SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Ndio maana wamasai wanakula nyama na maziwa tu.
 
Achana na hiyo ya juzi,mwana 1484 wakati wareno na waspain wanagawana dunia maeneo ya kutawala magarabi na mashariki,wazee wetu walika wanafanya nini?
 
Mkuu nikiri ni kweli kuna maisha na uchumi ambao ukiwa nao waweza kutokula ugali japo kwa mwezi au na zaidi, ila si kutokula kabisa,
Tusidanganyane wala usipende kufuata mkumbo wa kwenye mitandao ya kijamii, waswahili husema, la kuambiwa changanya na zako,

Ugali unaliwa kwa wingi Tanzania na Afrika kiujumla, ndio chakula kilichowakuza walio wengi wetu tokea utotoni, na unaliwa katika nchi nyingi Afrika, kwa kuwa wewe unajiweza usijikweze wala kutudharau sisi ambao bado tunakula,

Na hakuna Mtanzania mweusi ambaye hajawahi kula ugali, hata Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan anakula japo anauwezo wa kutokula ila kwa hamu atakula.
 
Achana na hiyo ya juzi,mwana 1484 wakati wareno na waspain wanagawana dunia maeneo ya kutawala magarabi na mashariki,wazee wetu walika wanafanya nini?

Kwani sasa hivi tunafanya nini wakati rasilimali na maliasili zetu zinaliwa na familia chache na kutapanywa na kupewa wageni?
 
Pia upo ugali utokanao na unga wa ndizi
 
Sasa mi naenda kupasha,tena kiporo cha ugali acha nidumae akili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…