pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Kama unapata msaada ya nini kununuaKama wewe unavyoshangilia nchi yetu kupewa misaada ya kujengewa vyoo na maboksi ya kondom huku mapato yetu yanatosha kununua vitu hivyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unapata msaada ya nini kununuaKama wewe unavyoshangilia nchi yetu kupewa misaada ya kujengewa vyoo na maboksi ya kondom huku mapato yetu yanatosha kununua vitu hivyo!
Mtu kama huyu anayesisitiza ukwepaji wa Kodi inafaa apigwe risasi hadharani ama mbele ya mkeweFanya mambo yako upite hivi, hizo kodi wewe unafurahia zikiwafaidisha wengine kwenye V8
Au nasema uongo nduguzanguRais Samia: Hilo nalo nendeni mkalitizame
Sasa kama imetokea hivyo kwanini usingeripoti TRA, POLISI AU TAKUKURU? Hufahamu unapokaa kimya unashiriki kuhujumu uchumi?
watu wanalipa mikodi, mitozo, at the end of the day, wengine ndiyo wananunua ma V8 badala ya kujenga shule, na kuajiri madaktari!Kama zinaenda kupigwa kwann nao wasipige. Tena ripoti ya CAG ya mwaka ndo itakuwa hovyo zaidi kwa upigaji ukizingatia wapigaji wa mwaka uliopita awakuchukuliwa hatua.
Niseme kidogo. Suala la kodi kwa wafanyabishara kariakoo ni changamoto ya muda mrefu na kibaya wanasiasa wetu huwa hawapendi kulisikia kabisa. Ningemshauri comrade Dkt Mwigulu atumie watu njia ya kupeleleza kupitia watu fulani wamkusanyie maoni, suluhisho laweza kupatikana kiasi kwamba serikali ikaondoa kabisa usumbufu both kwa serikali na wafanyabiashara.Unanunua kitu cha laki tisa unapewa risiti ya laki 4 tena niyakusindikizia mzigo, unapofika home, unarudisha risiti maana kuna kijana unakuwa umepewa ili akaichukuwe.
Kwa maoni yangu mfumo wa zamani wa risiti urudishwe ispokuwa maduka yote Kariakoo nzima yafanyiwe sensa maalumu yajulikane, pili yote yapatiwe namba maalumu(unique) utambukisho wa mmiliki wa duka pamoja na kitambulisho chake uraia
Ikibidi GPS ya eneo la duka and then serekali urudishe utaratibu wa ukadiriaji kwa awamu 4 kwa mwaka, nikiwa naamini hakuna duka ambalo litakadiriwa chini ya million 6 kwa mwaka, it should be 6 ml, and above, infact to 20ml P.A Kwa akili za wafanyabiashara wa kariakoo ndilo litakuwa jibu sahihi unless otherwise ni shida they are so tricky!
Maduka haya yakishaingizwa kwenye database na faini zikawa nzito kwa mcheleweshaji zikiambatana na vifungo na kutafutwa na vyombo vya doll kwa watakaojaribu kukwepa itasaidia sana kwa mtazamo wangu kwa jinsi nilivyoiona hali halisi.
WASALAAM.
N. B, Mashine hizi ni nzuri sana lakini ni nzuri kwa jamii iliyostaarabika.
Unakosea wachaga siyo wezi kabisa ila mifumo ya kodi haijakaa sawa kabisaBiashara ambayo inahusisha wachaga kwa asilimia kubwa tegemea sarakasi za kutosha ndani yake.
TRA siku hizi hawakamati wale wabeba mizigo kwa maguta au mikokoteni kwasababu unakuta ana lundo la risiti kama za mil 30 anamuambia chagua mwenyewe risiti unayotaka
Mabus na malori mengi,maghorofa mengi ni kodi zetu yaani ni kama tunawakusanyia waowatu wanalipa mikodi, mitozo, at the end of the day, wengine ndiyo wananunua ma V8 badala ya kujenga shule, na kuajiri madaktari!
Kwani ye analipa kodi au ana usafi gani hadi aanze kusafisha kwa majirani.Niseme kidogo. Suala la kodi kwa wafanyabishara kariakoo ni changamoto ya muda mrefu na kibaya wanasiasa wetu huwa hawapendi kulisikia kabisa. Ningemshauri comrade Dkt Mwigulu atumie watu njia ya kupeleleza kupitia watu fulani wamkusanyie maoni, suluhisho laweza kupatikana kiasi kwamba serikali ikaondoa kabisa usumbufu both kwa serikali na wafanyabiashara.
Mla Mla leo mla jana kala nini, tusonge na mapya yajayo zaidi...!, tuiboreshe mbele yetu zaidiKabla ya ushauri wako kufanyiwa Kazi wawashughulikie kwanza wezi wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG iliyopita
Hata wezi TRA wameongezeka mara dufu serikali Awamu ya sita ndani ya awamu ya tano.Unanunua kitu cha laki tisa unapewa risiti ya laki 4 tena niyakusindikizia mzigo, unapofika home, unarudisha risiti maana kuna kijana unakuwa umepewa ili akaichukuwe.