Ulegevu wa via vya uzazi husababaishwa na nini kingine zaidi ya umri wa muhusika?

Ulegevu wa via vya uzazi husababaishwa na nini kingine zaidi ya umri wa muhusika?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ipo changamoto ya uke wa mwananmke kua legevu sana, uliopoa na usio na ladha kabisa, lakini pia uume wa mwanaume kua legevu na usioweza kufanya chochote. Wanaume wengi wenye changamoto hii huishia kujificha kwenye kutumia mdomo kulamba au kunyonya uke wa mwanamke kuficha fedheha hiyo. Na mwanamke hutumia miguno ya uongo kuficha ulegevu wa nyuchi zao.
Sababu kubwa ambayo hutajwa kusababaisha hali hiyo ni suala la umri.

Je kuna sababu zingine za ziada zinazochochea hali hiyo ambayo ni ya fedheha sana hasa kwa vijana wadogo tu wa kike ambao nyuchi zao ni legevu sana, lakini pia mishedede ya vijana wa kiume ni legevu kabisa.
Ndo nyingi za vijana zinavunjika kirahisi mno kutokana na madhila hayo. Mwanaume analalamikia bwawa na mwananke analalamikia mshedede legevu.

Kama mdau wa jukwaa hili,
unadhani ni nini huchochea hali hiyo na unashauri nini kifanyike kudhibiti hali hiyo isiwapate vijana wengi zaidi kadiri muda unavyosonga?

Mungu Ibariki Tanzania
 
nakubaliana na wwe,
lakini,
ni kwanini sasa,
hasa katika hali ya ujana? mbona hatukuskia changamoto hizi za fedheha nyakati zilizopita? :HAhaa:
Binadamu wa zamani hawakuwa wakizungusha sehemu zao za siri kila mtaa, na hata kama mtu akikutwa na hiyo hali walikuwa wasiri sana huwezi kukuta matangazo kama wanavyoanika mitandaoni siku hizi! Mtu amegundua maji yamezidi unga anakaza mpaka wanazeeka!
 
Ulegegevu Kwa mwanaume ukitoa umri unaletwa na kujichua, na Kwa mwanamke pia ukitoa umri ni kutumika Sana bila ya uke kupata muda wa gain ile elasticity pia kujifungua hasa wale wanao jifungua watoto wakubwa.... Mazoezi ya kegal hua yanasaidia kuyaweka maumbile kwenye Hali yake ya mwanzo Kwa wote wa kike na wakiume
 
Nilijua lazima kutakuwa na comment zinazohusiana na CCM kwenye huu uzi wa Kaka Yake Ruth Mkatoliki.
Na mimi kilicho nileta hapa ni kuona mleta mada atakavyo tukanws kulingana misimamo yake ya kisiasa
 
Na mimi kilicho nileta hapa ni kuona mleta mada atakavyo tukanws kulingana misimamo yake ya kisiasa
matusi kwangu ni kama maoni tu gentleman, hilo lisikuppe tabu kabisa

mambo ya siasa tutakutana kwenye siasa bila kubabaika:HAhaa:
 
Back
Top Bottom