Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa ya Muungano huu ni kuvunjwa tu, hakuna jengineMimi naunga mkono Muungano, sana tu. Ingawaje naonelea kua makosa makubwa yalifanywa hasa na Mwl. Nyerere wakati wa mwungano na baadaye. Haya yata tu cost. Maana hakuna mwungano uliovunjika kwa amani! Ni kama ndoa.
Kinachotakikana sasa, kama tuna akili, ni kuondoa mambo madogo madogo yote yaliyo hasi hadi walio wengi Zanzibar na Tanganyika waone uzuri wa Muungano, kisha tupitishe kura ya maoni ya kuifanya nchi moja tu.
Unafikirisha sana huu muungano. Mzanzibar anapewa mpk urais kuongoza bara na visiwani. Lkn mbara ananyimwa udiwani wa kata (shehia) ya Micheweni.
Hivi walioko huko hata ujumbe huwa wanapewa kweli? Mie sinaga mzuka kabisa na huko, hiyo ya urais mmmUnafikirisha sana huu muungano. Mzanzibar anapewa mpk urais kuongoza bara na visiwani. Lkn mbara ananyimwa udiwani wa kata (shehia) ya Micheweni.
Marufuku kabisaHivi walioko huko hata ujumbe huwa wanapewa kweli?
Yaani hapo mwasisi wahii kitu alitukosea sana kama nchi, sasa kila anayekuja anaogopa kusema tuvunje hii ndoa ya upande mmoja limzimu lilowekwa hapo kwakweli linatunyonya Watanganyika.Marufuku kabisa
Muungano uvunjweZanzibar wanatakiwa waachwe wajifanyie mambo yao wenyewe.
Wapewe utaifa wao, hapo utaona watatuhitaji sisi kuliko tutavyowahitaji
Kabisahivi visiwa vya kipumbavu hakuna mtu anayevitaka, tupo tayari hata Muungano uvunjwe hata kesho na hatutaathirika chochote, watu wanachopinga ni mtu kutoka Zanzibar ambao kimsingi wanajiona sio Watanzania, ankuja kuwa Makamu wa Rais au Rais wa Tanzania ambayo Wazanzibar wanaiona sio chochote kwao, kisha anatumia rasilimali zetu, kukopa mikopo na kuipa Zanzibar zaidi kiasi kikubwa sana, huu ni upumbavu..Tanganyika hatuihitaji Zanzibar na hatujawahi kuihitaji, ni wapumbavu wachache tu ndio wanalazimisha
Linatubagaza na kutunyonya kweli kwelilimzimu lilowekwa hapo kwakweli linatunyonya Watanganyika.
Na kabla ya kuvunjwa kila mtu abebe watu wake, ndiyo maana ilipendekezwa serikali 3 inamaana kila mtu ajihudumie kwakwe huyo watatu wamtafutie pakukaa [emoji23] kama nikatikati ya bahari watajua wenyewe lakini sio hivi.Dawa ya Muungano huu ni kuvunjwa tu, hakuna jengine
Hizi kelele uwa zinakuja tu Raisi wa Muungano anapotokea Zanzibar,na mara akiwepo Raisi kutoka bara husikii kelele hizo.Walioasisi muungano walikosea kuifanya zanzibar kuwa na hadhi sawa na nchi wakati kimsingi ilitakiwa iwe moja ya wilaya za mkoa wa Dar, kwa hiyo inaipa mzigo mkubwa Tanganyika kuweza kui maintain kama semi-autonomous state.....na ndo mwanzo wa kelele zote hizi kuona zanzibar inapewa mgao mkubwa kwenye hii mikopo ili hali Tanganyika ndo itabeba mzigo wa kulipa madeni.
Hii ndio dawa.Muungano uvunjwe
YapHii ndio dawa.
You nail it. Bravo [emoji122]Hizi kelele uwa zinakuja tu Raisi wa Muungano anapotokea Zanzibar,na mara akiwepo Raisi kutoka bara husikii kelele hizo.
Kuna wakati Raisi Mzee Ruksa akiwa raisi wa serikali wa Muungano lilizuka kundi likiongozwa na Njeru Kasaka,Kinyondo na Jenerali Ulimwengu likapitisha muswaada bungeni wa serikali tatu tena ikiwa chama kimmoja,lakini alipozungumza tu mzee Aboud Jumbe umuhimu wa serikali tatu,aliitwa Dodoma,akavuliwa uraisi wa serikali ya Zanzibar, akavuliwa Uwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, akavuliwa ujumbe wa kamati kuu ya CCM,akavuliwa ujumbe kwenye NEC.Akawekwa under house arrest Kigamboni kwa miaka nenda rudi hadi yalipokuta mauti.
Cha ajabu Zanzibar wao wanasema Muungano ni utashi sio lazima,lakini watawala Bara wao Muungano ni wa lazima which is complete nonsense. Kwani Zanzibar imekuwepo kama nchi na taifa huru kabla ya Muungano.
Unachosahau ni kwamba siku zote visiwa huwa havina wenyeji. Hao wazenji asili yao ni huku bara, Ni watu wa makabila ya pwani waliohamia visiwani.Kwahiyo tuliungana ili tuwapanulie ardhi wao?
Haya kama ardhi haitoshi mbona na ajira pia hawataki kuwapa watu wa bara?
Pia , hata ukae miaka mingi kama shetani zenji huruhusiwi kugombea nafasi yoyote?
Muungano gani huu wa kufaidisha upande mmoja tu?
Wewe unaongozwa na chuki kwa serikali ya Samia. Na ni chuki zinazoumiza nafsi yako.hivi visiwa vya kipumbavu hakuna mtu anayevitaka, tupo tayari hata Muungano uvunjwe hata kesho na hatutaathirika chochote, watu wanachopinga ni mtu kutoka Zanzibar ambao kimsingi wanajiona sio Watanzania, ankuja kuwa Makamu wa Rais au Rais wa Tanzania ambayo Wazanzibar wanaiona sio chochote kwao, kisha anatumia rasilimali zetu, kukopa mikopo na kuipa Zanzibar zaidi kiasi kikubwa sana, huu ni upumbavu..Tanganyika hatuihitaji Zanzibar na hatujawahi kuihitaji, ni wapumbavu wachache tu ndio wanalazimisha