DOKEZO Ukwepaji kodi kupitia EFD ni mkubwa kweli mpaka nimeona uchungu Kariakoo leo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwanini ukubali kupewa risiti ya laki nne na umetoa laki tisa? Yaani uache kumdai mwenye duka kitu ambacho ni haki yako unakuja kulia JF? Why haki yako ya risiti uione ni fadhila? Watanzania mtakua watu wa hovyo mpaka lini?
Binafsi nilinunua bidhaa nikaomba risiti bidhaa ya laki3 akakomaa kunipa risiti ya laki na 60 nikagoma nae akagoma kuniuzia cha ajabu nikazunguka maduka zaidi ya kumi mchezo ni uleule risiti itofautiane na hela niliyolipa, nikajikuta nachoka kuzunguka ikabidi nikubali tu, ninachoshangaa hawa tra wanashindwa vipi kukamata wakati ishu ziko wazi zaidi ya nyeti za mbuzi?
 
Acha uzandiki broo, uliyoandika mwanzo ndio ukweli halisi tena ni tz nzima sio kariakoo pekee, unapata faida gani kutetea wakwepa kodi?
Wrong informed ndg / elewa hivyo. Aliyenipa taarifa hakuwa mkweli, amini hivyo.
 
TUJIANDAE KWA SENSA, AMBAYO ITAFANYIKA TAREHE 23 MWEZI WA 8, MWAKA HUU 2022,TUWEKE KUMBUKUMBU ZA KIFAMILIA VIZURI IKIWEMO TAREHE ZA KUZALIWA ZA WANAFAMILIA, IDADI YA WANAFAMILIA, NA YOTE MUHIMU, TUKUMBUKE SENSA UISAIDIA SANA SEREKALI KATIKA KUPANGA MAENDELEO YA KITAIFA YAANI, SEREKALI ITAKAPOPATA IDADI YA WAKAZI WA ENEO HUSIKA NDIPO ITAFAHAMU KWA WINGI HUU HAPA PATAHITAJI KAMA NI HOSPITALI YA UKUBWA GANI?, KAMA NI MAJI ITAFAHAMU KWA WINGI HUU HAPA PATAHITAJI TANKI LA MAJI LA UKUBWA HUU, HIVYO HIVYO KWENYE MABARABARA HUDUMA ZA UGANI NA KADHALIKA, MIMI NITAJITOKEZA KUHESABIWA, WEWE JE?
 
Unajitafutia kitengo nini mkuu
Hapana
Ila nilichosema kins ukweli.
Huwa naenda TRA mara nyingi kwa mambo mbalimbali ya kikodi.

Moja ya hayo mambo ni kulipia kodi ya banners ya eneo la biashara.
Mfano mdogo tu nakupa, katika mtaa wanaolipa banners ni yale majengo popular tu, kuna kodi nyingi wao kama TRA hawazipati ukiuliza sababu wanakwambia kabisa watumishi ni wachache hawawezi kufanya kila kitu.
Unakuta kitengo chao kinatakiwa kuhudumia sehem za biashara tuseme 10000 watumishi wapo 4 au 5 wataweza vipi?
 
A short story about sensa toka ilipoanzishwa ulimwenguni. 1869.
==================

It has been held in our territory (world) since 1869 and takes place every 10 years, as in most other countries. Thanks to this, the results make it possible to compare the current state of our country with the past as well as the rest of the world
 
Ma GT naona mnapuyanga tu. Huyo lengo lake ni kuhamasisha SENSA ameamua kutumia heading ya kuvuta watu tu hapo.
 
Halafu mnataka maji,barabara,umeme na kadhalika bila kulipa kodi,we nawe mhujumu uchumi tuu.Umetoa laki 9 unapewa risiti ya laki 4 mmh
Na sisi tunaohitaji kuzurura na helicopter wanataka kuturudisha kwenye v8.
 
Ma GT naona mnapuyanga tu. Huyo lengo lake ni kuhamasisha SENSA ameamua kutumia heading ya kuvuta watu tu hapo.
TANGAZO LITAWAFIKIA WATANZANIA WENGI KWELI KWA NJIA HII NDOGO KWELI YA AKILI MINGI,JUU YA SENSA.
(How to spin crowd easly)
 
Ukweli serikali inaibiwa sana kwenye kodi, muuza duka anakueleza nauza kwa hii ila kama unataka risiti bei yake na hii. Mara nyingi watu hependa ile bila risti eti kwa sababu ya bei chini ingawa tofauti si kubwa sana. Na sisi tunachangia kuibia serikali. Huenda ingepata pesa nyingi zaidi kwa maendeleo ya nchi yetu
 
Ripoti matukio ya aina hii haraka sana ndugu, tuwe wazalendo, ingawa lengo la uzi huu ilikuwa ku spin watu Waone umuhimu wa sansa kwa taifa letu.
 
Ata ww unaekubali upewe risiti ya laki 4 ni MZEMBE ...mm huwa nakomaa nawaamniagankabisa risiti isome pesa niliyo lipa na huwa sirudishigi mm ... Huwa nakuwaga bandidu kweli kweli
[emoji3] [emoji3] Nishawai kukaza hivo kariakoo kuwa pesa iandikiwe yote mbona nili Sanda kila duka wanasema kama ndo hivo basi kanunue sehemu nyingine... Wafanyabiashara wa kariakoo ni manunda na wanakujibu kana kwamba Hawana hata haja na hiyo hela yako
 
Je wa fahamu ya kuwa sisi (free soul tuliopewa majina wakati tunazaliwa) miili hii tumeiazima na tunaitumia kwa wakati fulani na muda fulani tu, kabla hatujaiachia, tuitunze kwa wakati huu. Kwani kuna muda (free soul) itaupa mwili talaka ya moja kwa moja.
(Deep intellectual tells)
Kiranga hili ni kweli au sio kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…