SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Umedanganya kuwa ugali una utajiri wa Protein. Umedanganywa ukaja danganya.
 
Hapa Tanzania jamii na makabila makabila makubwa hatupendelei ugali mfano sisi watu wa mkoa wa Kagera, Moshi(wachaga) na Mbeya hawali ugali lakini Tanzama mikoa duni kama Dodoma, Singida, Lindi, na watu wa Pwani wala ugali
Mbeya tunakula ugali, ndiyo staple food. Hizo ndizi siyo nyingi kihivyo kufanya watu waishi kwa kutegemea ndizi.

Wacha nadharia za uwongo
 

Hawa wazee ndo walikua na akili? Mbona ni vilaza watupu?
 
eti wakenya hawali ugali 🐒

na yale maandamano ya kushukisha bei ya unga na masufuria kichwani yalikua ya nini 🐒

ugali ndio kila kitu, vyakula vingine wengine tunaona ni kama mboga tu 🐒

tatizo la nguvu za kijinsia mi naona chanzo chake ni kufakamia mavyakula yasioeleweka.
Gonga msosi wako wa dona dagaa mchele, kachumbari, mchicha na mtindi wako, show show kweli 🐒
 
Wazungu wanakula mahindi sio ugali
 
mbwa, nguruwe, paka, nk. Hawana akili lakini katu huwakuti wakila ugali maana ni chakula kisicho na nutrients zozote mwilini.
Bro Mbwa, Paka, Nguruwe wanakula Ugali wakiwa na njaa ukawatoweza na mchuzi wanafuta chakula chote, Mbwa na Paka wapondee kwenye Supu au Mchuzi wa Nyama au Samaki uone km hawajala mpaka wanalama, Nguruwe ndio hata usimpondee wewe mpe tu maana huyo mwamba njaa ikikaba anakula mpaka sakafu anapasua anakula cement, Nguruwe hakuna asichokula njaa ikimkaba mpaka Mavi yake aliyokunya mwenyewe anayala ili apoze njaa, Nguruwe njaa ikikaba ukamweka na watoto wake unaweza urudi usikute mtoto hata 1 wote kawapeleka tumboni street
 
Joshua William Mbilinyi Kuna Faraja yako huku.
 
Baloney.
Eti ugali hauna nutrients zozote?

Nini maana ya nutrients?
 
Wewe ni poyoyo! Nani alikwambia ugali hauna nutrients? Ujinga wenu watu wa mjini mnakoboa mahindi mnakula makapi ndiyo mnakuja kutukana ugali hapa! Ulivyotaja makabila duni mbona hujawajumuisha Wasukuma ambao ndio wala ugali wakubwa hapa nchini? Unazijua faida za co-enzymes zinazopatikana kwenye nafaka?
 

Umeandika kwa mifano ya nchi nyingine pengine ukiwa hauna hata uhakika...

Nimekula ugali Kenya, nimekula ugali SA na nimekula ugali wa kighana nikiwa China...

Ugali una majina tofauti tofauti kulingana na eneo mfano, corn fufu (West Africa), Ugali (Kenya, Tanzania) Nshima (Zambia), Nsima (Malawi), Sadza (Zimbabwe) na Pap (South Africa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…