Ulaya waiambia NATO sio toi lao lakuburuzwa, hawatoingia kwenye mgogoro unaoendelea

Ulaya waiambia NATO sio toi lao lakuburuzwa, hawatoingia kwenye mgogoro unaoendelea

Sigonella Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
13,484
Reaction score
40,858
baada Trump kushindwa kuwaingiza Vitani washirika wa Ulaya na kuwakosoa Marais wa Ulaya NATO wamemcharukia Trump na kumpa za uso

📞Trump (screaming): “Emmanuel! Giorgia! You cowards! Strait of Hormuz closed, gas at $9! Join the war NOW or I pull out of NATO, cut Ukraine aid, let Putin eat you alive!”
Macron (cool as ice): “Donald, calm down. NATO isn’t your toy. Send your ships — or negotiate yourself. We’re not fixing America’s mess.”
Meloni (explodes, Italian fire): “Shut up, Donald! You come begging Italy to fight YOUR war so your gas drops? America always brags, brags, then leaves Europe to bury the dead! Italy ain’t your maid. Want out of NATO? Go now — let Ukraine rot! But when Russia knocks on New York, don’t cry! Threaten us again? I’ll tell the world you’re just a loudmouth clown — big talk, zero balls. Ciao, buffone!”
Line cuts. Trump throws phone. Meloni smirks: “Che idiota!”
20260402_054345.jpg


===
Vita ya Iran inapokaribia kutimiza mwezi mmoja, washirika wa Ulaya ndani ya NATO wanaanza kujitenga na operesheni ya pamoja ya Marekani na Israel, ambayo imesababisha kupanda kwa bei ya mafuta ghafi na kuongeza shinikizo kwa uchumi duniani.

Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, amewahakikishia wananchi kuwa hataruhusu Uingereza kuingizwa kwenye mzozo huo. Wakati huo huo, Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, amesisitiza kuwa Ulaya ina msimamo thabiti na unaotabirika tofauti na uamuzi wa upande mmoja wa Marekani kushambulia Iran.

Kwa upande wake, Rais wa Marekani, Donald Trump, amerudia vitisho vya kuiondoa Marekani ndani ya NATO kutokana na kile anachodai ni ukosefu wa uungwaji mkono kutoka kwa washirika wake.

Hata hivyo, sheria ya mwaka 2023 iliyopitishwa chini ya utawala wa Rais wa zamani, Joe Biden, inaweza kuwa kikwazo kwa hatua hiyo.

=
As the Iran war nears the one-month mark, European NATO allies are distancing themselves from the joint US-Israeli operation that has sent crude oil prices soaring and put pressure on economies worldwide.

British Prime Minister Keir Starmer has assured the public that he won't allow the UK to be drawn into the conflict. French President Emmanuel Macron has contrasted Europe's predictability with the US's unilateral decision to attack Iran.

US President Donald Trump has reiterated threats to pull the United States from NATO for not supporting Washington. But a 2023 law passed by the Biden administration may prove a stumbling block.
 
Iko hivi, USA ilikuwa na nguvu kabla ya NATO... NATO inahitaji USA kuliko kinyume chake.
Kwahiyo sasa hivi US hana nguvu? Na ndio maana anaomba msaada kwa NATO?

Kama alikua na nguvu kuliko NATO kwanini alijunga na umoja huo? Kama hafaidiki kwanini alijuunga nao?

Halafu naona umekwapa maswali yangu,hujajibu hata moja.
 
Kwahiyo sasa hivi US hana nguvu? Na ndio maana anaomba msaada kwa NATO?

Kama alikua na nguvu kuliko NATO kwanini alijunga na umoja huo? Kama hafaidiki kwanini alijuunga nao?

