Ule ujinga waliofanya Senegal kwa Egypt, Simba nao wamefanya

Ule ujinga waliofanya Senegal kwa Egypt, Simba nao wamefanya

Ni bora kukerwa na Jambo la tochi kuliko kukerwa na maneno ya press conference ya manara na mashabiki wa utopolo kama Simba angefungwa hii mechi.

Na hakuna timu isiyofanya figisu nyumbani.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
manara anawakera wasio na akili.. simba walishampuuza muda mrefu walipogundua anataka aende choo kupitia jina la simba. hawahangaiki naye kabisa.. yupo wapi sasa?
 
Ni wewe Mkuu au mwingine? Asante umetoa somo na si lazima walielewe hilo.

Wajinga wanapenda kupata shida kwa vitu ambavyo haviwasaidii
mimi akili ninazo sema tu sometimes nikikaa sana na wenzangu najisahau nakuwa kama wao. naelewa mpira na napenda mpira
 
Hata kama ndugu yangu. Mimi ni Simba lakini jambo lile lilinikera sana. Tumeonesha ushamba wa hali ya juu. Halafu aliyefanya hivyo ni mzee kama mimi. Aibu sana yaani.
Poleee utopolo ha ha
 
Tangu lini kosa likahalalisha kosa jingine. Ninyi ndio mnataka kuharibu sifa nzuri ya mpira wa simba kwa kushabikia upumbavu.
Hakuna kosa, kungekua na tatizo CAF na FIFA wangeshapiga marufuku, tuache to nag vitu ambavyo having athari yeyote
 
Hakuna Simba wa hovyo kama wewe,mwanga wa hiyo redio ya huyo baba inafika hata mita 5? halafu Simba gani hajui kama huo mwanga unamezwa na taa za uwanjani? unashindwa hata kutofautisha mbwembwe na fans na hujuma

Rubbish
 
Mkuu liambie litimu lako nalo limulike tochi kama nalo linashiriki michuano hii.
 
Sasa hyo tochi ya mzee huo mwanga wake unafika wapi yaani ukiwa utopolo lazima na dish licheze kidogo taa ilikuwepo ilikuwa inaonekana sio hyo maana haina nguvu ya kufika popote.
 
hapa yule tajiri Mo atawakopesha simba pesa ya kununulia vile vitochi vya wamisri
 
Back
Top Bottom