Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,333
- Thread starter
-
- #81
Ahsante sana.Usijali sisi Wakenya hupenda sana kukisikiliza Kiswahili cha waTZ. Rais Kikwete alipolihutubia bunge letu, alianza kwa kiingereza ila wabunge walimshinikiza kuongea Kiswahili.
Kafie huko Kama juju Kiingereza shauri zako. Kiswahili ni Cha waarabu, heri ya Kiingereza kuliko kiswahiliTumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Jiwe alielekea kuleta shida nchi hii. Nyerere wakati anang'atuka alisema "msikidharau English, kwa kuwa ni Kiswahili cha dunia". Sasa leo mtu anazuka na hoja ya ajabu. Kwani huko Kenya Rais Samia alikuwa anaenda kuwahutubia waTz ?!. Ujinga mtupuHaswa - yeyote anaye jidanganya kwamba siku moja kiswahili kitachukuwa nafasi ya kiingereza hizi ni ndoto za mchana - kiingereza ni lugha ya kimataifa, lugha ya biashara huwezi kuikwepa au kuidharau - wengi wanao leta hoja za kisiasa kwa kusema eti Kingereza hakifahi ukiwachunguza kiundani ni wale ambao kiingereza kiliwapiga chenga tangu wakiwa shuleni - ndio maana wamekazania kusema eti zabibu ni mbichi kwa kuwa hawawezi kukwea mti wa mzabibu kuzivuna.
Uchina ambayo raia wake ni robo ya watu wote Duniani wazazi wanakazania watoto wao wajifunze kiingereza for a good reason namely kinauzika ie uwezi kukwama popote Duniani kama unamuda walao maneno mawili matatu ya kiingereza,ni lugha ya kisayansi na teknolojia - wale wote wanao ponda kiingereza ni wanafiki tu na hawajui walisemalo na kama wanataka watoto wao wapitwe na wakati basi wawakataze kujifunza kiingereza kwa madai kwamba hakitawasaidia popote kwenye maisha yao yaliyo baki.
Magufuli kawaharibu wengi unaona eh! Science yote ni English Sasa usipojua Kiingereza unajidanganya làbda Kama huhitaji Kiingereza sawa.Hii lugha ya kiswahili haina soko. Kwasabb ilipaswa kubeba teknolojia/maarifa ambayo ndiyo yangevutia watu kujifunza kiswahili
Audience ya Uganda ukitumia Kiswahili utakua unaongea na sehemu ndogo sana ya population ila kwa Kenya, jamii kubwa sana wanaweza kuelewa Kiswahili.Tumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Hata Kiswahili ni lugha ya kimataifa na ya kibiashara pia.kiingereza ni lugha ya kimataifa, lugha ya biashara .
Kuchanganya elimu na siasa ndio kumetufikisha hapa,hadi mtu anasema kila'' msomi anajisikia fahari kuongea Kiingereza''ndio maana yake ndio lugha aliyoitumia kwenye elimu yake yote ya juu usipoweza kuzungumza kwa ufasaha halafu unajiita Dkt basi shida ipo tena kubwa tena nadhani ni hapa kwetu tu,kiingereza unakikwepea wapi lugha ya kiswahili kinyakyusa na zinginezo ni za kuvunia mipunga na tu na kuchungia ng'ombe.Dunia ya sa hv kingereza ni lazima ukijue tena vizur ..tusijidanganye kabisa ..... Kwa Kenya haina shida wale ni waswahili Tu fresh , lakn zaidi ya yote kingereza ni lazima ukijue ili utoboe ....hyo ni international language..acheni ujinga wa jiwe wa kujifungia ndani na kuwakomoa wananchi wake na mikodi ya ajabu ajabu alaf hela zianenda kwenye midege huko mnabaki mnashindia majani ya michicha na ugali
Umeandika kwa kisirani kikubwa! Haifai!Tumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Twende wapi kwa mfano?Kenya medium of instruction ni Kiingereza, Sasa aatafanyaje? Mkalimani? Haya twende
Duuuh Rais wetu anajua cha kufanya hahitaji nguvu nyingi kumweleza cha kufanya kama mwendazake kilimshinda basi Rais msimpangie cha kufanya. Ni aibu kuwa na Rias asieweza kuwasiliana kwa kiingereza fasaha kwa nchi inayofundisha kwa lugha ya kiingereza na kwa faida ya nani. Unaweza kukuta wanao wapo english medium huku unasema Rais azungumze kiswahili.Tumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Kisirani kiko wapi hapo?Umeandika kwa kisirani kikubwa!
