Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
Baada ya muda ndo mtajua madhara yake,
Pia hiyo milioni 35 ya nchi gani bwashee,
Maana hata africa jumla ya chanjo mlizopewa hazizidi milioni 3 au 5 na huko ulaya bado wnasuasua kuchanja sasa hao milioni 35 ni wa wapi?
 
Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 t
Unadhani ni rahisi kutambua (diagnose) hiyo Disseminated Intravascular Coagulopathy (DIC)? Kwenye nchi zetu hizi wanaopata dalili za DIC wengi huishia kwa waganga wa jadi na kwenye miti shamba. Hata wale wachache wanaoenda hospitali zetu huishia kuambiwa wana UTI au typhoid au amoeba. Hatimaye hufia majumbani na kusingiziana uchawi. Hivyo hao 35 is just the tip of the hippotamus.
 
BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu.

Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena.

Rais Magufuli wa Tanzania aliwaambia wataalamu wake wasikimbilie chanjo za magharibi kabla ya kufanya utafiti wa kutosha kujiridhisha juu ya usalama wa chanjo hiyo.

Maendeleo hayana vyama!

Kwa hiyo Magufuli akiwa sahihi basi imetosha? Alichoshauri ni uchunguzi wa chanjo hizo ufanyike. Hivyo basi nafikiri ni muhimu tuarifiwe juhudi zinazoendelea kuchambua chanjo mbali mbali zinazoidhinishwa kuingia sokoni duniani ili tuone zipi zinazotufaa?

Hivyo ndivyo kufanyia kazi mawazo ya Rais. Sio kumsifu tu na kuchekelea kishabiki. Ingependeza zaidi Wizara ya Afya kuanzisha vipindi kuelimisha umma kuhusu chanjo za covid-19, miundo, zinavyofanya kazi, ubora na athari zake.

Tuwe hata na mijadala ya wataalamu wetu wa chanjo yenye tija kwa Watanzania na kuondoa kabisa ushabiki wa kisiasa unaozidi kudumaza jamii kifikra. Tumeachia vilaza matapeli kuja kuhubiri ujinga wa 666, 5G, na NWO kila mahali.
 
Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
Raction time zinatofautiana kati ya mtu na mtu; wengine milli inareact papo kwa papo wakati wengine reaction inakua polepole. Majibu mazuri ni pale watu wote waliopata chanjo hiyo watakapochunguzwa baada ya miaka kama miwiwili.
 
BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu.

Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena.

Rais Magufuli wa Tanzania aliwaambia wataalamu wake wasikimbilie chanjo za magharibi kabla ya kufanya utafiti wa kutosha kujiridhisha juu ya usalama wa chanjo hiyo.

Maendeleo hayana vyama!
Akina nanhii wanajifanya hawajasikia
 
Wewe umeshachomwa? Kama nchi zaidi ya 15 wamesimamisha uchomaji huko Ulaya wewe unaona hakuna shida? Utopolo kwenye kichwa umekujaa pole mkuu!!
Usipende kutanguliza matusi. Kwani chanjo iko ya aina moja tu? Chanjo nyingine zinaendelea kutumika wakati unafanywa kuhusu chanjo ya Astra Zeneca.

Amandla...
 
Inavyoonekana bado hazina usalama.

Watu 35 kupata madhara ni wengi sana.

Muda unavyokwenda wataongezeka na wengine.
 
..kama Magu hataki au haziamini chanjo za mabeberu basi ajaribu za Mchina au Mrusi.
 
Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
Acha tafiti za kubumba acha kuongopea namba namba haitaki brabra

Wenye takwimu halis wameona kuna tatizo mamlaka za nchi zinaona wewe kama unaona xhanjo nzuri kajipige Ila na bado mwaka huu ndo nimejua Magufuli anaongoza dunia
 
Hivi una habari hao unaowaita "wenye takwimu halisi" ni wanasiasa sawa na JPM ambao hata huko wanapingana na Wataalamu wao?!! Hivi kwa akili yako kwa issue kama hii nani anaweza kuaminika kati ya wanasiasa na watalaamu wa afya?!
 
Inavyoonekana bado hazina usalama.

Watu 35 kupata madhara ni wengi sana.

Muda unavyokwenda wataongezeka na wengine.
Assuming taarifa ni sahihi! Are serious kwamba 35 out of 35M ni watu wengi sana?! Hivi kuna tiba na chanjo ngapi duniani zenye side effect? Kumbuka wakati Tanzania inatoa takwimu, tuliishia kwenye Total Cases 560, na Vifo 21!! Sasa kama total cases 560 zilituachia vifo 21, hivi unaweza kuthubutu kusema 35 out of 35M ni wengi sana?! Hadi leo, world data inaonesha Total Cases ni almost 121.5M huku kukiwa na vifo 2.7M!! Sasa kwa takwimu hizo unaweza kusema 35 out of 35M ni wengi sana?!
 
