Ulalamishi kwa Zanzibar unaonyesha Wabantu (sisi) ni Watu Wavivu au labda low IQ pia!

Dawa ya Muungano huu ni kuvunjwa tu, hakuna jengine
 
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
Unafikirisha sana huu muungano. Mzanzibar anapewa mpk urais kuongoza bara na visiwani. Lkn mbara ananyimwa udiwani wa kata (shehia) ya Micheweni.
 
Kuna nilimsikia eti yupo ustawi wa jamii kwenye wilaya ya Tanganyika daa huu muungano hapana mie hata siufagilii kabisa, zamani tulikuwa tunasikia wale wanasoma bure nikawa najiuliza kwanini huku tunalipa ada? Haya mapenzi hapana bora kuachana kila MTU abebe watu wake
 
Unafikirisha sana huu muungano. Mzanzibar anapewa mpk urais kuongoza bara na visiwani. Lkn mbara ananyimwa udiwani wa kata (shehia) ya Micheweni.
Hivi walioko huko hata ujumbe huwa wanapewa kweli? Mie sinaga mzuka kabisa na huko, hiyo ya urais mmm
 
hivi visiwa vya kipumbavu hakuna mtu anayevitaka, tupo tayari hata Muungano uvunjwe hata kesho na hatutaathirika chochote, watu wanachopinga ni mtu kutoka Zanzibar ambao kimsingi wanajiona sio Watanzania, ankuja kuwa Makamu wa Rais au Rais wa Tanzania ambayo Wazanzibar wanaiona sio chochote kwao, kisha anatumia rasilimali zetu, kukopa mikopo na kuipa Zanzibar zaidi kiasi kikubwa sana, huu ni upumbavu..Tanganyika hatuihitaji Zanzibar na hatujawahi kuihitaji, ni wapumbavu wachache tu ndio wanalazimisha
 
Kabisa
 
Dawa ya Muungano huu ni kuvunjwa tu, hakuna jengine
Na kabla ya kuvunjwa kila mtu abebe watu wake, ndiyo maana ilipendekezwa serikali 3 inamaana kila mtu ajihudumie kwakwe huyo watatu wamtafutie pakukaa [emoji23] kama nikatikati ya bahari watajua wenyewe lakini sio hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huenda uko nje ya malalamiko ya muungano.
Kwa takwimu zako za sq area na idadibya watu.
Je wapi wapate ratio kubwa kwenye kugawana faida na hasara? Kugawana mikopo?
Kugawana majukumu na ajira za muungano?
Ikibidi znzb iachwe tu. Kama kuna mali wanatudai wapewe, kama kuna madeni tunawadai walipe.
Hii habari ya muungano usio tija ife kila mmoja afuate sheria za nchi nyingine, wawe majirani tu kama Kenya
 
Hizi kelele uwa zinakuja tu Raisi wa Muungano anapotokea Zanzibar,na mara akiwepo Raisi kutoka bara husikii kelele hizo.
Kuna wakati Raisi Mzee Ruksa akiwa raisi wa serikali wa Muungano lilizuka kundi likiongozwa na Njeru Kasaka,Kinyondo na Jenerali Ulimwengu likapitisha muswaada bungeni wa serikali tatu tena ikiwa chama kimmoja,lakini alipozungumza tu mzee Aboud Jumbe umuhimu wa serikali tatu,aliitwa Dodoma,akavuliwa uraisi wa serikali ya Zanzibar, akavuliwa Uwenyekiti wa baraza la Mapinduzi, akavuliwa ujumbe wa kamati kuu ya CCM,akavuliwa ujumbe kwenye NEC.Akawekwa under house arrest Kigamboni kwa miaka nenda rudi hadi yalipokuta mauti.

Cha ajabu Zanzibar wao wanasema Muungano ni utashi sio lazima,lakini watawala Bara wao Muungano ni wa lazima which is complete nonsense. Kwani Zanzibar imekuwepo kama nchi na taifa huru kabla ya Muungano.
 
You nail it. Bravo [emoji122]
 
Unachosahau ni kwamba siku zote visiwa huwa havina wenyeji. Hao wazenji asili yao ni huku bara, Ni watu wa makabila ya pwani waliohamia visiwani.
 
Wewe unaongozwa na chuki kwa serikali ya Samia. Na ni chuki zinazoumiza nafsi yako.
 
Dugu moja. Ukisitisha udugu na mmoja basi utaendelea kusitisha hata kwa wengine. Wawe viongozi bara au visiwani au vice versa siyo issue. Si wanazingatia na kufuata sheria bila shuruti?!
Wadanganyika wavivu tu. Kulalamika ni zao kuficha udumaavu wa akili zao. Hapa Dar tu bado kuna mapori na maviwanja ya kufa mtu ila utasikia eti wakazi wamekosa makazi au kufa kisa kujenga kwenye mikondo ya maji bondeni na sehemu hatarishi!
Wadanganyika kutwa kukutwa na mavyeti feki kisa uvivu wa kusoma au kutoa jasho lao!
Kazi zipo ila wanaostahili hawafai kisa lugha ya kigeni kujituma wizi na uvivu.
Tubadilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…