Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Ni ujinga wa kumulika wachezaji wa timu pinzani na tochi usoni, sijui soka la Afrika linaelekea wapi.. Timu haziwezi kushinda bila figisu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha sio ujinga Ila Mimi nauita ujinga?unajua chimbuko huo unauita ujinga
Hata kama ndugu yangu. Mimi ni Simba lakini jambo lile lilinikera sana. Tumeonesha ushamba wa hali ya juu. Halafu aliyefanya hivyo ni mzee kama mimi. Aibu sana yaani.Utopolo hamkosi maneno.
Hakuna goli hata moja limetokana na kupigwa tochi.
Magoli yote ni ya level za akina mbappe na Neyma.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
Hakuna Simba wa hovyo kama wewe,mwanga wa hiyo redio ya huyo baba inafika hata mita 5? halafu Simba gani hajui kama huo mwanga unamezwa na taa za uwanjani? unashindwa hata kutofautisha mbwembwe na fans na hujumaHata kama ndugu yangu. Mimi ni Simba lakini jambo lile lilinikera sana. Tumeonesha ushamba wa hali ya juu. Halafu aliyefanya hivyo ni mzee kama mimi. Aibu sana yaani.
Ni ujinga wa kumulika wachezaji wa timu pinzani na tochi usoni, sijui soka la Africa linaelekea wapi.. Timu haziwezi kushinda bila figisu?
View attachment 2174877
Nimekudharau. Shabiki wa hovyo kabisa wewe.Hakuna Simba wa hovyo kama wewe,mwanga wa hiyo redio ya huyo baba inafika hata mita 5? halafu Simba gani hajui kama huo mwanga unamezwa na taa za uwanjani? unashindwa hata kutofautisha mbwembwe na fans na hujuma
Nimekudharau. Shabiki wa hovyo kabisa wewe.
Mwanga wa touching hiyo haufiki hata 1m,na kumbuka Egyptians ndio waasisi wa hii kitu, kumbuka Ile CAF game kati ya Mamelodi Sundown vs Ahily, Golikipa wa Sundown Onyango alimulikwa mno na vitochi hivi,welldone Simba sc kwa kutuwakilisha vema na hope's next season tutapata nafasi ya ziada kama nchi kutokana na uwakilishi wenu mzuriHata kama ndugu yangu. Mimi ni Simba lakini jambo lile lilinikera sana. Tumeonesha ushamba wa hali ya juu. Halafu aliyefanya hivyo ni mzee kama mimi. Aibu sana yaani.
Tangu lini kosa likahalalisha kosa jingine. Ninyi ndio mnataka kuharibu sifa nzuri ya mpira wa simba kwa kushabikia upumbavu.mwanga wa touching hiyo haufiki hata 1m,na kumbuka Egyptians ndio waasisi wa hii kitu, kumbuka Ile CAF game kati ya Mamelodi Sundown vs Ahily, Golikipa wa Sundown Onyango alimulikwa mno na vitochi hivi,welldone Simba sc kwa kutuwakilisha vema na hope's next season tutapata nafasi ya ziada kama nchi kutokana na uwakilishi wenu mzuri
Hyo picha imewekwa tu lakin jana tochi zenye mwanga mkali zilikuwemo,acheni kushabikia ujingaYaani mleta mada anataka kutuaminisha kwamba Hiyo Tochi ya Simu redio ya huyo mzee ina mwanga mkali kuliko Taa za Uwanjani zenye zaidi wa Watts 2000??
Unajifanya kama ukuona gorikipa alivyokuwa ana mulikwahii ni excuse ya kipumbavu huo mwanga wa torch haiufiki hata mita 30 . tukubali tu kuwa Simba wamefanya yale ambayo wengine huwa tunashindwa. na torch hazihusiki kabisa. huyo mzee amejipatia tu umaarufu na torch yake ya tsh 3,000 kwa wamachinga.... haikuwa na msaada wowote. yanga tukubali tusije na excuse za kipuuzi ..