GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Simba mbona mnateseka sana na yanga, yaani sisi wenyewe tumetulia hatuna shida hatuendi uwanjani na matokeo yetu mfukoni kama nyie sisi tunasubiri dakika 90 tukishinda, tukifungwa, tukitoka sare yote inshallah.. lakini nyie kutwa mara tutapigwa mara nabi atatimuliwa mara nini nini sijuiKulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia?
Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
Hiki Ulichokiandika hapa ndiyo Kauli Mbiu yenu kuelekea Mechi yenu ya Leo?Simba mbona mnateseka sana na yanga, yaani sisi wenyewe tumetulia hatuna shida hatuendi uwanjani na matokeo yetu mfukoni kama nyie sisi tunasubiri dakika 90 tukishinda, tukifungwa, tukitoka sare yote inshallah.. lakini nyie kutwa mara tutapigwa mara nabi atatimuliwa mara nini nini sijui
Unateseka?Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia?
Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
Ni mwendo tu wa kuwashwa washwa.Simba mbona mnateseka sana na yanga, yaani sisi wenyewe tumetulia hatuna shida hatuendi uwanjani na matokeo yetu mfukoni kama nyie sisi tunasubiri dakika 90 tukishinda, tukifungwa, tukitoka sare yote inshallah.. lakini nyie kutwa mara tutapigwa mara nabi atatimuliwa mara nini nini sijui
🤣🤣🤣 hao ni wapusi kabisa (in Ruto's voice)Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia?
Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?
Kwa hyo wasudan mliwakimbiza na makelele mkaja kujua nyie Ni wapuuzi tuOgopa mtu anayekimbiza Mwizi kimya kimya.
Mamako nitamkimbiza kimya kimyaMpuuzi mamako.
Wamegundu yale makelele na makauli mbiu ndio huwa yanawafelisha, wameamua kuingia makundi ndiomaana wameachana nayoKulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club Africaine ya nchini Tunisia?
Vipi tumeshachungulia kwa Babu au?