Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

UK plus European union mpaka sasa ni zaidi ya milioni 35
Mjomba, acheni kuhalalisha chungu kuwa tamu, chanjo ni muhimu kuliko porojo za mitaani
Nenda kenya ukachanjwe kisha urudi kwani kuna mtu atakuzuia?
Mbona matibabu mnaenda mpaka india kwa ajili ya afya zenu sasa chanjo unashindwa nini?
 
Endelea kushupaza shingo nadhani habari unayo
 
Back
Top Bottom