Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,739
- 7,444
Rasta ni MTU poa Hanaga makuu kwahiyo hata ukiwa huna Rasta lakini hupendi maugomvi ya kitoto wewe ni rastaUmejuaje nafagilia rasta?
Rasta ni MTU poa Hanaga makuu kwahiyo hata ukiwa huna Rasta lakini hupendi maugomvi ya kitoto wewe ni rastaUmejuaje nafagilia rasta?
Picha zimezungumza mengi sana hizi.Kuna WALEVI/ WANYWAJI ni vitu viwili tofauti kabisa. Mimi ni mnywaji pia hata hayati baba wa taifa Nyerere alikuaga anakunywa.
NB. Mimi sio mtetezi wa walevi
View attachment 3390297
View attachment 3390299
Kwanini mkuu..Picha zimezungumza mengi sana hizi.
Kumbuka ni picha za matajiri zikionyesha wanatumia Alcohol kuboost energy.Kwanini mkuu..
Kwa kweriii nimekubali 100%Kumbuka ni picha za matajiri zikionyesha wanatumia Alcohol kuboost energy.
Zinaonyesha Alcohol ni kitu mojawapo kinachowapa faida fulani.
Ila Sijasema tutumie sababu matajiri wanatumia.