Ulega: Kwa ajili ya AFCON, kuna mpango wa kuweka Taa za Barabarani Dar na Arusha za Bilioni 40

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Your browser is not able to display this video.

Tutajenga na kuweka Barabara nyingi Taa za barabarani kwa ajili ya maandalizi ya AFCONMkwa mfano hii Dar na Arusha tu peke yake matarajio yetu ni taa za karibu Bilioni 40, na hii ni mipango tu, na hii itafanikiwa kwa kupitishiwa bajeti hapa bungeni.

Hii ndiyo Mipango ya Wizara ya Ujenzi, inayoongozwa na Waziri wa ujenzi Abdallah Ulega.
 
Mbona wamejiwekea bajeti kidogo, nilitegemea watatenga hata bilioni 240 tu
 
Ona wizi mwingine huu! Hizo taa za bilioni 40 zina cctv camera ndani yake!
 
hawa watu sijui huwa wanawapata wapi anavyoongea tu unaona kabisa intelligence chini kabisa, kwa hiyo bila ya hayo mashindano hakuna taa kwa watanzangiza? low iq folks ...
 
Kuna kitu hakipo sawa. Kila nkimuona au kusikia jina la huyu Ulega,akilini mwangu nahisi mtu fulani tapeli tapeli hivi.
 
hawa watu sijui huwa wanawapata wapi anavyoongea tu unaona kabisa intelligence chini kabisa, kwa hiyo bila ya hayo mashindano hakuna taa kwa watanzangiza? low iq folks ...
Kwani aliyewateua ana iq kiasi gani?
 
Apo bado watu wa ulinz hawajasema wanataka camera za cctv za tilioni ngap
 
SAWA SAWA, wapeni Tender za kuweka Taa barabarani ,
wa Tanzania na sio WA china โœ….
 
Ulega bila Jakaya Mrisho Kikwete ni mtupu kabisa hata kichwani yuko kwasababu ya Jk
 
Hii 40B Itatosha kweli? Naona ndogo sana!!!
 
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali itaendelea kufunga taa katika barabara mbalimbali nchini ili kupunguza ajali za usiku na kuendana na kasi ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Akizungumza Mei 21, 2026 jijini Dodoma kabla ya kuingia bungeni, amesema hatua hiyo pia inalenga kuwezesha shughuli za uzalishaji kufanyika kwa saa zote, usiku na mchana, badala ya wananchi kusitisha shughuli mapema kutokana na giza barabarni.

Ameeleza kuwa utekelezaji huo unatokana na maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan, huku akibainisha kuwa zaidi ya sh. bilioni 40 zitatumika kufunga taa katika majiji ya Dar es Salaam na Arusha, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya michuano ya AFCON 2027.

Ameongeza kuwa mipango hiyo itatekelezwa baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
 
Ukiwa msaidizi wa hii serikali ya mama yao kufa na njaa ujitakie mwenyewe!
 
Taifa likikosa dira, nchi haiwi na vipaumbele kabisa wallah...๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
 
hawa watu sijui huwa wanawapata wapi anavyoongea tu unaona kabisa intelligence chini kabisa, kwa hiyo bila ya hayo mashindano hakuna taa kwa watanzangiza? low iq folks ...
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
So kuboresha miundombinu kumbe inawezekana lakini ni mpaka pawe na event kama hiyo ya Afcon!?

Ila hii Nchi mtu anasimama anaongea kabisa ujinga kama huo na ana Ona kuwa yupo sawa ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Duh! Aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