Ulegevu wa via vya uzazi husababaishwa na nini kingine zaidi ya umri wa muhusika?

Siwezi kamwe kuelewana na mvaa majani katika jambo lolote la kijamii.
siko hapa kwaajili ya kuelewana na bandits yeyote wa kisiasa,

hapa ni jukwaa huru la mijadala ya kimapenzi na mahusianao,
chiki na maoni ya kisiasa yapelekwe panapohusika bila mihemko :HAhaa:
 
Unaomba ushauri kwa kujificha wee chawa 😹😹

Hilo ni tatizo lako na dawa hakuna hilo dushe kakate screpa okay? 🤣😹😹
 
binafsi sina haja ya ushauri kwasababu mimi ni mwaume kamili tena wa mkoani kabisa, na ninasimamaia vidole ipasavyo kwenye game

lakini ni muhimu zaidi kutoa maoni dhidi ya hoja mahususi mezani bila kuweweseka hata kama umelegea huko chini,
Na ikiwa ni miongoni mwa victims wa changamoto hiyo, basi kaa kwa heshima na ufuatilie maoni ya wadau muhimu na wa heshima wa JF na Mungu akubariki sana, Aimen :HAhaa:
 
Kelele nyingi kumbe mtalimbo umelegea 😹😹
Ningeshangaa uwe veggies halafu udinde thubutuu..!!

Kwahiyo lipo km toy? 😹😹
 
Hamna binadamu anayefanana sura na binadamu mwingine, sembuse uchi? Kila binadamu ana maumbile yake na yaheshimiwe yalivyo, uchi ni elastic na unafit binadamu mwenzie, usipokufit wewe usikonde tafuta anayekufit, unayehisi kalegea hiyo ni hisia tu, anaye anayemfit. Hakuna sayansi inayoelezea haya mafikra yako mkuu! Ni mawazo yako tu na yanaheshimiwa vilevile...
 
nasukutua vyema sana mbususu mtumishi hiyo yaani dah :pedroP:

napeleka motroo hadi moshi unatroka,
yaani kiaarusha mwendo wa ngiri, yaani hata kama mbususui imelegea au imepoa lazima ichangamke:pedroP:
 
Hamna binadamu anayefanana sura na binadamu mwingine, sembuse uchi? Kila binadamu ana maumbile yake na yaheshimiwe yalivyo, uchi ni elastic na unafit binadamu mwenzie, usipokufit wewe usikonde tafuta anayekufit, unayehisi kalegea hiyo ni hisia tu, anaye anayemfit. Hakuna sayansi inayoelezea haya mafikra yako mkuu! Ni mawazo yako tu na yanaheshimiwa vilevile...
sijazungumzia maumbile,
nazungumzia ulegevu wa hayo maumbile ambayo ni changamoto mtambuka hivi sasa,

vijana badala ya kutumia via vya uzazi kufanya mapenzi wanatumia mdomo kuficha fedhea za ulegevu wa via vyao vya uzazi.
sababu kuu ya ulegevu wa via vya uzazi kitaalamu ni pamoja na umri,
Je, kuna sababu zingine zinazochochea changamoto hiyo hassa kwa vijana wa kisasa? :NoGodNo:
 
Ulegevu ndio kitu gani? Unaweza kudefine?

Tumehudumia binadamu wa rangi zote na hali zote kwenye hili eneo hd tunastaafu so kijana legeza ufahamu wako usikariri mambo ya vijiweni kwa fani za watu!
 
Uume kulegea ni kutokana na mzunguko mdogo wa damu so kunakua hakuna pressure ya kutosha kwenye mishipa kuweza kusimamisha uume.

Tuliaply physics. Tunasema small area = large pressure

Large area = small pressure.

Nini kinafanya mishipa kuwa mikubwa labda ni mfumo wa maisha au kuitumia sana
 
sijazungumzia maumbile,
nazungumzia ulegevu wa hayo maumbile ambayo ni changamoto mtambuka hivi sasa,

vijana badala ya kutumia via vya uzazi kufanya mapenzi wanatumia mdomo kuficha fedhea za ulegevu wa via vyao vya uzazi.
sababu kuu ya ulegevu wa via vya uzazi kitaalamu ni pamoja na umri,
Je, kuna sababu zingine zinazochochea changamoto hiyo hassa kwa vijana wa kisasa? :NoGodNo:
Ndiyo sababu nyingine zipo, mfano umasikini uliokithiri mitaani ni sababu nyingine

Mtu hawezi kuwa na uume wenye afya huku amesoma kwa mkopo na hana ajira wala kipato cha uhakika

Nguvu za kiume zinauhusiano mkubwa na nguvu za ubongo na utulivu wa akili

Mtu anaishi nyumba ya kupanga, hana uhakika wa kula, hana hata kg 10 tu za nyama au samaki kwenye friji yake atapata wapi uume wenye nguvu na afya?

Kwahiyo siyo umri tu, infact wanaume wengi wenye umri mkubwa sababu tayari wamejipata kimaisha wana afya nzuri kitandani kuliko vijana wenye degree walizozipata kwa mkopo na hawana ajira ya kudumu au ya kueleweka
 
Back
Top Bottom