Ule ujinga waliofanya Senegal kwa Egypt, Simba nao wamefanya

Ule ujinga waliofanya Senegal kwa Egypt, Simba nao wamefanya

hii ni excuse ya kipumbavu huo mwanga wa torch haiufiki hata mita 30 . tukubali tu kuwa Simba wamefanya yale ambayo wengine huwa tunashindwa. na torch hazihusiki kabisa. huyo mzee amejipatia tu umaarufu na torch yake ya tsh 3,000 kwa wamachinga.... haikuwa na msaada wowote. yanga tukubali tusije na excuse za kipuuzi ..
Ni wewe Mkuu au mwingine? Asante umetoa somo na si lazima walielewe hilo.

Wajinga wanapenda kupata shida kwa vitu ambavyo haviwasaidii
 
Ni ujinga wa kumulika wachezaji wa timu pinzani na tochi usoni, sijui soka la Africa linaelekea wapi.. Timu haziwezi kushinda bila figisu?

View attachment 2174877
We Haji Manara naona umeishiwa akili sasa....ushindi wa Simba jana haukutokana na huyu Mze, ile timu yako ilizidiwa kimchezo na kama Simba wangekuwa makini ile timu yako ingekula hata magoli 6 au 7. Cha kushangaza sasa, hata ile timu yenyewe hailalamiki ila wewe usiye mchezaji ndiyo unatokwa na povu, huoni haibu?
 
hii ni excuse ya kipumbavu huo mwanga wa torch haiufiki hata mita 30 . tukubali tu kuwa Simba wamefanya yale ambayo wengine huwa tunashindwa. na torch hazihusiki kabisa. huyo mzee amejipatia tu umaarufu na torch yake ya tsh 3,000 kwa wamachinga.... haikuwa na msaada wowote. yanga tukubali tusije na excuse za kipuuzi ..
umemaliza
 
mkuu iyo ni tishia haifiki hata mita 1 kule ule ushabiki wa kuwa na vitu jaani ujanja
 
Hata kama ndugu yangu. Mimi ni Simba lakini jambo lile lilinikera sana. Tumeonesha ushamba wa hali ya juu. Halafu aliyefanya hivyo ni mzee kama mimi. Aibu sana yaani.
Ni bora kukerwa na Jambo la tochi kuliko kukerwa na maneno ya press conference ya manara na mashabiki wa utopolo kama Simba angefungwa hii mechi.

Na hakuna timu isiyofanya figisu nyumbani.

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Hyo picha imewekwa tu lakin jana tochi zenye mwanga mkali zilikuwemo,acheni kushabikia ujinga
Sasa mechi inachezwa saa Nne usiku ulitaka watu watokeje na je umeme ungekatika na kuzimika pale uwanjani usiku huo ingekuwaje...

Kwa maana umeme ulishawahi kuzimika uwanjani kwa mkapa...

Tahadhari ni lazima
 
hizi tochi zinapatikana wapi? naona ni nzuri kumulika kibaka

agiza kikuu utaletewa hadi mlangoni ila tegemea kupata ndani ya mwezi toka kuagiza.
 
Mleta mada hiyo tochi inamezwa na hizo taa za hapo uwanjani...
 
Back
Top Bottom