Labda ufe ila watu hawawezi kuelewana ,ungeanza kupinga vyama vingi kwanza kwa vile vinatuweka makundi ...Ilitakiwa dini zisiingilie siasa kwa sababu wengine hawana dini kabisa.
Ukweli ni kwamba BAKWATA ni dhaifu ila ndo mstakabali wa amani kwa upande wa taifa ,ndugu zangu shukuruni BAKWATA ni wastaarabu hawana ile extremism ...Kama wangekuwa wale wenye misimamo basi kungekuwa vita japo mimi sio mfuasi wa Taasisi ya BAKWATA naaamini kwenye amani.
Msione BAKWATA wajinga kujifanya mazoba ,wanajua yote ila shukuruni sana yule Shekhe sio mtu wa vurugu ,na yule shekhe wa Dar (Walid kama sijakosea) naye pia ni mstaarabu...Hii ni siri nakupa nakupa hata yule Saudia pale pamoja na viongozi wa pale wana hekima kama wakiwa extremist kama Iran itaingia vita ya tatu fasta....Haya yote usione watu wako kimya bali ni hekima .. Shukuruni sana hawa BAKWATA hata Nyerere anajua kwa nn alianzisha BAKWATA.
Lakini hawa TEC wasipende kujifanya wana nguvu ,tunajua matokeo yake huko Rwanda na Congo ... Shukuruni na madhehebu mengine ya wakristo kukaa kimya sio ujinga ila hata hiz ibada hazitofanyika pakitikea vita..
Kila japo ni la kushukuru kamq unavyojia serikali za viongozi wa kiafrika.