Elimu ya huduma ya kwanza (first Aid) ianze kufundishwa kuanzia primary school kama nchi ya Korea. Mngejua jinsi ya kumsaidia baharia Kuna uwezekano mkubwa angefika hospital mzima na angeishi.
Miaka kadhaa nyuma Kuna msanii wa bongo flavor alifia kwenye Bajaj wakati anatolewa hospital Fulani mburahati anahamishiwa Sinza Palestina..kisa? Staili aliyowekwa kwenye Bajaj. Jamaa Kuna namna Fulani walimlaza akarudisha ulimi ndani akashindwa kupumua sawasawa.
Poleni na msiba mkuu.
RIP Baharia.