Ati?? kifo cha aibu?? Unajuwa wangapi wanakufa na mmbu?? Don't make a jokes ktk situation kama hii,yeye na Lowasa mbele ya mungu wanathamani moja kama watoto wa Adam.Dah kifo cha aibu sana, eti watoto wanakuja kupewa story babaenu alikufa kwa kung'atwa na samaki kwenye kisigino.
Kweli zikifika zimefika
King mackerelhuyo samaki Nguru anaitwaje kwa jina la kiingereza?
Nguru mbichi hana chumvi ila ana mnofu mkubwa sana na huuzwa bei ghali. Huwekwa chumvi baada ya kuvuliwa ili aweze kukaa muda mrefu pasi na kuharibikaNGuru ni samaki mtamo anachumvi nyingi mpaka raha
Ila kwa hii story cjapenda alichofanya samaki huyu
Nguru hana chumvi, yale machumvi huwa wanamjaza ili akae muda mrefuNGuru ni samaki mtamo anachumvi nyingi mpaka raha
Ila kwa hii story cjapenda alichofanya samaki huyu
Mnavua samaki mkubwa hivyo halafu mnachelewesha kumuua? Samaki wakubwa huwa wana uwezo wa kukaa muda mrefu kidogo nje ya maji pasi na kufa na huwa na hasira sanaTupo baharini hatukuwa na chakufunga
Duuh! huyu baharia ndo msiba wake ulikuwa maeneo ya kichangachui mtaa wa kwa malewa???Wakuu nina huzuni sana samaki amesababisha ajali kwa baharia wangu tulikuwa tunarudi Zanzibar kwa kutumia jahazi tukatosa Mshipi kwa ajili ya kutafuta kitoeleo tulipokuwa Karibu na mafia samaki akanasa kwenye Mshipi.
Alikuwa nguru baharia wangu baada ya kumpakia samaki kwenye jahazi kwa bahati mbaya samaki akatafuna kisigino ilimwagika damu nyingi sana na mpaka tunafika bandarini tukampeleka hospitali ikawa ameshafariki
Tangulia baharia
View attachment 2907909
Poleni sana.Wakuu nina huzuni sana samaki amesababisha ajali kwa baharia wangu tulikuwa tunarudi Zanzibar kwa kutumia jahazi tukatosa Mshipi kwa ajili ya kutafuta kitoeleo tulipokuwa Karibu na mafia samaki akanasa kwenye Mshipi.
Alikuwa nguru baharia wangu baada ya kumpakia samaki kwenye jahazi kwa bahati mbaya samaki akatafuna kisigino ilimwagika damu nyingi sana na mpaka tunafika bandarini tukampeleka hospitali ikawa ameshafariki
Tangulia baharia
View attachment 2907909
Jodari kwa lugha ya kiingereza ni Tuner fish. Jodari na Nguru ni samaki wawili tofauti kabisaKwanini kingereza wewe ni muingereza?? King fish...au kiswahili pia Jodari....watu wabara mikowani, Sehewa pia wanamuita nguru. Wakati sehewa ni miongoni mwa samaki wa beirahisi sana na nguru ni Aghali mno.poleni sana bro Allah amsamehe nduguyetu.
Ahsante kwa ushauri mwemaPoleni sana.
Samaki nguru ana meno makali sana. Ni muhimu kuwa makini wakati wa kumtoa kwenye maji.
Pia ni muhimu kupata elimu ya huduma ya kwanza na kuwa na kile kisanduku cha huduma ya kwanza kwenye mashua au boti ya uvuvi. Mengine ni ya kumtanguliza Mungu maana sie wanadamu bila Allah, mambo hayaendi.
Poleni sana.
Duuh! mwamba apumzike kwa amani ππ na pole kwa mabahari woteNdio mkuu
Pole sana, apumzike kwa Amani!Wakuu nina huzuni sana samaki amesababisha ajali kwa baharia wangu tulikuwa tunarudi Zanzibar kwa kutumia jahazi tukatosa Mshipi kwa ajili ya kutafuta kitoeleo tulipokuwa Karibu na mafia samaki akanasa kwenye Mshipi.
Alikuwa nguru baharia wangu baada ya kumpakia samaki kwenye jahazi kwa bahati mbaya samaki akatafuna kisigino ilimwagika damu nyingi sana na mpaka tunafika bandarini tukampeleka hospitali ikawa ameshafariki
Tangulia baharia
View attachment 2907909
Huyo samaki mpaka mmemvua mpo nae tuu jahazini bado alikua hai tuu?na mpaka anamng'ata huyo jamaa alikua kamkanyaga shingo auWakuu nina huzuni sana samaki amesababisha ajali kwa baharia wangu tulikuwa tunarudi Zanzibar kwa kutumia jahazi tukatosa Mshipi kwa ajili ya kutafuta kitoeleo tulipokuwa Karibu na mafia samaki akanasa kwenye Mshipi.