Ulegevu wa via vya uzazi husababaishwa na nini kingine zaidi ya umri wa muhusika?

umri ni msingi wa asili usio epukika wa chanagamoto hiyo gentleman
Kuna wasichana sitaki kuwataja majina yao nimekuta zimelegea .ila Kuna mshangaz una 38 kitu kimebana utasemaje umri?
Shida ni kutumia sana
 
jikite tu kwenye hoja gentleman ,
na ikiwa uko pointless, huna haja ya kutafuta kiki dhidi ya mwanaume kamili Tlaatlaah
Mkuu, shida yako unazunguka sana. Si ungesema tu unatatizo la uume wako kudorora na kwamba unataka wataalamu wakusaidie.

Ukiendea kuzunguka hutapata msaada maana imeandikwa mficha uchi hazai.
 
Mkuu, shida yako unazunguka sana. Si ungesema tu unatatizo la uume wako kudorora na kwamba unataka wataalamu wakusaidie.

Ukiendea kuzunguka hutapata msaada maana imeandikwa mficha uchi hazai.
Gentleman,
jikite kwenye hoja na sio porojo na kutafuta kiki,

wadau wa JF wangependa kuona pweint za maana na siyo masuala ya kutafuta tension
 
Gentleman,
jikite kwenye hoja na sio porojo na kutafuta kiki,

wadau wa JF wangependa kuona pweint za maana na siyo masuala ya kutafuta tension
Sasa naona unanichochea niongee masuala yahusuyo tiba ya uume maana unafahamu Mimi ndiye mtaalamu wake hapa JF. Sasa unapaswa uje PM tuongee jinsi nitakavyokusaidia matibabu ya tatizo lako.

Mimi si bwana yesu kwamba nitoe elimu ya Bure kuhusu tatizo lako na kuwafaidisha wengine humu.
 
Ni ngumu sana kuzungumzia maumbile kwakuwa hatuwezi kuyabadilisha Bora hata Sababu za kibinadamu ni rahisi kubadilisha
 
eleza tu na ujieleze kadiri uwezavyo but muhimu zaidi ujikite kwenye hoja mahususi mezani kuliko kujaribu kuhamisha mjadala,

wadau wa JF wangependa zaidi kujifunza na kuongeza uelewa na ufahamu wao juu ya kilicho ndani ya hoja na sio mambo ya sijui PM au kujipiga kifua na utaalamu, uganga au ushirikina, Nadhani hayo si muhimu kwenye hoja hii gentleman
 
Ok, poa naona umeshakuja PM.

Naamini tutayajenga zaidi privately.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…