Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu.

Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena.

Rais Magufuli wa Tanzania aliwaambia wataalamu wake wasikimbilie chanjo za magharibi kabla ya kufanya utafiti wa kutosha kujiridhisha juu ya usalama wa chanjo hiyo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
Wewe umeshachomwa? Kama nchi zaidi ya 15 wamesimamisha uchomaji huko Ulaya wewe unaona hakuna shida? Utopolo kwenye kichwa umekujaa pole mkuu!!
 
Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
Duuh mzee ww Hauko serious, unasemea mambo ya watu 35 wakati ht akiwa n mtu mmoja hua chanjo inaanza kutiliwa mashaka mana watu tunatofautiana kwa kinga za mwili hvy ikimdhuru mmoja bc inaweza kudhuru wengine pia

Cha msingi ni kumuombea rais wetu tuu
 
Ukute jiwe nae aliichoma ndo maana imempeleka puta mpk kapotea.😳😳
 
Johnson &Johnson inazidi kupiga chapa ndani ya USA. chanjo ni sawa na biashara ya vitumbuwa inategemea na mpishi unaweza kulishwa vilivyooza.
 
Back
Top Bottom