Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
- Thread starter
- #61
Rais wetu SSH alisema ili tu fanikiwe hatuwezi kuikwepa A. I. Issue ya binadamu kukutana na binadamu mwenzake mazingira ni lazima yatatengezezwa tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kodi na matozo yanayokusanywa huwa zimefanya kazi gani kubwa kwa jamii ya watanzania mpaka sasa? ikiwa barabara, hospitali na shule zinajengwa kwa mikopo na misaada kutoka nje ya nchi, nchi toka imepata uhuru haina hata Bima ya afya kwa kila mtanzania, 60% kama sio 70% ya watanzania bado ni maskini wa kutupwa, fursa za ajira kwa vijana ni too complicated, waacheni wafanyabiashara wakwepe kodi tu maana hata hizo kodi zilizokusanywa hakuna kitu kimefanyika kuwasaidia watanzania zaidi serikali inawaumiza tu kila kukicha, Tanzania has no future to majority but minority.Unanunua kitu cha laki tisa unapewa risiti ya laki 4 tena niyakusindikizia mzigo, unapofika home, unarudisha risiti maana kuna kijana unakuwa umepewa ili akaichukuwe.
Kwa maoni yangu mfumo wa zamani wa risiti urudishwe ispokuwa maduka yote Kariakoo nzima yafanyiwe sensa maalumu yajulikane, pili yote yapatiwe namba maalumu(unique) utambukisho wa mmiliki wa duka pamoja na kitambulisho chake uraia
Ikibidi GPS ya eneo la duka and then serekali urudishe utaratibu wa ukadiriaji kwa awamu 4 kwa mwaka, nikiwa naamini hakuna duka ambalo litakadiriwa chini ya million 6 kwa mwaka, it should be 6 ml, and above, infact to 20ml P.A Kwa akili za wafanyabiashara wa kariakoo ndilo litakuwa jibu sahihi unless otherwise ni shida they are so tricky!
Maduka haya yakishaingizwa kwenye database na faini zikawa nzito kwa mcheleweshaji zikiambatana na vifungo na kutafutwa na vyombo vya doll kwa watakaojaribu kukwepa itasaidia sana kwa mtazamo wangu kwa jinsi nilivyoiona hali halisi.
WASALAAM.
N. B, Mashine hizi ni nzuri sana lakini ni nzuri kwa jamii iliyostaarabika.
Hizo hela za kodi mkizipata mnafanyia nini cha maana! Si ndiyo mnazitumia kwenye warsha, semina, posho za kujikimu kwenye safari zenu zisizoisha! Kujazia mafuta kwenye yale magari yenu ya kifahari, nk.Unanunua kitu cha laki tisa unapewa risiti ya laki 4 tena niyakusindikizia mzigo, unapofika home, unarudisha risiti maana kuna kijana unakuwa umepewa ili akaichukuwe.
Kwa maoni yangu mfumo wa zamani wa risiti urudishwe ispokuwa maduka yote Kariakoo nzima yafanyiwe sensa maalumu yajulikane, pili yote yapatiwe namba maalumu(unique) utambukisho wa mmiliki wa duka pamoja na kitambulisho chake uraia
Ikibidi GPS ya eneo la duka and then serekali urudishe utaratibu wa ukadiriaji kwa awamu 4 kwa mwaka, nikiwa naamini hakuna duka ambalo litakadiriwa chini ya million 6 kwa mwaka, it should be 6 ml, and above, infact to 20ml P.A Kwa akili za wafanyabiashara wa kariakoo ndilo litakuwa jibu sahihi unless otherwise ni shida they are so tricky!
Maduka haya yakishaingizwa kwenye database na faini zikawa nzito kwa mcheleweshaji zikiambatana na vifungo na kutafutwa na vyombo vya doll kwa watakaojaribu kukwepa itasaidia sana kwa mtazamo wangu kwa jinsi nilivyoiona hali halisi.
WASALAAM.
N. B, Mashine hizi ni nzuri sana lakini ni nzuri kwa jamii iliyostaarabika.
Sawa, wewe ni mmoja kati ya wanunuzi 5M, hivi unajuwa kuwa kila kitu kinaanza na wewe? Haya, asune, kila mmoja anaandika na kutoa mapendekezo kama ulivyofanya wewe, NANI ATAKUWA MTEKEREZAJI? BADIRIKAMimi ni mmoja katika 5 millions purchasers, nilichotaka kueleza hapa ni njia nzuri na Bora ya kusaidia nchi yetu kwa ujumla wake maana kuna na godawn humohumo ambayo yanauza as if ni maduka and so many #shits undergoes!..
Sio wizi bali ujanja ujanja na figisu za kutoshaUnakosea wachaga siyo wezi kabisa ila mifumo ya kodi haijakaa sawa kabisa
I second uTra wana mambo mengi na watumishi wachache hawawezi kuwa na ufanisi hata kidogo.
Napendekeza TRA wajikite kwenye kodi tu
Mambo ya magari na usajili na maleseni yawe chini ya taasisi nyingine itayosimamia mambo yote ya magari.
