Ulaya waiambia NATO sio toi lao lakuburuzwa, hawatoingia kwenye mgogoro unaoendelea

Ulaya waiambia NATO sio toi lao lakuburuzwa, hawatoingia kwenye mgogoro unaoendelea

Vita vya Panzi ni furaha kwa kunguru!
Sasa hivi Putin anachekelea!
 
Sasa kama ni hivyo kwanini sasahivi anahitaji msaada wa NATO members?
Trump anafanya siasa.... anajua hakuna nchi inaweza kufanya chochote kama wao US hawataki. Hakuna nchi duniani inauwezo wa kupigana mbali na nchi yao kuliko US. Ukiachana na Marekani, nchi kubwa zilizobaki NATO ni UK, German, Italy, France; wote huo uwezo wa kwenda Iran hawana.
 
Wanamsaidia kimya kimya hao, ninaye muamini mpaka Sasa ni SPAIN kwakweli amenishangaza ila nilianza kuona dalili baada ya kuwatetea wapalestine Spain, amepewa special Gift Kwa kubandikwa picha ya waziri wake Kwenye missiles na kushukuriwa na IRGC
 
Wanamsaidia kimya kimya hao, ninaye muamini mpaka Sasa ni SPAIN kwakweli amenishangaza ila nilianza kuona dalili baada ya kuwatetea wapalestine Spain, amepewa special Gift Kwa kubandikwa picha ya waziri wake Kwenye missiles na kushukuriwa na IRGC

Ni kwa mara ya kwanza Europe wameanza kutumia akili. Ila makosa aliyafanya Trump mwemyewe alivo anza kulishughurikia mgogoro wa ukraine, alianza kuwatenga Europe na kuwaona Vilaza.
 
Hapana Ulaya wata ji-organize kuboresha NATO yao na watakuja na NATO madhubuti zaidi, dunia hapa tulipofika mataifa mengi yanataka kujikomboa kuachana na utumwa, US walijua rais wao akiwatuma nchi za ulaya wafanye chochote wote watafuata amri, ndio mana hata Iran nao wanataka kuwa nchi huru zaidi isipangiwe tena kuwa na silaha hii na hii usiwe nayo, bora haya mambo yatibuke ukoloni umalize kabisa kabisa duniani, Mkubwa wa dunia ni Mungu mwenyewe tu.

Hata US mwenye hana nguvu yoyote bila NATO, vita ilianza wiki 2 tu Iran ameomba msaada. Hata huku kwetu pia nchi zitapata uhuru
Ila we jamaa asa kila mtu akiwa mbabe kama ukoo wakambale dunia itatawalika hii, huyo Iran kila siku anaimba kuifuta Israel kwenye wadunia sasa akiwa super power just imagine
 
Mkuu, US is the most powerful nation in the world. Hilo halina ubishi, kwamba kuna mambo anashindwa kufanya, haimaanishi hana nguvu. Ukweli ni kwamba Iran imekuwa shida kuliko walivyotegemea. Na Trump kuwaambia NATO waende kufungua Homuuz sio kwa sababu wana uwezo huo, anafanya siasa tu.

Na nguvu ya Markeni sio jeshi tu, ni vifaa. NATO nzima imejaa silaha za US.
US ni powerful akiwa na NATO alitishia kujitoa NATo lakini mbona kaganda anasubiri nini, ni kwa sababu atajiona mwepesi uwezo wake, na Ulaya wanamuangalia tu speed yake akichomoka tu US ndo kwisha uwezo wake., Kama NATO ni paper tiger bila ya US kama alivyosema kashindwa kuichukua Green land na wala hazungunzii tena habari hiyo alipoona jamaa wamemdindia
 
Back
Top Bottom