Wewe umeshachomwa? Kama nchi zaidi ya 15 wamesimamisha uchomaji huko Ulaya wewe unaona hakuna shida? Utopolo kwenye kichwa umekujaa pole mkuu!!
We endelea tu kujitoa ufahamu ili kumtetea Jiwe lakini kaa ukifahamu hata huko Ulaya wanaositisha hizi chanjo ni wanasiasa kama Jiwe huku watalaamu wao wakipingana na madai ya hao wanasiasa wanaotaka chanjo isitishwe!! Sasa kama una ufahamu nani dhani pia utakuwa na ufahamu ni nani anayetakiwa kusikilizwa kati ya wanasiasa na watalaamu wa afya huku ukikumbushwa ni wanasiasa hao hao hata huko Ulaya ndio walichangia sana tatizo kuwa kubwa maradufu huko kwao!!!
 
Hii chanjo acha tusubiri hata miaka mi 5 tuone wanaofanyiwa majaribio itaenda vipi ila kwa sasa hapana asee
 
Assuming taarifa ni sahihi! Are serious kwamba 35 out of 35M ni watu wengi sana?! Hivi kuna tiba na chanjo ngapi duniani zenye side effect? Kumbuka wakati Tanzania inatoa takwimu, tuliishia kwenye Total Cases 560, na Vifo 21!! Sasa kama total cases 560 zilituachia vifo 21, hivi unaweza kuthubutu kusema 35 out of 35M ni wengi sana?! Hadi leo, world data inaonesha Total Cases ni almost 121.5M huku kukiwa na vifo 2.7M!! Sasa kwa takwimu hizo unaweza kusema 35 out of 35M ni wengi sana?!
Reaction ya dawa inatofautiana baina ya mtu na mtu hiyo ni issue moja tu ya blood clotting, hatujaambiwa kuhusiana na cases nyingine.

Naamini jinsi muda unavyozidi kwenda tutasikia mengine, ndio maana wenyewe kwa kutambua hilo wameamua kusitisha utoaji wake.

Hizo chanjo kumbuka kwamba zinatolewa kwa majaribio tu, bado hazijadhibitishwa kuwa halisi.
 
Hawawezi kusema jambo ambalo halijatokea na ndo maana wao wanaripoti kile kinachotokea! Aidha, hao unaosema "wenyewe" ni Wanasiasa lakini sio watalaamu! Na kama nilivyosema hapo awali, achilia mbali na JPM wa Tanzania, hata huko Ulaya na Marekani ni wanasiasa hao hao ndio walichangia tatizo kuwa kubwa zaidi kwenye nchi zao baada ya kupinga miongozo ya watalaamu! Sweden kwa mfano, serikali ikapingana na miongozo ya watalaamu na matokeo yake nchi ikaathirika vibaya sana hadi ikafungiwa mipaka na majirani zake nchi za Scandinavia! Kama sio mfuatiliaji wa siasa za kimataifa bali angalau utakuwa unafuatilia siasa za Marekani! Watu tulikuwa tunamsikia Trump alivyokuwa anafanya mzaha huku akipingana na watalaamu! Kule Iran kiongozi wao akatangaza Iran italindwa na Allah!!

Mataifa yote hayo, hadi wanakuja kushtuka na kufuata maagizo ya watalaamu ikawa too late kwa sababu tayari corona ilishaingia mtaani na ikawa ngumu kudhibiti hadi kesho!!! Hao ndio unaowaita "wenyewe"! Yaani viongozi wa kisiasa wanaoenda kinyume na maagizo ya kitaalamu! Hapo wakiendelea kufyekwa zaidi, kama ambavyo utafiti uliotoka huko Sweden kwamba hii variant ya sasa inaathiri hadi watoto; hapo ndipo wataanza tena kutafutana na kutafuta chanjo wakati ishakuwa too late kama wakati huu ugonjwa ulipoingia!!
 
Reaction ya dawa inatofautiana baina ya mtu na mtu hiyo ni issue moja tu ya blood clotting, hatujaambiwa kuhusiana na cases nyingine.

Naamini jinsi muda unavyozidi kwenda tutasikia mengine, ndio maana wenyewe kwa kutambua hilo wameamua kusitisha utoaji wake.

Hizo chanjo kumbuka kwamba zinatolewa kwa majaribio tu, bado hazijadhibitishwa kuwa halisi.
Nyingine athari unakuja kuziona hata miaka 5 mbele ..........hizi chanjo za corona nyingi zimeruka stage ya majaribio ambayo huchukua miaka kadhaa ndo inapitishwa kutumika na watu wengi
 
Back
Top Bottom