Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,729
- 2,851
Nenda kenya ukachanjwe kisha urudi kwani kuna mtu atakuzuia?UK plus European union mpaka sasa ni zaidi ya milioni 35
Mjomba, acheni kuhalalisha chungu kuwa tamu, chanjo ni muhimu kuliko porojo za mitaani
Mbona matibabu mnaenda mpaka india kwa ajili ya afya zenu sasa chanjo unashindwa nini?