Ulalamishi kwa Zanzibar unaonyesha Wabantu (sisi) ni Watu Wavivu au labda low IQ pia!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi.

Tanzania Bara ina eneo la Kilometa za mraba zaidi ya Laki Tisa ( > 900 000 km^2 ) na watu zaidi ya Milioni 45 wakati Zanzibar ina Eneo la Kilometa za Mraba kama Elfu Mbili na Mia tano (2 500 km^2) na idadi ya watu kama Milioni 1 na laki tano!

Haya huku Bara pamoja na ukubwa wote kuna Visiwa pia kama Mafia kuna Maziwa makubwa kama Victoria, Tanganyika na hayo Maziwa yana Visiwa pia kama swala ni Kisiwa, kuna Mito mikubwa kama Rufiji, Ruaha, kuna Misitu na ardhi yenye rutuba, iweje tushindwe kutumia vyote hivi hadi tutake usawa na watu wenye Square km 2000 ?

Binafsi nashindwa kuelewa aidha ni uvivu na kutafuta visingizio na kushindwa kwetu au tuna low IQ.

I mean, hivi Zanzibar yenye square km 2000 ikijitenga leo kuna tofauti gani itakayoonekana kwetu ?

Tanzania bara ina ufukwe wa Bahari unaotoka Tanga hadi Mtwara na Visiwa kibao ndani yake, kwa nini tusivitumie ?
 
Walioasisi muungano walikosea kuifanya zanzibar kuwa na hadhi sawa na nchi wakati kimsingi ilitakiwa iwe moja ya wilaya za mkoa wa Dar, kwa hiyo inaipa mzigo mkubwa Tanganyika kuweza kui maintain kama semi-autonomous state.....na ndo mwanzo wa kelele zote hizi kuona zanzibar inapewa mgao mkubwa kwenye hii mikopo ili hali Tanganyika ndo itabeba mzigo wa kulipa madeni.
 
Sijakuelewa! Yote unayoyataja bara tunamiliki pamoja na wazenj, ila wabara hawatii mguu Zenji, ni rahisi kumkuta dc bara ambae ni mzenji ila mwiko mbara kuwa dc Zenji, hakuna malalamiko hewa hapo!

Nilichomaanisha ni kwamba Zanzibar ni ndogo sana kiasi kwanza hata upendeleo unaousema ukiondolewa hakuna tofauti yoyote ile utakayoiona ktk maisha ya Bara.
 
Zanzibar iwe wilaya ya mkoa wa Dar wakati Pemba imepakana na Tanga na Mombasa?? Unaijua Zanzibar? Au unamaanisha Unguja?
Basi pemba iwe wilaya ya Tanga, unguja iwe Dar, Mafia iwe pwani........
 
Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi.

Tanzania Bara ina eneo la Kilometa za mraba zaidi ya Laki Tisa ( > 900 000 km^2 ) na watu zaidi ya Milioni 45 wakati Zanzibar ina Eneo la Kilometa za Mraba kama Elfu Mbili na Mia tano (2 500 km^2) na idadi ya watu kama Milioni 1 na laki tano!

Haya huku Bara pamoja na ukubwa wote kuna Visiwa pia kama Mafia kuna Maziwa makubwa kama Victoria, Tanganyika na hayo Maziwa yana Visiwa pia kama swala ni Kisiwa, kuna Mito mikubwa kama Rufiji, Ruaha, kuna Misitu na ardhi yenye rutuba, iweje tushindwe kutumia vyote hivi hadi tutake usawa na watu wenye Square km 2000 ?

Binafsi nashindwa kuelewa aidha ni uvivu na kutafuta visingizio na kushindwa kwetu au tuna low IQ.

I mean, hivi Zanzibar yenye square km 2000 ikijitenga leo kuna tofauti gani itakayoonekana kwetu ?

Tanzania bara ina ufukwe wa Bahari unaotoka Tanga hadi Mtwara na Visiwa kibao ndani yake, kwa nini tusivitumie ?
Kule zanzibar ndio wanalalamika sana labda hujui tu

USSR
 
Wazenji kibao wamejenga bara. Lkn marufuku mbara kujenga zenji.

Huu uzwazwa sijui utaisha lini?

Hili ndio analoliongelea mtoa mada

Yaani ardhi yao ni ndogo sana ambapo hata wao haiwatoshi kwa kweli sasa wewe unatembea mapori na mapori hujengi ila unatamani kwao

Ngoja niende kisiwa saa8 nikapumzike
 
Lukuvi alishajibu maswali na hoja zenu, msikilize

Huyu ni mchochezo na ana chuki sana na waislam
Eti mnajua madhara yake “wale waarabu watarudi”

Ila unafiki aliudhihirisha alipoenda kuwapigia magoti waomani na kuomba msaada yeye na Makinda
Akiwa kavaa Kanzu na makinda kavaa Baibui

Huo ndio udhaifu wa muafrika
 
Yaani ardhi yao ni ndogo sana ambapo hata wao haiwatoshi kwa kweli sasa wewe unatembea mapori na mapori hujengi ila unatamani kwao
Kwahiyo tuliungana ili tuwapanulie ardhi wao?

Haya kama ardhi haitoshi mbona na ajira pia hawataki kuwapa watu wa bara?

Pia , hata ukae miaka mingi kama shetani zenji huruhusiwi kugombea nafasi yoyote?

Muungano gani huu wa kufaidisha upande mmoja tu?
 
Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi.

Tanzania Bara ina eneo la Kilometa za mraba zaidi ya Laki Tisa ( > 900 000 km^2 ) na watu zaidi ya Milioni 45 wakati Zanzibar ina Eneo la Kilometa za Mraba kama Elfu Mbili na Mia tano (2 500 km^2) na idadi ya watu kama Milioni 1 na laki tano!

Haya huku Bara pamoja na ukubwa wote kuna Visiwa pia kama Mafia kuna Maziwa makubwa kama Victoria, Tanganyika na hayo Maziwa yana Visiwa pia kama swala ni Kisiwa, kuna Mito mikubwa kama Rufiji, Ruaha, kuna Misitu na ardhi yenye rutuba, iweje tushindwe kutumia vyote hivi hadi tutake usawa na watu wenye Square km 2000 ?

Binafsi nashindwa kuelewa aidha ni uvivu na kutafuta visingizio na kushindwa kwetu au tuna low IQ.

I mean, hivi Zanzibar yenye square km 2000 ikijitenga leo kuna tofauti gani itakayoonekana kwetu ?

Tanzania bara ina ufukwe wa Bahari unaotoka Tanga hadi Mtwara na Visiwa kibao ndani yake, kwa nini tusivitumie ?
Asante kwa Madini adimu.
 
Back
Top Bottom