DOKEZO Ukwepaji kodi kupitia EFD ni mkubwa kweli mpaka nimeona uchungu Kariakoo leo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Rais wetu SSH alisema ili tu fanikiwe hatuwezi kuikwepa A. I. Issue ya binadamu kukutana na binadamu mwenzake mazingira ni lazima yatatengezezwa tu.
 
Hizo kodi na matozo yanayokusanywa huwa zimefanya kazi gani kubwa kwa jamii ya watanzania mpaka sasa? ikiwa barabara, hospitali na shule zinajengwa kwa mikopo na misaada kutoka nje ya nchi, nchi toka imepata uhuru haina hata Bima ya afya kwa kila mtanzania, 60% kama sio 70% ya watanzania bado ni maskini wa kutupwa, fursa za ajira kwa vijana ni too complicated, waacheni wafanyabiashara wakwepe kodi tu maana hata hizo kodi zilizokusanywa hakuna kitu kimefanyika kuwasaidia watanzania zaidi serikali inawaumiza tu kila kukicha, Tanzania has no future to majority but minority.
 
Labda mtoa mada upo kwenye mtandao wa ulambaji asali mnufaika wa kodi zetu.
 
Hizo hela za kodi mkizipata mnafanyia nini cha maana! Si ndiyo mnazitumia kwenye warsha, semina, posho za kujikimu kwenye safari zenu zisizoisha! Kujazia mafuta kwenye yale magari yenu ya kifahari, nk.

Mimi niko upande wa hao wafanyabiashara. Waendelee tu kukwepa mpaka kieleweke.


Yaani unataka ugawane pasu kwa pasu na mtu ambaye amekopa limkopo benki lenye riba kubwa ili aendeshee biashara yake! halafu wewe umekaa zako tu ofisini huku ukichat na kuangalia muvi!
 
Mimi ni mmoja katika 5 millions purchasers, nilichotaka kueleza hapa ni njia nzuri na Bora ya kusaidia nchi yetu kwa ujumla wake maana kuna na godawn humohumo ambayo yanauza as if ni maduka and so many #shits undergoes!..
Sawa, wewe ni mmoja kati ya wanunuzi 5M, hivi unajuwa kuwa kila kitu kinaanza na wewe? Haya, asune, kila mmoja anaandika na kutoa mapendekezo kama ulivyofanya wewe, NANI ATAKUWA MTEKEREZAJI? BADIRIKA
 
Kodi zinakusanywa hafu zinatumika kipuuzi....mkaguzi akitoa ripoti nobody care.watu wa kodi hao TRA nao magumashi.sasa si bora watu wakwepe kodi tu.

Mimi binafsi sichukuagi uchafu unaoitwa risiti. maana ake Tanzania uzalendo dhambi.
 
I second u
 
TRA wanapaswa kuwa na kitengo Cha intelligensia (sidhani kama wanacho).

Kujua nani analipwa Kodi nani halipi.

Na anafanya biasharay kwa magendo.
 
Hv unataka kunambia kuwa hujawahi kupinga sehem yyt ile kuhusu tozo za mitandao? Au kuhusu kodi za kupost biashara mtandaoni.... Kama umewahi bc hyo post yako n ya kijinga MNOO😡 na haifai kwa matumizi kama mfano😡
 
Wafanyakazi pekee wanalipa kodi stah
wameng'ang'ania wafanyakazi maana sehemu zingine zinawashinda. Ukatwe PAYE, ukitoa huo mshahara benk, unakatwa kodi tena, ukitumia hela family yako, kodi tena, ukipata interest ya hela zako benk, kodi tena. GAC akitoa report yake, inawekwa shelf. Tunalipa kodi ili ziibwe na watu wale waanotajwa na CAG.
 
Kwanini ukubali kupewa risiti ya laki nne na umetoa laki tisa? Yaani uache kumdai mwenye duka kitu ambacho ni haki yako unakuja kulia JF? Why haki yako ya risiti uione ni fadhila? Watanzania mtakua watu wa hovyo mpaka lini?
Baada ya udadisi wa kina nimegundua aliyenipa hizi information alinidanganya na hakuwa mkweli, am very sorry to that, THE IS TOTALL FAKE AND NOT TRUE!, NA NI NAOMBA TAARIFA HII IPUUZWE!
 
Baada ya udadisi wa kina nimegundua aliyenipa hizi information alinidanganya na hakuwa mkweli, am very sorry to that, THE IS TOTALL FAKE AND NOT TRUE!, NA NI NAOMBA TAARIFA HII IPUUZWE!
Halafu tumia tu koswahili mkuu wangu utaeleweka. Ahsante kwa kuleta mrejesho mwanamwema wa Afrika.
 
The infos that were given heading was not true wrong informed, TAARIFA HII IPUUZWE, ALIYENIPA ALIKUWA MUONGO MFURAHISHA GENGE NAOMBA IPUUZWE.
 
Elimu hakuna
Bonanza kaajiri ya utoaji elimu mbalimbali hakuna ushawishi katoka upendo hakuna
Huwezi lipa Kodi huku mateso yaki kuzonga
Mtu alipe Kodi alone matokeo mfano hospitali huduma iwe naafuu na maeneo mengine mihimu
Eti wanasema elimu bure Ulipna wapi mtu kafa kwa kukosa elimu?????!!!!!kosa matibabu uone[emoji134][emoji2484]
 
Unajitafutia kitengo nini mkuu
 
Acha uzandiki broo, uliyoandika mwanzo ndio ukweli halisi tena ni tz nzima sio kariakoo pekee, unapata faida gani kutetea wakwepa kodi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…