Ule Uzi wa Saa 1 Ijumaa wa GENTAMYCINE aliyesema matokeo ya Yanga na Mwarabu ni ama 2-0 au 3-0 umepotelea wapi?

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Na naukumbuka tena kama kawaida yake Alifumba na Kuuliza / Kutuuliza je, tunadhani ni Timu gani kati ya Yanga SC na CR Belzoud FC itafungwa Magoli hayo ama 2 kwa 0 au 3 kwa 0?

Team GENTAMYCINE tunauhitaji huo Uzi ili tuweze Kuuchangia na kumpa Maua yake GENTAMYCINE ambaye pamoja na kwamba tunamchukia (nami nikiwemo) na Kazuiliwa Kuchangia Jukwaa hili la Michezo ila kiukweli Jamaa Kabarikiwa Talanta ya Kipekee na Mwenyezi Mungu ambayo wengi wetu hatuna na huenda ndiyo maana hata tunamchukia kwa Wivu, Roho Mbaya zetu na Kukubalika Kwake sana hapa JamiiForums.

Huo Uzi aliuanzishia katika Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko pengine kutokana na kuzuiliwa Jukwaa la Michezo ila kwa sasa nautafuta siuoni hivyo naomba aliyemuona anitagi tafadhali.

Salute mno tu Kwako GENTAMYCINE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…