Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Sasa kama huchomi na huna sababu utakuwa mjinga. Kama umezaliwa nchi hii umeshapiga chanjo nyingi sana Christina kwakifupi umechelewa.Mi ht ije chanjo ipi,msimamo wangu sichomi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama huchomi na huna sababu utakuwa mjinga. Kama umezaliwa nchi hii umeshapiga chanjo nyingi sana Christina kwakifupi umechelewa.Mi ht ije chanjo ipi,msimamo wangu sichomi!
Baada ya muda ndo mtajua madhara yake,Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
Unadhani ni rahisi kutambua (diagnose) hiyo Disseminated Intravascular Coagulopathy (DIC)? Kwenye nchi zetu hizi wanaopata dalili za DIC wengi huishia kwa waganga wa jadi na kwenye miti shamba. Hata wale wachache wanaoenda hospitali zetu huishia kuambiwa wana UTI au typhoid au amoeba. Hatimaye hufia majumbani na kusingiziana uchawi. Hivyo hao 35 is just the tip of the hippotamus.Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 t
Na kipimo watapimwaBavicha watachanjwa na wachina!
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukute jiwe nae aliichoma ndo maana imempeleka puta mpk kapotea.[emoji15][emoji15]
BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu.
Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena.
Rais Magufuli wa Tanzania aliwaambia wataalamu wake wasikimbilie chanjo za magharibi kabla ya kufanya utafiti wa kutosha kujiridhisha juu ya usalama wa chanjo hiyo.
Maendeleo hayana vyama!
Raction time zinatofautiana kati ya mtu na mtu; wengine milli inareact papo kwa papo wakati wengine reaction inakua polepole. Majibu mazuri ni pale watu wote waliopata chanjo hiyo watakapochunguzwa baada ya miaka kama miwiwili.Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
Akina nanhii wanajifanya hawajasikiaBBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu.
Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena.
Rais Magufuli wa Tanzania aliwaambia wataalamu wake wasikimbilie chanjo za magharibi kabla ya kufanya utafiti wa kutosha kujiridhisha juu ya usalama wa chanjo hiyo.
Maendeleo hayana vyama!
Usipende kutanguliza matusi. Kwani chanjo iko ya aina moja tu? Chanjo nyingine zinaendelea kutumika wakati unafanywa kuhusu chanjo ya Astra Zeneca.Wewe umeshachomwa? Kama nchi zaidi ya 15 wamesimamisha uchomaji huko Ulaya wewe unaona hakuna shida? Utopolo kwenye kichwa umekujaa pole mkuu!!
Acha tafiti za kubumba acha kuongopea namba namba haitaki brabraWaliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
Hivi una habari hao unaowaita "wenye takwimu halisi" ni wanasiasa sawa na JPM ambao hata huko wanapingana na Wataalamu wao?!! Hivi kwa akili yako kwa issue kama hii nani anaweza kuaminika kati ya wanasiasa na watalaamu wa afya?!Acha tafiti za kubumba acha kuongopea namba namba haitaki brabra
Wenye takwimu halis wameona kuna tatizo mamlaka za nchi zinaona wewe kama unaona xhanjo nzuri kajipige Ila na bado mwaka huu ndo nimejua Magufuli anaongoza dunia
Assuming taarifa ni sahihi! Are serious kwamba 35 out of 35M ni watu wengi sana?! Hivi kuna tiba na chanjo ngapi duniani zenye side effect? Kumbuka wakati Tanzania inatoa takwimu, tuliishia kwenye Total Cases 560, na Vifo 21!! Sasa kama total cases 560 zilituachia vifo 21, hivi unaweza kuthubutu kusema 35 out of 35M ni wengi sana?! Hadi leo, world data inaonesha Total Cases ni almost 121.5M huku kukiwa na vifo 2.7M!! Sasa kwa takwimu hizo unaweza kusema 35 out of 35M ni wengi sana?!Inavyoonekana bado hazina usalama.
Watu 35 kupata madhara ni wengi sana.
