chongoe
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,183
- 2,871
Wakuu nina huzuni sana samaki amesababisha ajali kwa baharia wangu tulikuwa tunarudi Zanzibar kwa kutumia jahazi tukatosa Mshipi kwa ajili ya kutafuta kitoeleo tulipokuwa Karibu na mafia samaki akanasa kwenye Mshipi.
Alikuwa nguru baharia wangu baada ya kumpakia samaki kwenye jahazi kwa bahati mbaya samaki akatafuna kisigino ilimwagika damu nyingi sana na mpaka tunafika bandarini tukampeleka hospitali ikawa ameshafariki
Tangulia baharia