Ule uhamasishaji wa Nguvu na Kauli Mbiu tulipocheza na Al Hilal mbona siuoni tukicheza na Club Africaine leo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia?

Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
 
Kila la heri watani, mshinde ili tupate pa kuwatania huko kwenye makundi.
 
Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia?

Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
Simba mbona mnateseka sana na yanga, yaani sisi wenyewe tumetulia hatuna shida hatuendi uwanjani na matokeo yetu mfukoni kama nyie sisi tunasubiri dakika 90 tukishinda, tukifungwa, tukitoka sare yote inshallah.. lakini nyie kutwa mara tutapigwa mara nabi atatimuliwa mara nini nini sijui
 
Hiki Ulichokiandika hapa ndiyo Kauli Mbiu yenu kuelekea Mechi yenu ya Leo?
 
Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia?

Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
Unateseka?
 
Simba mbona mnateseka sana na yanga, yaani sisi wenyewe tumetulia hatuna shida hatuendi uwanjani na matokeo yetu mfukoni kama nyie sisi tunasubiri dakika 90 tukishinda, tukifungwa, tukitoka sare yote inshallah.. lakini nyie kutwa mara tutapigwa mara nabi atatimuliwa mara nini nini sijui
Ni mwendo tu wa kuwashwa washwa.
 
Kwan mkuu ulipo na mashabiki unawajua upo nao krb,wao waanasemajeee!!!
 
Ukiona hivyo ujue ule muamala uliotoka Kwa Ghalib kwenda kwa mwamuzi wa leo umerejeshwa.
 
Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia?

Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
🤣🤣🤣 hao ni wapusi kabisa (in Ruto's voice)
 
Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia?

Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
Wamegundu yale makelele na makauli mbiu ndio huwa yanawafelisha, wameamua kuingia makundi ndiomaana wameachana nayo
 
Wanaweza kushinda leo ila tatizo ni kuanzia home,ni timu bora tu ndo huweza kutoboa zikianzia home..kule kwao wataenda kuwapa hata mkono
 
Back
Top Bottom