Ulalamishi kwa Zanzibar unaonyesha Wabantu (sisi) ni Watu Wavivu au labda low IQ pia!

Ulalamishi kwa Zanzibar unaonyesha Wabantu (sisi) ni Watu Wavivu au labda low IQ pia!

Kwahiyo tuliungana ili tuwapanulie ardhi wao?

Haya kama ardhi haitoshi mbona na ajira pia hawataki kuwapa watu wa bara?

Pia , hata ukae miaka mingi kama shetani zenji huruhusiwi kugombea nafasi yoyote?

Muungano gani huu wa kufaidisha upande mmoja tu?

Huenda ndio mapatano yaliyojadiliwa miaka hiyo

Mpaka waweke wazi kila kitu hatuwezi kujua lolote bali tutakuwa tuna assume tu
 
Muangalie kama huyo Mgogo ana IQ ya kuvukia Barabara tu.
 
Wazenji kibao wamejenga bara. Lkn marufuku mbara kujenga zenji.

Huu uzwazwa sijui utaisha lini?
Yale makanisa yaliyotapakaa Zànzibar ni removàble.

Waimba kwaya kutoka Bara ikifika Jumamosi wanaya import.

Jumapili wanarudi nayo Bara. Maana siku mbili hizo kama hujakata tiketi mapema ikifika saa 12.30 hupati boti.

Au yanajengwa na mishini wa Zanzibari au ni ya Serikali.
 
Unafikirisha sana huu muungano. Mzanzibar anapewa mpk urais kuongoza bara na visiwani. Lkn mbara ananyimwa udiwani wa kata (shehia) ya Micheweni.

Yaani Magu angekuwa mznz sijui hali ingekuwaje
Hebu waza tu kidogo
Angejenga daraja refu Africa
Kuna mengi sana ya kufikirisha na siku watayaweka wazi yote waliosaini Karume na Nyerere yataibuka mengi sana
 
Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi.

Tanzania Bara ina eneo la Kilometa za mraba zaidi ya Laki Tisa ( > 900 000 km^2 ) na watu zaidi ya Milioni 45 wakati Zanzibar ina Eneo la Kilometa za Mraba kama Elfu Mbili na Mia tano (2 500 km^2) na idadi ya watu kama Milioni 1 na laki tano!

Haya huku Bara pamoja na ukubwa wote kuna Visiwa pia kama Mafia kuna Maziwa makubwa kama Victoria, Tanganyika na hayo Maziwa yana Visiwa pia kama swala ni Kisiwa, kuna Mito mikubwa kama Rufiji, Ruaha, kuna Misitu na ardhi yenye rutuba, iweje tushindwe kutumia vyote hivi hadi tutake usawa na watu wenye Square km 2000 ?

Binafsi nashindwa kuelewa aidha ni uvivu na kutafuta visingizio na kushindwa kwetu au tuna low IQ.

I mean, hivi Zanzibar yenye square km 2000 ikijitenga leo kuna tofauti gani itakayoonekana kwetu ?

Tanzania bara ina ufukwe wa Bahari unaotoka Tanga hadi Mtwara na Visiwa kibao ndani yake, kwa nini tusivitumie ?
Wakae kwao huko, inakuaje Mzanzibar awe DAS kwenye Wilaya ya Tanganyika?

Au Mzanzibar awe Waziri kwenye Wizara isiyo ya Muungano?

Au awe Mkurugenzi kwenye shirika la Umma Tanganyika?

Haya yanayofanyika sasa ni kututaka kutuchoma na ukuni kwenye jicho na wacha watuchome maana Wadanganyika tumekuwa mamburula sana; Wazanzibar hutuita "Machogo", jina dhalili na la kibaguzi kabisa
 
Ingekuwa wizi na dhulma kwa watanganyika, maana Zanzibar ina mchango kiduchu Sana ktk pato la taifa. Idadi ya wazanzibari ndogo Sana na wengi ni maskini wa kutupwa.

Basi tuwasaidie tu maana hata mashamba ya kulima hawana , madini hawana
Labda kama tutafanikiwa kupata hayo mafuta baharini ingawa huwa tuna maneno kibao kutimiza sasa
 
Mimi naunga mkono Muungano, sana tu. Ingawaje naonelea kua makosa makubwa yalifanywa hasa na Mwl. Nyerere wakati wa mwungano na baadaye. Haya yata tu cost. Maana hakuna mwungano uliovunjika kwa amani! Ni kama ndoa.

Kinachotakikana sasa, kama tuna akili, ni kuondoa mambo madogo madogo yote yaliyo hasi hadi walio wengi Zanzibar na Tanganyika waone uzuri wa Muungano, kisha tupitishe kura ya maoni ya kuifanya nchi moja tu.
 
Yale makanisa yaliyotapakaa Zànzibar ni removàble.

Waimba kwaya kutoka Bara ikifika Jumamosi wanaya import.

Jumapili wanarudi nayo Bara. Maana siku mbili hizo kama hujakata tiketi mapema ikifika saa 12.30 hupati boti.

Au yanajengwa na mishini wa Zanzibari au ni ya Serikali.
Mishini
 
Kwakweli ni AIBU!
1642843255262.png
 
Wakae kwao huko, inakuaje Mzanzibar awe DAS kwenye Wilaya ya Tanganyika?

Au Mzanzibar awe Waziri kwenye Wizara isiyo ya Muungano?

Au awe Mkurugenzi kwenye shirika la Umma Tanganyika?

Haya yanayofanyika sasa ni kututaka kutuchoma na ukuni kwenye jicho na wacha watuchome maana Wadanganyika tumekuwa mamburula sana; Wazanzibar hutuita "Machogo", jina dhalili na la kibaguzi kabisa
Chogo ni hadhi kubwa sana maana chogo, kwa maumbile, ana akili sana kuliko hao vichwa nazi!
 
Wakae kwao huko, inakuaje Mzanzibar awe DAS kwenye Wilaya ya Tanganyika?

Au Mzanzibar awe Waziri kwenye Wizara isiyo ya Muungano?

Au awe Mkurugenzi kwenye shirika la Umma Tanganyika?

Haya yanayofanyika sasa ni kututaka kutuchoma na ukuni kwenye jicho na wacha watuchome maana Wadanganyika tumekuwa mamburula sana; Wazanzibar hutuita "Machogo", jina dhalili na la kibaguzi kabisa
Kwani sio machogo?
 
Back
Top Bottom