SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Tatizo ni umaskini..kipato cha Tanzania ni dola moja kwa siku.Utaigawa kwa menu ya aina gani kila siku.
 
Unaweza kukuta mtoa mada anayaandika haya huku amejaza ugali kwenye sahani na maharage
Huwaga ni hivyo na hiyo ndiyo kanuni.

Yeyote anayelikemea jambo lolote, anzisha uchunguzi wa kina dhidi yake, utakuja kugundua huyo mtu ndiye mraibu wa jambo hilo hilo analolikemea.

Sasa sijaelewa kisaikolojia ni nini kinasababisha.

Maana unamkuta mwizi anakemea wizi na kuua wezi.

Mzinzi akikamata ugoni anaua!

Mpenda rushwa anamfunga mla rushwa!

Huyo aliyeandika haya ni mla ugali mbwa, ila kwa siku ya leo kazibahatisha sehemu, kala hiyo barger na mitaka taka gani sijui, sasa anaona wala ugali wote ni mashudu!
 
Kumekuwepo na madai kuwa ulaji wa ugali hudumaza akili. Madai haya yana ukweli kiasi gani?

Inategemea huo ugali unakula na mboga gani au kwa mchanganyiko gani wa mboga maana ugali ni kama kula tu mahindi ya kuchemsha au kuchoma kinacho jaji hapo ni mboga unazo tumia..
Wewe unategemea nini unapo kula au kuwa lisha watoto wako ugali na maharage kama ya jela au ya shule za boarding kila siku ...unategemea akili zao zitakuwa stable kweli maana akili inaweza kualibiwa na chakula kibaya chenye kutesa nafsi ya mlaji kimwili na kisaikolojia.


Bila kusahau ccm na saa 100 ni [emoji117][emoji90][emoji90]tu
 


ugali ni kama kula tu mahindi ya kuchemsha


unategemea akili zao zitakuwa stable kweli maana akili inaweza kualibiwa na chakula kibaya chenye kutesa nafsi ya mlaji kimwili na kisaikolojia.



ugali ni kama kula tu mahindi ya kuchemsha
Hoja yako ni ipi haswa?
 
Ugali Chakula pekee chaki Africa kilichokuwa recognized na UNESCO

"In 2017, the dish was added to the UNESCO Representative List of the Intangible Cultural Heritage of Humanity, one of a few foods in the list"

Kinapatikana nchi nyingi za Africa kwa majina mbali mbali kama

Agidi – Igbo, Nigeria
Akple – Ewe, Akumè – Mina – Togo
Aseeda – Sudan
Busuma [Bukusu] – Kenya
Bando – Soga, Uganda
Bidia – DR Congo[4]
Bogobe/Phaletšhe – Botswana, South Africa
Bugali – Burundi, DR Congo, Sudan, South Sudan Rwanda
Buhobe – Lozi[5]
Buru – Kenya, Luo
Busima – Bagisu, Uganda
Chenge – Kenya, Luo
Chima – Mozambique
Couscous de Cameroon – Cameroon
Dona
Fitah – Sudan, South Sudan, Congo
Foutou – Ivory Coast
Fufu – Sierra Leone, Nigeria
Funge de milho – Angola (northern)
Sadza – Kalanga, Botswana and Zimbabwe
Isitshwala – Botswana, Zimbabwean Ndebele
Isishwala – South Africa, Bhaca people
Kawunga – Ganda, Uganda
Kimnyet – Kalenjin, Kenya
Kuon – Kenya, Luo
Kwen wunga – Alur, Uganda
Lipalishi – Eswatini
Mdoko – Zulu, South Africa
Mieliepap – Lesotho,[4] South Africa[4][6]
Mogo – Kenya, Luo
Moteke – DR Congo[4]
Mutuku – South Africa[4]
Nfundi – Congo[4]
Ngima – Kamba, Kikuyu, Embu, Kenya
Nkima – Kenya, Meru
Nshima – DR Congo Kasai region
Nsima – Malawi,[4] Zambia[4]
Obokima – Kenya, Kisii
Obusuma – Kenya, Nyole tribe[7]
Eko – Nigeria, Yoruba
Oshifima – Namibia Ovambo
Paliche - Botswana (Setswana)
Pap – Namibia, South Africa[8]
Papa/Bogobe – Lesotho,[4] South Africa[4]
Pâte [French] – Togo, Benin
Phuthu/phalishi – Zulu people, South Africa[9]
Pirão – Angola (southern)
Posho – Uganda[10]
Saab – Ghana, Kusasi
Sadza – Shona[4][11]
Sakora – Nigeria
Sakoro – Ghana
Sembe – Tanzania, Kenya slang
Shadza – Kalanga, Botswana
Shima
Shishima – Zambia
Sima – Kenya, Chewa,[12] Tumbuka, and Ngoni[5]
Soor – Somalia,[4] Zambia[4]
Tuozafi (or T.Z.) – Ghana
Tuwo – Hausa, Nigeria
Ubugali – Rwanda
Ubwali – Bemba[5]
Ugali – Kenya,[4] Malawi, Mozambique, Tanzania,[4] Uganda,[4] Yao, Swahili
Um'ratha – Ndebele people, South Africa
Upswa – Mozambique[4]
Bohobe – Sotho, South Africa, Lesotho
Vhuswa – Venda people, South Africa
Vuswa – Tsonga people, South Africa
Wari – Mijikenda tribes, Kenyan Coast
Xima – Mozambique[4]

ALafu unadharau ugali subiri utoke kwa dada ako ukione
 
ugali ni kama kula tu mahindi ya kuchemsha


unategemea akili zao zitakuwa stable kweli maana akili inaweza kualibiwa na chakula kibaya chenye kutesa nafsi ya mlaji kimwili na kisaikolojia.




Hoja yako ni ipi haswa?
Hoja yangu ni kwamba ugali siyo tatizo
 
Ugali kaanza kula babu na mababu zako wa karne na karne leo hii unaanza kuleta kichaa chako kuwa haufai

Mwanafalsafa mmoja ( Socrates ) aliwahi kusema "I know that I am intelligent, because I know that I know nothing."

Huna unalolifahamu nguvu ya kuzungumza unaitoa wapi?

Tafiti gani umefanya au ilifanyika na mwingine kuthibitisha ugali ni sumu ?
Wakati watu wameishi kwa ugali tangu watoto hadi uzee

Acha upotoshaji, uwezo wako ndio umeishia hapo na hatuwezi kuamini mawazo yako
 
Binafsi huwa najiuliza kwanini iwe afrika tu! Kwanini nchi zilizo endelea asilimia zaidi ya 70% walishie wanyama? Hata hiyo 30% inayobaki bado itatumika kwa matumizi mengine, asilimia kidogo sana inatumika kwa binadamu na sio kama mlo mkuu. Ukiingia Google vizuri utaona matumizi ya binadamu ni mwisho kabisa katika jedwali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyakula vinaendana na ukanda...ni sawa nakushangaa ulaji wa wali na Tambi nchi za Asia, au mikate uarabuni, ila haimanishi ugali ni mlo hatari, kama mtu anaona ugali mbaya ni kukosa Mboga nzuri, Pole yake.
 
Kuna jamaa mataani kwetu alimwambia Mzee mmoja

Utanishauri nini wewe mla ugali?
 
Tusipangiane kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…