johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kibwetele, kaangamia mwenyewe!Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
Kwani wewe uko wapi?yupo wapi kwani
siko kwenye ICUKwani wewe uko wapi?
Wewe umeshachomwa? Kama nchi zaidi ya 15 wamesimamisha uchomaji huko Ulaya wewe unaona hakuna shida? Utopolo kwenye kichwa umekujaa pole mkuu!!Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
Uko wapisiko kwenye ICU
Duuh mzee ww Hauko serious, unasemea mambo ya watu 35 wakati ht akiwa n mtu mmoja hua chanjo inaanza kutiliwa mashaka mana watu tunatofautiana kwa kinga za mwili hvy ikimdhuru mmoja bc inaweza kudhuru wengine piaWaliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
Bavicha watachanjwa na wachina!Bavicha jiandaeni kuchanjwa
We unahisi ipi itatufaa?Zipo chanjo za aina nyingi, nje na Astra zeneca, na tafiti bado zinaendelea sasa Tuko wapi Magufuli?
badala ya kuongelea hali halisi ww unashndania vyama. Hii ni aibu! Ongea topic usiongee khs chama, hauna hatimiliki na chama pimbi weye.Bavicha watachanjwa na wachina!
Wewe msubiri mchina hapo hapo Ufipa!badala ya kuongelea hali halisi ww unashndania vyama. Hii ni aibu! Ongea topic usiongee khs chama, hauna hatimiliki na chama pimbi weye.