Ule wimbo wa 'siyo mchoyo', Young D alimuimbia nani?

Ule wimbo wa 'siyo mchoyo', Young D alimuimbia nani?

Habari!

Wajuzi, aisee nimeumiza kichwa mno ili niifahamu code hasa ya wimbo ule wa mtabe Young D.

Miongoni mwa maneno ya wimbo huo ni, '...she is beautiful, siyo mchoyo...'

Nani ameimbiwa? Ni Diva the boss lady? Ni Tanasha Dona?

Huyu queen ambaye anagawa kwa kila mtu ni nani?

Naomba nimfahamu kwa wajuzi, naona nina 'kamilioni' ka kuchezea hapa😜

NB
Ni serious issue!
Tunda
 
shilole ndo aliemuimbia na hata kwenye cover ya nyimbo kamueka demu anaefanana na shishi hata watu aliowataja walikua na uhusiano na shilole 70%
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Habari!

Wajuzi, aisee nimeumiza kichwa mno ili niifahamu code hasa ya wimbo ule wa mtabe Young D.

Miongoni mwa maneno ya wimbo huo ni, '...she is beautiful, siyo mchoyo...'

Nani ameimbiwa? Ni Diva the boss lady? Ni Tanasha Dona?

Huyu queen ambaye anagawa kwa kila mtu ni nani?

Naomba nimfahamu kwa wajuzi, naona nina 'kamilioni' ka kuchezea hapa😜

NB
Ni serious issue!

Alimwimbia Amber Lulu.
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Dah wimbo wa kitambo stil naupenda sana, nakumbuka hiyo siku nipo na manzi fulani dagaa dagaa pale Legho sinza...dah
Legho haijawahi kuwa sinza, ukitokea shekilango sinza inaanzia baada ya kuvuka mto ng'ombe
 
Wewe mkongwe sana mkuu, kama hadi Dagaa dagaa ulikuwa ushatimba mjini utakuwa born town kabisa, haha
Khaaa! Nyie kweli watoto wa juzi yaani dagaa dagaa mnaita kitambo? Je mngeukuta uwanja wa sanaa au jumba la maendeleo urafiki si mngejiona vikongwe
 
Enzi hizo madogo wana maidea kinoma, daah namiss sana ngoma za kipindi kile.
 
Back
Top Bottom