Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasubiri mpaka wachanjwe wakutosha kufikia herd immunity. Marekani kuna majimbo yanaruhusu ingawa inakizana na ushauri wa wataalam na serikali kuu. Tusipochanja tutaendelea tu kupukutika.Kwani waliochanja wanaruhusiwa kukusanyika?
Uongoo, fvck, acheni uzushi nyumbu.Waliochoma mpaka sasa kwa hiyo chanjo ya Astra Zenecca ni zaidi ya milioni 35 waliopata shida ni 35 tu, sasa akili kichwani mwako mjomba na pia jiulize huyo Bwana Mkubwa yupo wapi sasa hivi
😄😄😄😄 Aisee kweli nimemwonaMuangalie kwenye chupi yako utamuona
UK plus European union mpaka sasa ni zaidi ya milioni 35Baada ya muda ndo mtajua madhara yake,
Pia hiyo milioni 35 ya nchi gani bwashee,
Maana hata africa jumla ya chanjo mlizopewa hazizidi milioni 3 au 5 na huko ulaya bado wnasuasua kuchanja sasa hao milioni 35 ni wa wapi?
Utachoma tu utake usitake la sivyo ruti zako zitaishia Buza kwa Mpalange to mtoni kijichi. Dreamliner utaishia kuiona kipawa nyau weUongoo, fvck, acheni uzushi nyumbu.
Na chanjo Utachoma utake usitake nyau weMuangalie kwenye chupi yako utamuona
Mwambie azuie na arvBBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu.
Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena.
Rais Magufuli wa Tanzania aliwaambia wataalamu wake wasikimbilie chanjo za magharibi kabla ya kufanya utafiti wa kutosha kujiridhisha juu ya usalama wa chanjo hiyo.
Maendeleo hayana vyama!
Vipi nyungu mjomba madhara yake tutaanza kuyasikia baada ya muda ganiRaction time zinatofautiana kati ya mtu na mtu; wengine milli inareact papo kwa papo wakati wengine reaction inakua polepole. Majibu mazuri ni pale watu wote waliopata chanjo hiyo watakapochunguzwa baada ya miaka kama miwiwili.
Kwahio meko amekuwa Kibwetele sasa 😂😂😂 bongo siwezi hama.Kibwetele, kaangamia mwenyewe!
Sasa ulitaka wasijaribu ili watu waendeele kufa, Pakistan walikataa chanjo ya polio Uliza sasa hivi nini kinawapata, issue siyo kukataa tu lazima tukubaliane sayansi inafanya kazi. Kwani nyungu ilithibitishwa wapi kuwa ni salama. Imagine binadamu unavuta tangawizi, pilipili kichaa, limao, kitunguu swaumu sijui kitunguu maji plus mwarobaini halafu unasema hiyo ni salama. Chanjo ni lazima hutaki hakuna kwenda Hija. PeriodDuuh mzee ww Hauko serious, unasemea mambo ya watu 35 wakati ht akiwa n mtu mmoja hua chanjo inaanza kutiliwa mashaka mana watu tunatofautiana kwa kinga za mwili hvy ikimdhuru mmoja bc inaweza kudhuru wengine pia
Cha msingi ni kumuombea rais wetu tuu
Naona kama vile hujui kuwa sauna ni njia natural ya kusafisha mwili. Sauna haiingizi kitu chochote ndani ya mwili, bali ina-activate mwili kusukuma nje vitu visivyotakiwa kwa njia ya jasho. Sauna ni tiba kwa baadhi ya magonjwa lakini siyo yote. Sasa unapouliza madhara ya sauna ni kwa sababu hujui tofauti ya Sauna na chanjo.Vipi nyungu mjomba madhara yake tutaanza kuyasikia baada ya muda gani
Tofauti na h chanjo ya covid, uliwahi kuona wap chanjo inapatikana ndani ya miaka miwili.?Sasa ulitaka wasijaribu ili watu waendeele kufa, Pakistan walikataa chanjo ya polio Uliza sasa hivi nini kinawapata, issue siyo kukataa tu lazima tukubaliane sayansi inafanya kazi. Kwani nyungu ilithibitishwa wapi kuwa ni salama. Imagine binadamu unavuta tangawizi, pilipili kichaa, limao, kitunguu swaumu sijui kitunguu maji plus mwarobaini halafu unasema hiyo ni salama. Chanjo ni lazima hutaki hakuna kwenda Hija. Period
SIjaandika hicho. Soma uelewe.Hatuitaji ripoti ya mara kwa mara kuhusu chanjo.. Serikali ifanye uchunguzi ijilidhishe ndo ilete chanjo ambayo wataona inafaa kwetu sio kutoa update eti leo tumefikia hapa na hapa hiyo ata wewe usingeweza.
