Nazgur JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 3,729 Reaction score 2,851 Mar 17, 2021 #81 mzushi said: UK plus European union mpaka sasa ni zaidi ya milioni 35 Mjomba, acheni kuhalalisha chungu kuwa tamu, chanjo ni muhimu kuliko porojo za mitaani Click to expand... Nenda kenya ukachanjwe kisha urudi kwani kuna mtu atakuzuia? Mbona matibabu mnaenda mpaka india kwa ajili ya afya zenu sasa chanjo unashindwa nini?
mzushi said: UK plus European union mpaka sasa ni zaidi ya milioni 35 Mjomba, acheni kuhalalisha chungu kuwa tamu, chanjo ni muhimu kuliko porojo za mitaani Click to expand... Nenda kenya ukachanjwe kisha urudi kwani kuna mtu atakuzuia? Mbona matibabu mnaenda mpaka india kwa ajili ya afya zenu sasa chanjo unashindwa nini?
mzushi JF-Expert Member Joined Mar 9, 2012 Posts 3,094 Reaction score 4,252 Mar 18, 2021 #82 Nazgur said: Nenda kenya ukachanjwe kisha urudi kwani kuna mtu atakuzuia? Mbona matibabu mnaenda mpaka india kwa ajili ya afya zenu sasa chanjo unashindwa nini? Click to expand... Endelea kushupaza shingo nadhani habari unayo
Nazgur said: Nenda kenya ukachanjwe kisha urudi kwani kuna mtu atakuzuia? Mbona matibabu mnaenda mpaka india kwa ajili ya afya zenu sasa chanjo unashindwa nini? Click to expand... Endelea kushupaza shingo nadhani habari unayo
johnhance JF-Expert Member Joined Jul 9, 2016 Posts 1,769 Reaction score 2,131 Mar 18, 2021 #83 magu2016 said: Uko wapi Click to expand... nasema tena sipo ICU
Nazgur JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 3,729 Reaction score 2,851 Mar 18, 2021 #84 mzushi said: Endelea kushupaza shingo nadhani habari unayo Click to expand... Hao waliochomwa huko na wengine damu zikaganda na kufa hao habali zao zikoje?
mzushi said: Endelea kushupaza shingo nadhani habari unayo Click to expand... Hao waliochomwa huko na wengine damu zikaganda na kufa hao habali zao zikoje?