Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Ningeshangaa sana kama haters msingemtaja huyu jamaa asiye na shobo na nyieUlega bila Jakaya Mrisho Kikwete ni mtupu kabisa hata kichwani yuko kwasababu ya Jk
Ningeshangaa sana kama haters msingemtaja huyu jamaa asiye na shobo na nyieUlega bila Jakaya Mrisho Kikwete ni mtupu kabisa hata kichwani yuko kwasababu ya Jk
Halafu taa zenyewe wanaweka zenye bora mdogo; baada ya miezi Sita unakuta zimezima karibu zote...!Ona wizi mwingine huu! Hizo taa za bilioni 40 zina cctv camera ndani yake!