Binadamu wa zamani hawakuwa wakizungusha sehemu zao za siri kila mtaa, na hata kama mtu akikutwa na hiyo hali walikuwa wasiri sana huwezi kukuta matangazo kama wanavyoanika mitandaoni siku hizi! Mtu amegundua maji yamezidi unga anakaza mpaka wanazeeka!nakubaliana na wwe,
lakini,
ni kwanini sasa,
hasa katika hali ya ujana? mbona hatukuskia changamoto hizi za fedheha nyakati zilizopita?
Naunga mkia hoja.Hakuna cha kufanya! Maumbile hubadilika..
Nilijua lazima kutakuwa na comment zinazohusiana na CCM kwenye huu uzi wa Kaka Yake Ruth Mkatoliki.Uchawa wa ccm huchangia katika hili, huwezi kuwa kidume kamili halafu umevaa jezi la mbogamboga.
Kuna scientific ecidence yoyote bwana mkubwa kwa haya usemayo?Sasa mtu unashindia chipsi na mikuku ya kizungu plus madawa wanayoweka kwny kila chakula kuanzia mboga za majani, matunda n.k kwann sehemu za Siri zisilegee,!??
Zinakosaje sasa wakati jitu lenyewe ni kiyazi la ccm.Nilijua lazima kutakuwa na comment zinazohusiana na CCM kwenye huu uzi wa Kaka Yake Ruth Mkatoliki.
Ipo changamoto ya uke wa mwananmke kua legevu sana, uliopoa na usio na ladha kabisa, lakini pia uume wa mwanaume kua legevu na usioweza kufanya chochot
Na mimi kilicho nileta hapa ni kuona mleta mada atakavyo tukanws kulingana misimamo yake ya kisiasaNilijua lazima kutakuwa na comment zinazohusiana na CCM kwenye huu uzi wa Kaka Yake Ruth Mkatoliki.
Siwezi kamwe kuelewana na mvaa majani katika jambo lolote la kijamii.jikite kwenye hoja bila kuweweseka gentleman,
athari za siasa zimekusukuma hadi kwenye mapenzi? dah