He nailed nonsense.You nail it. Bravo [emoji122]
Hamna chuki, Huu Muungano kabla Samia hajawa Rais msimamo wangu ni huo huo, hautufai kwa sisi watu wa baraWewe unaongozwa na chuki kwa serikali ya Samia. Na ni chuki zinazoumiza nafsi yako.
Hawawezi kukuhitaji wew hata siku moja, wabara mmewakolonia muda mrefu sana wanahitaji uhuru wao,Zanzibar wanatakiwa waachwe wajifanyie mambo yao wenyewe.
Wapewe utaifa wao, hapo utaona watatuhitaji sisi kuliko tutavyowahitaji
Ukichunguza kwa undani utagundua kuwa asili yetu ni moja. Hii mipaka ya nchi iliwekwa na wazungu kwa makusudi yao binafsi.Hamna chuki, Huu Muungano kabla Samia hajawa Rais msimamo wangu ni huo huo, hautufai kwa sisi watu wa bara
Hebu jibu sema kama hizi fact ni za uongo.., Zanzibar hawatambui kitu kinachoitwa Tanzania bara au Tanzania visiwani, kwao Zanzibar ni nchi nyingine na Tanzania bara ni nchi nyingine inayoitwa Tanganyika, na mtanganyika akienda Zanzibar anachukuliwa kama mgeni aliyetoka nchi nyingine
Yaani kwa kifupi Tanzania haitambuliki kwa Zanzibar...Inakuwaje watu wasiotambua hii nchi ya Tanzania iweje wachukue sehemu kubwa ya mikopo yetu for free? iweje watawale nchi yetu wakati wao kwa katiba na sheria zao hawaitambui?
Kama ndivyo mbona Wana masharti makali kwa sisi ndugu zao wa bara?Unachosahau ni kwamba siku zote visiwa huwa havina wenyeji. Hao wazenji asili yao ni huku bara, Ni watu wa makabila ya pwani waliohamia visiwani.
Samehe bure kaka. Watu wenye ukotofi mwingi na dharau na wenye kutosahau asili yao.Kama ndivyo mbona Wana masharti makali kwa sisi ndugu zao wa bara?
sasa hapa wanaoabudu mipaka na maeneo ni sisi au Zanzibar? watu wengi huku bara hawana tabu yoyote Zanzibar ikiwa sehemu kamili ya Tanzania, tukawa nchi moja, katiba moja, serikali moja, Rais mmojaUkichunguza kwa undani utagundua kuwa asili yetu ni moja. Hii mipaka ya nchi iliwekwa na wazungu kwa makusudi yao binafsi.
Sijui kama unafahamu kuwa Kama Mombasa ingekuwa ni sehemu ya Tanzania leo hii Mlima Kilimanjaro ungekuwa ni sehemu ya Kenya?.
Tusiabudu sana mipaka na maeneo, iliwekwa na mkoloni kwa malengo anayoyajua yeye, lengo lake ni kutugawa na kuendekeza umimi badala ya usisi.
Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi.
Tanzania Bara ina eneo la Kilometa za mraba zaidi ya Laki Tisa ( > 900 000 km^2 ) na watu zaidi ya Milioni 45 wakati Zanzibar ina Eneo la Kilometa za Mraba kama Elfu Mbili na Mia tano (2 500 km^2) na idadi ya watu kama Milioni 1 na laki tano!
Haya huku Bara pamoja na ukubwa wote kuna Visiwa pia kama Mafia kuna Maziwa makubwa kama Victoria, Tanganyika na hayo Maziwa yana Visiwa pia kama swala ni Kisiwa, kuna Mito mikubwa kama Rufiji, Ruaha, kuna Misitu na ardhi yenye rutuba, iweje tushindwe kutumia vyote hivi hadi tutake usawa na watu wenye Square km 2000 ?
Binafsi nashindwa kuelewa aidha ni uvivu na kutafuta visingizio na kushindwa kwetu au tuna low IQ.
I mean, hivi Zanzibar yenye square km 2000 ikijitenga leo kuna tofauti gani itakayoonekana kwetu ?
Tanzania bara ina ufukwe wa Bahari unaotoka Tanga hadi Mtwara na Visiwa kibao ndani yake, kwa nini tusivitumie ?
Naunga mkono hoja ni kweli kabisaSasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi.
Tanzania Bara ina eneo la Kilometa za mraba zaidi ya Laki Tisa ( > 900 000 km^2 ) na watu zaidi ya Milioni 45 wakati Zanzibar ina Eneo la Kilometa za Mraba kama Elfu Mbili na Mia tano (2 500 km^2) na idadi ya watu kama Milioni 1 na laki tano!
Haya huku Bara pamoja na ukubwa wote kuna Visiwa pia kama Mafia kuna Maziwa makubwa kama Victoria, Tanganyika na hayo Maziwa yana Visiwa pia kama swala ni Kisiwa, kuna Mito mikubwa kama Rufiji, Ruaha, kuna Misitu na ardhi yenye rutuba, iweje tushindwe kutumia vyote hivi hadi tutake usawa na watu wenye Square km 2000 ?
Binafsi nashindwa kuelewa aidha ni uvivu na kutafuta visingizio na kushindwa kwetu au tuna low IQ.
I mean, hivi Zanzibar yenye square km 2000 ikijitenga leo kuna tofauti gani itakayoonekana kwetu ?
Tanzania bara ina ufukwe wa Bahari unaotoka Tanga hadi Mtwara na Visiwa kibao ndani yake, kwa nini tusivitumie ?
Moja ya ujinga wa Mtanzania ni kutafuta kumsingizia kushindwa kwake kufanikiwa. Niliwahi kuandika hivi:Sasa hivi kila kukicha hakukosi malalamiko kwamba Wabara wananyanyaswa au hawatendewi haki na Zanzibar ktk swala zima la Muungano, ukisoma hoja zao unaweza kushawishika mpaka pale unapoamua kufanya homework yako na kujielimisha kidogo tu, na hapo ndipo utakaposhangazwa na walalamishi.
Tanzania Bara ina eneo la Kilometa za mraba zaidi ya Laki Tisa ( > 900 000 km^2 ) na watu zaidi ya Milioni 45 wakati Zanzibar ina Eneo la Kilometa za Mraba kama Elfu Mbili na Mia tano (2 500 km^2) na idadi ya watu kama Milioni 1 na laki tano!
Haya huku Bara pamoja na ukubwa wote kuna Visiwa pia kama Mafia kuna Maziwa makubwa kama Victoria, Tanganyika na hayo Maziwa yana Visiwa pia kama swala ni Kisiwa, kuna Mito mikubwa kama Rufiji, Ruaha, kuna Misitu na ardhi yenye rutuba, iweje tushindwe kutumia vyote hivi hadi tutake usawa na watu wenye Square km 2000 ?
Binafsi nashindwa kuelewa aidha ni uvivu na kutafuta visingizio na kushindwa kwetu au tuna low IQ.
I mean, hivi Zanzibar yenye square km 2000 ikijitenga leo kuna tofauti gani itakayoonekana kwetu ?
Tanzania bara ina ufukwe wa Bahari unaotoka Tanga hadi Mtwara na Visiwa kibao ndani yake, kwa nini tusivitumie ?
Tatizo sio sisi tatizo ni chama tawala na viongoz waoInakadiriwa kuwa na watanzania zaidi ya million sitini,kwa sasa.
Na kuhusu Zanzibar sijui kwanini hatuwaachi waendeshe mambo yao wenyewe