Ulaya na Marekani wakibana, hata miradi kama SGR na Ujenzi wa Bwala la Umeme vyote vitakwama

Afadhali ya Trump akiingia Biden na mtazamo wao wa kushoto haya mambo yakipelekwa white house ndio tutajuta.
 
EU wameshayumba kiuchumi ni kama mbwa koko iliwafanikiwe kwasasa wanatuhitaji kuliko tunavyowahitaji,kama tunakusanya mapato ya 1.3Tril nini 70Bil wanayobweka fedha ya covid 19 safari hii wamegonga mwamba.
 

Madikteta wote uanza vizuri kabla ya kulewa
 
 
Funguweni akili mgando hizo na muache kuwasujudu wazungu nao ni watu Kama nyie tu tofauti rangi tu.


Pumbavu, wewe bila wazungu hiyo simu au laptop unayoandikia utumbo wako ungekuwa nayo??

Mbona Serikali imeshindwa kumkamata Lissu alipokuwa anaondoka kwenda nje,, si wazungu waliomsindikiza!!! Je na nyie mnawasujudia na kuwaogopa??? 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…