadiriwa chini ya million 6 kwa mwaka, it should be 6 ml, and above, infact to 20ml P.A Kwa akili za wafanyabiashara wa kariakoo ndilo litakuwa jibu sahihi unless otherwise ni shida they are so tricky!

Maduka haya yakishaingizwa kwenye database na faini zikawa nzito kwa mcheleweshaji zikiambatana na vifungo na kutafutwa na vyombo vya doll kwa watakaojaribu kukwepa itasaidia sana kwa mtazamo wangu kwa jinsi nilivyoiona hali halisi.

WASALAAM.
N. B, Mashine hizi ni nzuri sana lakini ni nzuri kwa jamii iliyostaarabika.
Kumbe hujawahi kufanya biashara? Pamoja na kupewa/ kuwa na EFD ukadiriaji na malipo ya robo ya kila mwaka upo pale pale. EFD itatumika kujua mauzo yako kama yamezidi makadirio uongeze kilichopungua. Na ikipungua makadirio 'hurudishiwi'
 
Nakubaliana na wewe angalau njia ya ukadiliaji na sio mifumo, hakuna kitu cha hovyo cha kuchezea kama mfumo maana mfumo ni static wakishaujulia udhaifu wake wanapigia humo humo kwenye mfumo.
 
Mimi ni mmoja katika 5 millions purchasers, nilichotaka kueleza hapa ni njia nzuri na Bora ya kusaidia nchi yetu kwa ujumla wake maana kuna na godawn humohumo ambayo yanauza as if ni maduka and so many #shits undergoes!..
Huwezi control KILA kitu vingine ni vya kuacha vitajibalance vyenyewe kwenye mzunguko wa uchumi.Anaweza akauza kama godown then kodi akaja kulipa kwenye aina nyingine ya mzunguko
 
Unanunua kitu cha laki tisa unapewa risiti ya laki 4 tena niyakusindikizia mzigo, unapofika home, unarudisha risiti maana kuna kijana unakuwa umepewa ili akaichukuwe.

Kwa maoni yangu mfumo wa zamani wa risiti urudishwe ispokuwa maduka yote Kariakoo nzima yafanyiwe sensa maalumu yajulikane, pili yote yapatiwe namba maalumu(unique) utambukisho wa mmiliki wa duka pamoja na kitambulisho chake uraia

Ikibidi GPS ya eneo la duka and then serekali urudishe utaratibu wa ukadiriaji kwa awamu 4 kwa mwaka, nikiwa naamini hakuna duka ambalo litakadiriwa chini ya million 6 kwa mwaka, it should be 6 ml, and above, infact to 20ml P.A Kwa akili za wafanyabiashara wa kariakoo ndilo litakuwa jibu sahihi unless otherwise ni shida they are so tricky!

Maduka haya yakishaingizwa kwenye database na faini zikawa nzito kwa mcheleweshaji zikiambatana na vifungo na kutafutwa na vyombo vya doll kwa watakaojaribu kukwepa itasaidia sana kwa mtazamo wangu kwa jinsi nilivyoiona hali halisi.

WASALAAM.
N. B, Mashine hizi ni nzuri sana lakini ni nzuri kwa jamii iliyostaarabika.
Wewe ndio umekwepa kodi, hadi unapewa kijana wa kurudi na risiti ulilazimishwa kununua bidhaa hilo duka?
Nanunua sana bidhaa hapo hapo kariakoo na sijawahi kutoka bila risiti yangu.
 
Unanunua kitu cha laki tisa unapewa risiti ya laki 4 tena niyakusindikizia mzigo, unapofika home, unarudisha risiti maana kuna kijana unakuwa umepewa ili akaichukuwe.

Kwa maoni yangu mfumo wa zamani wa risiti urudishwe ispokuwa maduka yote Kariakoo nzima yafanyiwe sensa maalumu yajulikane, pili yote yapatiwe namba maalumu(unique) utambukisho wa mmiliki wa duka pamoja na kitambulisho chake uraia

Ikibidi GPS ya eneo la duka and then serekali urudishe utaratibu wa ukadiriaji kwa awamu 4 kwa mwaka, nikiwa naamini hakuna duka ambalo litakadiriwa chini ya million 6 kwa mwaka, it should be 6 ml, and above, infact to 20ml P.A Kwa akili za wafanyabiashara wa kariakoo ndilo litakuwa jibu sahihi unless otherwise ni shida they are so tricky!

Maduka haya yakishaingizwa kwenye database na faini zikawa nzito kwa mcheleweshaji zikiambatana na vifungo na kutafutwa na vyombo vya doll kwa watakaojaribu kukwepa itasaidia sana kwa mtazamo wangu kwa jinsi nilivyoiona hali halisi.

WASALAAM.
N. B, Mashine hizi ni nzuri sana lakini ni nzuri kwa jamii iliyostaarabika.
Hizi Mashine za EFD zinaweza fanya kazi yake inayokusudiwa 100%. Na kuleta matokeo Chanya yanayotakiwa na Serikali yetu. Ila Kuna System inatakiwa Serikali hiifanye kwa wafanya biashara wote nchi nzima kama walivyofanya South Africa na India ! Uza kitu cha 1M toa risit ya Laki mbili au ata Bure System inadai kodi ya 1M sale Value.TRA awana washauri wazuri wa IT wanaoweza kuja na mwarobaini wa hili, japo Solution ipo miaka mingi tu
 
TRA waweke doria kwenye malango ya kuingilia na kutokea Kariakoo na waende kwenye vijiwe vya kupakilia mizigo hasa kidongo chekundu...waache kula AC watoke ofisini. Nchi inajengwa kwa kodi mbona wafanyikazi wanalipa kodi
Jiulize wewe ungekuwa mTRA alafu ukakomalia mzigo kumbe ni WA wale waarabu partiners wake na Msoga gang au maCCM wengine, unajua Nini kitatokea kwenye kibarua chako? Utamuhadithia hadi mama mkwe
 
Inaonekana We jamaaa
1)hujawai fanya biashara yeyote hivyo we ni mweupe kichwani kwene haya mambo
2)unapenda kitonga (caliber ya watanzania wengi) siajabu uliambiwa "bei 1M na risiti yako full" ama "900k tukupe risiti ya kubebea mzigo" ukaopt option two
3)unajikosha kua mzalendo nahuku we ni masikini tu ambapo kiuhalisia ukiwa masikini huwezi kuwa mzalendo 100%believe it or not
BHana we usiwaamshe walolala!!
 
Back
Top Bottom