Meko, umefufuka nini?Tumesikia Bi. Samia anaenda Kenya kwa ziara ya kikazi mnamo hapo kesho.
Ni matumaini yangu na fahari yangu kwamba atatumia Kiswahili katika shughuli zote atakazoalikwa kuzifanya.
Hivi majuzi tu alipoenda Uganda, tuliona anatumia kizungu kuhutubia.
Wengi wa wananchi wetu nina uhakika hawakuelewa hata anachozungumza.
Ifahamike kwamba, Kiswahili si lugha ngeni Afrika Mashariki. Tuachane na Viingereza pasipo na ulazima.
Sijui ni nani aliyewalaghai kwamba kuongea kizungu ni ufahari na usomi?
Hata katika mazingira yasiyohitaji kizungu, bado watu watajing'ang'aniza kuongea kizungu hata kama hawakiwezi na tunajua kwa hakika kwamba hawakiwezi.
Hebu tuachane na hizi "You Know You know ofcozi zea zea" mingi mingi. Tunajiaibisha na kujidunisha.
Tunayo lugha adhimu ya Kiswahili. Tuitumie hiyo.
Nasubiri kuona hiyo Kesho vile Bibi SASHA atakavyojitutumua na viingereza vyake uchwara.
Ashauriwe vyema. Maana shughuli za aina ile sio mahali pa kuonesha mbwembwe za kuzungumza kwa lafudhi bandia za kimalkia.
Tunahitaji kusikia "maswala" yakijadiliwa na kuzungumzwa. Hatuhitaji mikogo ya lafudhi bandia za Kizungu.
Umeamua kumuua kabisa!Ndio maana unaitwa Denlson.
Mnyaturu wa singida ndani huko mavumbini unaitwa DENLSON...... Aisee!!!
Kwa kukusaidia tu "Bwana Denlson", Lugha ya Taifa ya Kenya ni Kizungu pamoja na Kiswahili. Na zote ni lugha rasmi zinazotambuliwa na Katiba yao mpya.
Kwako DENLSON.
Duh, yaani niandike hoja inayohusu Commonwealth halafu nisijuwe Commonwealth ni nini? Umenidharau Sana kwa kweli!Commonwealth ipi wewee, wacha kujitutumua hapa.
Nina uhakika hata maana tu ya "Commonwealth" huijui.
Haya kamanda, hebu tueleze... "Commonwealth" ni kitu gani?
Commonwealth ni kitu gani?Duh, yaani niandike hoja inayohusu Commonwealth halafu nisijuwe Commonwealth ni nini? Umenidharau Sana kwa kweli!
Siwezi kukujibu swali lako
Kuandika kwenyewe hujui.Kuchanganya elimu na siasa ndio kumetufikisha hapa,hadi mtu anasema kila'' msomi anajisikia fahari kuongea Kiingereza''ndio maana yake ndio lugha aliyoitumia kwenye elimu yake yote ya juu usipoweza kuzungumza kwa ufasaha halafu unajiita Dkt basi shida ipo tena kubwa tena nadhani ni hapa kwetu tu,kiingereza unakikwepea wapi lugha ya kiswahili kinyakyusa na zinginezo ni za kuvunia mipunga na tu na kuchungia ng'ombe.
Thanks for correction. Ila kwenye mikutano ya AU na SADC Kiswahili ni one of the languagesMbona umesema zipo 7 lkn umetaja 6 ?