Sure, no need to scream. Nina hakika wewe huwezi kunielewa kabisa. Usipoteze muda kusoma maandishi yangu. We're worlds apart.Mbona hata hueleweki? Kwa ufupi kabisa nataka nikueleze kuwa sisi TZ tumekataa kufanyiwa majaribio hizo chanjo bado hazijafikia kiwango cha kuwa chanjo kamili ndiyo maana watoa chanjo hizo wameshasema they cannot held responsible for any problem occurs while the so called chanjo used by human being until the research completed. Wataalam walikuwa bado wanaendelea na research yao lakini wazungu wanasiasa wakasema zianze kutumika. Be informed please!!
Mkuu hivi vitu vinaenda huku vikipotoshwa, mzee baba hapo mwanzo alikataa chanjo kabisa hadi humu kuna mdau akaanzisha uzi kupinga chanjo mojakwamoja sio sahihi ila tukijiridhisha inafaa tuitumie ndio mzee baba akachenji na kusema haruhusu raia wake wawe sehemu ya majaribioBBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu.
Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena.
Rais Magufuli wa Tanzania aliwaambia wataalamu wake wasikimbilie chanjo za magharibi kabla ya kufanya utafiti wa kutosha kujiridhisha juu ya usalama wa chanjo hiyo.
Maendeleo hayana vyama!
Utafika wakati hautaweza kusafiri bila kuchomwa chanjoMi ht ije chanjo ipi, msimamo wangu sichomi!
Nyau wewe hukusikia Who waliomba chanjo ya dharula, kama hutaki kuchoma kaa na Mme wako sisi tunaotaka tutachoma liwake jua inyeshe mvua.Tofauti na h chanjo ya covid, uliwahi kuona wap chanjo inapatikana ndani ya miaka miwili.?
Chanjo ikipatikana huwa inajaribiwa kwa wanyama, hy ya covid imejaribiwa kwa wanyama.? Kwahy binadamu ndo wakufanyiwa majaribio.?
Siku nyingine tumia akili
Hivi unajua tofauti ya Sauna na hiyo kachumbari, ulishawahi kuona wapi Sauna inawekwa tangawizi na malimao ua Miti ya mwarobaini. Ingekuwa sauna tiba ya Corona basi Wazungu wasingekufa na hiyo Corona. Natura ya sauna ni kupasha moto mawe yalipo ndani ya stove na mvuke wa maji unayomwagia kwenye mawe ndiyo ya usteam mwili siyo hiyo kachumbari unayotaka kuwadanganya watuNaona kama vile hujui kuwa sauna ni njia natural ya kusafisha mwili. Sauna haiingizi kitu chochote ndani ya mwili, bali ina-activate mwili kusukuma nje vitu visivyotakiwa kwa njia ya jasho. Sauna ni tiba kwa baadhi ya magonjwa lakini siyo yote. Sasa unapouliza madhara ya sauna ni kwa sababu hujui tofauti ya Sauna na chanjo.
Sauna zitatumika sana dunian, mpaka zinauzwa bei gari sana. Hata mimi nina sauna yangu nyumbani ambayo nimekuwa nayo kwa takriban miaka 15 sasa. Angalia hii hapa inauzwa takriban $3,000
View attachment 1727810
Naona kama vile hujui kuwa sauna ni njia natural ya kusafisha mwili. Sauna haiingizi kitu chochote ndani ya mwili, bali ina-activate mwili kusukuma nje vitu visivyotakiwa kwa njia ya jasho. Sauna ni tiba kwa baadhi ya magonjwa lakini siyo yote. Sasa unapouliza madhara ya sauna ni kwa sababu hujui tofauti ya Sauna na chanjo.
Sauna zitatumika sana dunian, mpaka zinauzwa bei gari sana. Hata mimi nina sauna yangu nyumbani ambayo nimekuwa nayo kwa takriban miaka 15 sasa. Angalia hii hapa inauzwa takriban $3,000
View attachment 1727810
Naona kama vile hujui kuwa sauna ni njia natural ya kusafisha mwili. Sauna haiingizi kitu chochote ndani ya mwili, bali ina-activate mwili kusukuma nje vitu visivyotakiwa kwa njia ya jasho. Sauna ni tiba kwa baadhi ya magonjwa lakini siyo yote. Sasa unapouliza madhara ya sauna ni kwa sababu hujui tofauti ya Sauna na chanjo.
Sauna zitatumika sana dunian, mpaka zinauzwa bei gari sana. Hata mimi nina sauna yangu nyumbani ambayo nimekuwa nayo kwa takriban miaka 15 sasa. Angalia hii hapa inauzwa takriban $3,000
View attachment 1727810