Halafu naona umekwapa maswali yangu,hujajibu hata moja.
Jambo likimshinda Marekani, hakuna nchi ndani ya NATO inaweza kufanya. Ndio maana hata Ukraine anasema Security Guarantee bila USA ni bure kabisa
 
Trump Bwana,Ulaya si wajinga eti wajiingize kwenye vita ambayo wanajua kabisa Irani ana Makombora ya kuifikia Ulaya yote.Trump yeye anajiamini yupo mbali huk
 
NATO bila USA haina meno. Members wengine wanajua, hata kama hadharani wanaleta kelele.
Hapana Ulaya wata ji-organize kuboresha NATO yao na watakuja na NATO madhubuti zaidi, dunia hapa tulipofika mataifa mengi yanataka kujikomboa kuachana na utumwa, US walijua rais wao akiwatuma nchi za ulaya wafanye chochote wote watafuata amri, ndio mana hata Iran nao wanataka kuwa nchi huru zaidi isipangiwe tena kuwa na silaha hii na hii usiwe nayo, bora haya mambo yatibuke ukoloni umalize kabisa kabisa duniani, Mkubwa wa dunia ni Mungu mwenyewe tu.

Hata US mwenye hana nguvu yoyote bila NATO, vita ilianza wiki 2 tu Iran ameomba msaada. Hata huku kwetu pia nchi zitapata uhuru
 
Hapana Ulaya wata ji-organize kuboresha NATO yao na watakuja na NATO madhubuti zaidi, dunia hapa tulipofika mataifa mengi yanataka kujikomboa kuachana na utumwa, US walijua rais wao akiwatuma nchi za ulaya wafanye chochote wote watafuata amri, ndio mana hata Iran nao wanataka kuwa nchi huru zaidi isipangiwe tena kuwa na silaha hii na hii usiwe nayo, bora haya mambo yatibuke ukoloni umalize kabisa kabisa duniani, Mkubwa wa dunia ni Mungu mwenyewe tu.

Hata US mwenye hana nguvu yoyote bila NATO, vita ilianza wiki 2 tu Iran ameomba msaada. Hata huku kwetu pia nchi zitapata uhuru
Mkuu, US is the most powerful nation in the world. Hilo halina ubishi, kwamba kuna mambo anashindwa kufanya, haimaanishi hana nguvu. Ukweli ni kwamba Iran imekuwa shida kuliko walivyotegemea. Na Trump kuwaambia NATO waende kufungua Homuuz sio kwa sababu wana uwezo huo, anafanya siasa tu.

Na nguvu ya Markeni sio jeshi tu, ni vifaa. NATO nzima imejaa silaha za US.
 
Trump (akipiga kelele): "Emmanuel! Giorgia! Ninyi waoga! Mlango wa bahari wa Hormuz umefungwa, gesi kwa $9! Jiunge na vita SASA au niondoe NATO, nikate misaada ya Ukraine, acha Putin akule ukiwa hai!"
Macron (poa kama barafu): "Donald, tulia. NATO si kitu chako cha kuchezea. Tuma meli zako - au ujadiliane mwenyewe. Hatusuluhishi fujo za Amerika."
Meloni (analipuka, moto wa Kiitaliano): "Nyamaza, Donald! Unakuja kuomba Italia kupigana vita YAKO ili gesi yako ipunguke? Amerika daima hujisifu, hujisifu, kisha huondoka Ulaya ili kuzika wafu! Italia si mjakazi wako. Unataka kutoka kwa NATO? Nenda sasa - acha Ukraine ioze! Lakini wakati Urusi inapogonga New York, usilie! Tuambie tena kwa sauti kubwa - Tuambie ulimwengu kwa sauti kubwa? mipira sifuri, Ciao, buffone!
Kupunguzwa kwa mstari. Trump arusha simu. Meloni anatabasamu: "Che idiota!"
 
Zilikuwepo hadithi kwamba USA ina mifumo dhabiti kiasi hata wapate rais mwendawazimu huwezi kuona athari za ukichaa wake kwenye kuongoza nchi.

Ama kweli nyumba inayovuja utaijua masika.
 
Back
Top Bottom