TANZIA Ulale pema peponi baharia wangu

TANZIA Ulale pema peponi baharia wangu

Dah kifo cha aibu sana, eti watoto wanakuja kupewa story babaenu alikufa kwa kung'atwa na samaki kwenye kisigino.

Kweli zikifika zimefika
Ati?? kifo cha aibu?? Unajuwa wangapi wanakufa na mmbu?? Don't make a jokes ktk situation kama hii,yeye na Lowasa mbele ya mungu wanathamani moja kama watoto wa Adam.
 
NGuru ni samaki mtamo anachumvi nyingi mpaka raha

Ila kwa hii story cjapenda alichofanya samaki huyu
Nguru mbichi hana chumvi ila ana mnofu mkubwa sana na huuzwa bei ghali. Huwekwa chumvi baada ya kuvuliwa ili aweze kukaa muda mrefu pasi na kuharibika
 
images-2.jpeg

Samaki nguru aka king fish/ king mackerel
 
Wakuu nina huzuni sana samaki amesababisha ajali kwa baharia wangu tulikuwa tunarudi Zanzibar kwa kutumia jahazi tukatosa Mshipi kwa ajili ya kutafuta kitoeleo tulipokuwa Karibu na mafia samaki akanasa kwenye Mshipi.

Alikuwa nguru baharia wangu baada ya kumpakia samaki kwenye jahazi kwa bahati mbaya samaki akatafuna kisigino ilimwagika damu nyingi sana na mpaka tunafika bandarini tukampeleka hospitali ikawa ameshafariki

Tangulia baharia

View attachment 2907909
Duuh! huyu baharia ndo msiba wake ulikuwa maeneo ya kichangachui mtaa wa kwa malewa???
🙁🙁😳😳
 
Wakuu nina huzuni sana samaki amesababisha ajali kwa baharia wangu tulikuwa tunarudi Zanzibar kwa kutumia jahazi tukatosa Mshipi kwa ajili ya kutafuta kitoeleo tulipokuwa Karibu na mafia samaki akanasa kwenye Mshipi.

Alikuwa nguru baharia wangu baada ya kumpakia samaki kwenye jahazi kwa bahati mbaya samaki akatafuna kisigino ilimwagika damu nyingi sana na mpaka tunafika bandarini tukampeleka hospitali ikawa ameshafariki

Tangulia baharia

View attachment 2907909
Poleni sana.

Samaki nguru ana meno makali sana. Ni muhimu kuwa makini wakati wa kumtoa kwenye maji.

Pia ni muhimu kupata elimu ya huduma ya kwanza na kuwa na kile kisanduku cha huduma ya kwanza kwenye mashua au boti ya uvuvi. Mengine ni ya kumtanguliza Mungu maana sie wanadamu bila Allah, mambo hayaendi.

Poleni sana.
 
Kwanini kingereza wewe ni muingereza?? King fish...au kiswahili pia Jodari....watu wabara mikowani, Sehewa pia wanamuita nguru. Wakati sehewa ni miongoni mwa samaki wa beirahisi sana na nguru ni Aghali mno.poleni sana bro Allah amsamehe nduguyetu.
Jodari kwa lugha ya kiingereza ni Tuner fish. Jodari na Nguru ni samaki wawili tofauti kabisa
 
Poleni sana.

Samaki nguru ana meno makali sana. Ni muhimu kuwa makini wakati wa kumtoa kwenye maji.

Pia ni muhimu kupata elimu ya huduma ya kwanza na kuwa na kile kisanduku cha huduma ya kwanza kwenye mashua au boti ya uvuvi. Mengine ni ya kumtanguliza Mungu maana sie wanadamu bila Allah, mambo hayaendi.

Poleni sana.
Ahsante kwa ushauri mwema
 
Wakuu nina huzuni sana samaki amesababisha ajali kwa baharia wangu tulikuwa tunarudi Zanzibar kwa kutumia jahazi tukatosa Mshipi kwa ajili ya kutafuta kitoeleo tulipokuwa Karibu na mafia samaki akanasa kwenye Mshipi.

Alikuwa nguru baharia wangu baada ya kumpakia samaki kwenye jahazi kwa bahati mbaya samaki akatafuna kisigino ilimwagika damu nyingi sana na mpaka tunafika bandarini tukampeleka hospitali ikawa ameshafariki

Tangulia baharia

View attachment 2907909
Pole sana, apumzike kwa Amani!
 
Huyo samaki mpaka mmemvua mpo nae tuu jahazini bado alikua hai tuu?na mpaka anamng'ata huyo jamaa alikua kamkanyaga shingo au
 
Pole sana tena sana baharia mwenzangu daaah...
Kilindoni moja hapa..
 
Back
Top Bottom