Muda unavyokwenda wataongezeka na wengine.
We endelea tu kujitoa ufahamu ili kumtetea Jiwe lakini kaa ukifahamu hata huko Ulaya wanaositisha hizi chanjo ni wanasiasa kama Jiwe huku watalaamu wao wakipingana na madai ya hao wanasiasa wanaotaka chanjo isitishwe!! Sasa kama una ufahamu nani dhani pia utakuwa na ufahamu ni nani anayetakiwa kusikilizwa kati ya wanasiasa na watalaamu wa afya huku ukikumbushwa ni wanasiasa hao hao hata huko Ulaya ndio walichangia sana tatizo kuwa kubwa maradufu huko kwao!!!Wewe umeshachomwa? Kama nchi zaidi ya 15 wamesimamisha uchomaji huko Ulaya wewe unaona hakuna shida? Utopolo kwenye kichwa umekujaa pole mkuu!!
Reaction ya dawa inatofautiana baina ya mtu na mtu hiyo ni issue moja tu ya blood clotting, hatujaambiwa kuhusiana na cases nyingine.Assuming taarifa ni sahihi! Are serious kwamba 35 out of 35M ni watu wengi sana?! Hivi kuna tiba na chanjo ngapi duniani zenye side effect? Kumbuka wakati Tanzania inatoa takwimu, tuliishia kwenye Total Cases 560, na Vifo 21!! Sasa kama total cases 560 zilituachia vifo 21, hivi unaweza kuthubutu kusema 35 out of 35M ni wengi sana?! Hadi leo, world data inaonesha Total Cases ni almost 121.5M huku kukiwa na vifo 2.7M!! Sasa kwa takwimu hizo unaweza kusema 35 out of 35M ni wengi sana?!
Hawawezi kusema jambo ambalo halijatokea na ndo maana wao wanaripoti kile kinachotokea! Aidha, hao unaosema "wenyewe" ni Wanasiasa lakini sio watalaamu! Na kama nilivyosema hapo awali, achilia mbali na JPM wa Tanzania, hata huko Ulaya na Marekani ni wanasiasa hao hao ndio walichangia tatizo kuwa kubwa zaidi kwenye nchi zao baada ya kupinga miongozo ya watalaamu! Sweden kwa mfano, serikali ikapingana na miongozo ya watalaamu na matokeo yake nchi ikaathirika vibaya sana hadi ikafungiwa mipaka na majirani zake nchi za Scandinavia! Kama sio mfuatiliaji wa siasa za kimataifa bali angalau utakuwa unafuatilia siasa za Marekani! Watu tulikuwa tunamsikia Trump alivyokuwa anafanya mzaha huku akipingana na watalaamu! Kule Iran kiongozi wao akatangaza Iran italindwa na Allah!!Reaction ya dawa inatofautiana baina ya mtu na mtu hiyo ni issue moja tu ya blood clotting, hatujaambiwa kuhusiana na cases nyingine.
Naamini jinsi muda unavyozidi kwenda tutasikia mengine, ndio maana wenyewe kwa kutambua hilo wameamua kusitisha utoaji wake.
Hizo chanjo kumbuka kwamba zinatolewa kwa majaribio tu, bado hazijadhibitishwa kuwa halisi.
Nyingine athari unakuja kuziona hata miaka 5 mbele ..........hizi chanjo za corona nyingi zimeruka stage ya majaribio ambayo huchukua miaka kadhaa ndo inapitishwa kutumika na watu wengiReaction ya dawa inatofautiana baina ya mtu na mtu hiyo ni issue moja tu ya blood clotting, hatujaambiwa kuhusiana na cases nyingine.
Naamini jinsi muda unavyozidi kwenda tutasikia mengine, ndio maana wenyewe kwa kutambua hilo wameamua kusitisha utoaji wake.
Hizo chanjo kumbuka kwamba zinatolewa kwa majaribio tu, bado hazijadhibitishwa kuwa halisi.