Tra wajikite kwenye kodi tu waweke sera nzuri za kuhakikisha kodi inalipwa kwa kuzingatia maslahi ya pande zote, rushwa itungiwe sheria ya kunyongwa[emoji23]
Hv unataka kunambia kuwa hujawahi kupinga sehem yyt ile kuhusu tozo za mitandao? Au kuhusu kodi za kupost biashara mtandaoni.... Kama umewahi bc hyo post yako n ya kijinga MNOO😡 na haifai kwa matumizi kama mfano😡Unanunua kitu cha laki tisa unapewa risiti ya laki 4 tena niyakusindikizia mzigo, unapofika home, unarudisha risiti maana kuna kijana unakuwa umepewa ili akaichukuwe.
Kwa maoni yangu mfumo wa zamani wa risiti urudishwe ispokuwa maduka yote Kariakoo nzima yafanyiwe sensa maalumu yajulikane, pili yote yapatiwe namba maalumu(unique) utambukisho wa mmiliki wa duka pamoja na kitambulisho chake uraia
Ikibidi GPS ya eneo la duka and then serekali urudishe utaratibu wa ukadiriaji kwa awamu 4 kwa mwaka, nikiwa naamini hakuna duka ambalo litakadiriwa chini ya million 6 kwa mwaka, it should be 6 ml, and above, infact to 20ml P.A Kwa akili za wafanyabiashara wa kariakoo ndilo litakuwa jibu sahihi unless otherwise ni shida they are so tricky!
Maduka haya yakishaingizwa kwenye database na faini zikawa nzito kwa mcheleweshaji zikiambatana na vifungo na kutafutwa na vyombo vya doll kwa watakaojaribu kukwepa itasaidia sana kwa mtazamo wangu kwa jinsi nilivyoiona hali halisi.
WASALAAM.
N. B, Mashine hizi ni nzuri sana lakini ni nzuri kwa jamii iliyostaarabika.
wameng'ang'ania wafanyakazi maana sehemu zingine zinawashinda. Ukatwe PAYE, ukitoa huo mshahara benk, unakatwa kodi tena, ukitumia hela family yako, kodi tena, ukipata interest ya hela zako benk, kodi tena. GAC akitoa report yake, inawekwa shelf. Tunalipa kodi ili ziibwe na watu wale waanotajwa na CAG.Wafanyakazi pekee wanalipa kodi stah
Baada ya udadisi wa kina nimegundua aliyenipa hizi information alinidanganya na hakuwa mkweli, am very sorry to that, THE IS TOTALL FAKE AND NOT TRUE!, NA NI NAOMBA TAARIFA HII IPUUZWE!Kwanini ukubali kupewa risiti ya laki nne na umetoa laki tisa? Yaani uache kumdai mwenye duka kitu ambacho ni haki yako unakuja kulia JF? Why haki yako ya risiti uione ni fadhila? Watanzania mtakua watu wa hovyo mpaka lini?
Halafu tumia tu koswahili mkuu wangu utaeleweka. Ahsante kwa kuleta mrejesho mwanamwema wa Afrika.Baada ya udadisi wa kina nimegundua aliyenipa hizi information alinidanganya na hakuwa mkweli, am very sorry to that, THE IS TOTALL FAKE AND NOT TRUE!, NA NI NAOMBA TAARIFA HII IPUUZWE!
The infos that were given heading was not true wrong informed, TAARIFA HII IPUUZWE, ALIYENIPA ALIKUWA MUONGO MFURAHISHA GENGE NAOMBA IPUUZWE.Hizi Mashine za EFD zinaweza fanya kazi yake inayokusudiwa 100%. Na kuleta matokeo Chanya yanayotakiwa na Serikali yetu. Ila Kuna System inatakiwa Serikali hiifanye kwa wafanya biashara wote nchi nzima kama walivyofanya South Africa na India ! Uza kitu cha 1M toa risit ya Laki mbili au ata Bure System inadai kodi ya 1M sale Value.TRA awana washauri wazuri wa IT wanaoweza kuja na mwarobaini wa hili, japo Solution ipo miaka mingi tu
Unajitafutia kitengo nini mkuuTra wana mambo mengi na watumishi wachache hawawezi kuwa na ufanisi hata kidogo.
Napendekeza TRA wajikite kwenye kodi tu
Mambo ya magari na usajili na maleseni yawe chini ya taasisi nyingine itayosimamia mambo yote ya magari.
Tra wajikite kwenye kodi tu waweke sera nzuri za kuhakikisha kodi inalipwa kwa kuzingatia maslahi ya pande zote, rushwa itungiwe sheria ya kunyongwa😂
Acha uzandiki broo, uliyoandika mwanzo ndio ukweli halisi tena ni tz nzima sio kariakoo pekee, unapata faida gani kutetea wakwepa kodi?Am very sorry, I was misled the information written were not true, tuzipuuze kwani hazina ukweli wowote and am sorry endapo kama thread hii imepelekea kuleta usumbufu wowote, infact all that written here are not truly.
N. B, :TUJITAYARISHE KWA SENSA AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 23 MWEZI HUU WA NANE, AIDHA TUACHE KUMBUKUMBU NA VIELELEZO SAHIHI KWA AJILI YA SENSA,
Tarehe za watoto za kuzaliwa, idadi kamili na halisi ya wanafamilia.
THANK YOU ALL,
KUOMBANA RADHI NDIO UUNGWANA WA KITANZANIA.