Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwahiyo tuliungana ili tuwapanulie ardhi wao?
Haya kama ardhi haitoshi mbona na ajira pia hawataki kuwapa watu wa bara?
Pia , hata ukae miaka mingi kama shetani zenji huruhusiwi kugombea nafasi yoyote?
Muungano gani huu wa kufaidisha upande mmoja tu?
La hasha, ni low IQ tu ndio inayotusumbua, tuanze kuwapa watoto wetu lishe bora inayoendana na maziwa na nyama na samaki kwa wingi.Tumelogwa
Unafikirisha sana huu muungano. Mzanzibar anapewa mpk urais kuongoza bara na visiwani. Lkn mbara ananyimwa udiwani wa kata (shehia) ya Micheweni.Huenda ndio mapatano yaliyojadiliwa miaka hiyo
Mpaka waweke wazi kila kitu hatuwezi kujua lolote bali tutakuwa tuna assume tu
Yale makanisa yaliyotapakaa Zànzibar ni removàble.Wazenji kibao wamejenga bara. Lkn marufuku mbara kujenga zenji.
Huu uzwazwa sijui utaisha lini?
Unafikirisha sana huu muungano. Mzanzibar anapewa mpk urais kuongoza bara na visiwani. Lkn mbara ananyimwa udiwani wa kata (shehia) ya Micheweni.
Ingekuwa wizi na dhulma kwa watanganyika, maana Zanzibar ina mchango kiduchu Sana ktk pato la taifa. Idadi ya wazanzibari ndogo Sana na wengi ni maskini wa kutupwa.Angejenga daraja refu Africa
Wakae kwao huko, inakuaje Mzanzibar awe DAS kwenye Wilaya ya Tanganyika?Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi.
Tanzania Bara ina eneo la Kilometa za mraba zaidi ya Laki Tisa ( > 900 000 km^2 ) na watu zaidi ya Milioni 45 wakati Zanzibar ina Eneo la Kilometa za Mraba kama Elfu Mbili na Mia tano (2 500 km^2) na idadi ya watu kama Milioni 1 na laki tano!
Haya huku Bara pamoja na ukubwa wote kuna Visiwa pia kama Mafia kuna Maziwa makubwa kama Victoria, Tanganyika na hayo Maziwa yana Visiwa pia kama swala ni Kisiwa, kuna Mito mikubwa kama Rufiji, Ruaha, kuna Misitu na ardhi yenye rutuba, iweje tushindwe kutumia vyote hivi hadi tutake usawa na watu wenye Square km 2000 ?
Binafsi nashindwa kuelewa aidha ni uvivu na kutafuta visingizio na kushindwa kwetu au tuna low IQ.
I mean, hivi Zanzibar yenye square km 2000 ikijitenga leo kuna tofauti gani itakayoonekana kwetu ?
Tanzania bara ina ufukwe wa Bahari unaotoka Tanga hadi Mtwara na Visiwa kibao ndani yake, kwa nini tusivitumie ?
Ingekuwa wizi na dhulma kwa watanganyika, maana Zanzibar ina mchango kiduchu Sana ktk pato la taifa. Idadi ya wazanzibari ndogo Sana na wengi ni maskini wa kutupwa.
Petroli na Gesi.madini hawana
MishiniYale makanisa yaliyotapakaa Zànzibar ni removàble.
Waimba kwaya kutoka Bara ikifika Jumamosi wanaya import.
Jumapili wanarudi nayo Bara. Maana siku mbili hizo kama hujakata tiketi mapema ikifika saa 12.30 hupati boti.
Au yanajengwa na mishini wa Zanzibari au ni ya Serikali.
Petroli na Gesi.
Chogo ni hadhi kubwa sana maana chogo, kwa maumbile, ana akili sana kuliko hao vichwa nazi!Wakae kwao huko, inakuaje Mzanzibar awe DAS kwenye Wilaya ya Tanganyika?
Au Mzanzibar awe Waziri kwenye Wizara isiyo ya Muungano?
Au awe Mkurugenzi kwenye shirika la Umma Tanganyika?
Haya yanayofanyika sasa ni kututaka kutuchoma na ukuni kwenye jicho na wacha watuchome maana Wadanganyika tumekuwa mamburula sana; Wazanzibar hutuita "Machogo", jina dhalili na la kibaguzi kabisa
Kwani sio machogo?Wakae kwao huko, inakuaje Mzanzibar awe DAS kwenye Wilaya ya Tanganyika?
Au Mzanzibar awe Waziri kwenye Wizara isiyo ya Muungano?
Au awe Mkurugenzi kwenye shirika la Umma Tanganyika?
Haya yanayofanyika sasa ni kututaka kutuchoma na ukuni kwenye jicho na wacha watuchome maana Wadanganyika tumekuwa mamburula sana; Wazanzibar hutuita "Machogo", jina dhalili na la kibaguzi kabisa
Mishini ndio.Mishini