secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mama kwa mtoto wake lazima atoke mbali ili kumjenga mtoto wake kimaadili.Haaahaa 😆 mpaka ufike dar es salaam from Mombasa kenyaaa
Mama kwa mtoto wake lazima atoke mbali ili kumjenga mtoto wake kimaadili.Haaahaa 😆 mpaka ufike dar es salaam from Mombasa kenyaaa
OkayNear soon tuta arrange
Ulevi ni janga linaloua kimya kimya kwa njia nyingi. Kwanza ikiwa ni kutapanya pesa, ushiriki wa ngono zembe, uharibifu wa ini, figo moyo, msongo wa mawazo, shinikizo la damu, saratanu na kisukari. Binafsi nimefikia hitimisho kuwa swala la pombe huenda linaratibiwa na shetani ili kuwatumbukiza wanadamu kwenye utumwa wa dhambi, maana linapokuja swala la kuacha pombe, vita inayopiganwa kwenye nafsi huwa ni kubwa hatari. Unaweza urodhosha hasara zote ulizozipata kwenye ulevi lakini bado unajikuta umeangukia kwenye ulevi tena. Vijana tumuombe sana Mwenyezi Mungu atusaidie kushinda ulevi.Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu?
Maisha Magumu, Weekend Iwe Tamu
Let’s be real – maisha yanakandamiza! Kodi, madeni, pressure za kazini/vibaruani, kutopata ajira, mapenzi yanayovunjika ovyo… so ikifika wikiendi watu hawataki kusikia kitu chochote cha “serious.”
Ni muda wa kubadilika – kutoka kwa mtaabikaji wa wiki hadi "Mr. Enjoyment" wa usiku wa manane. Wengine wanatumia hiyo kama healing, wengine kama kiki, wengine kama kimbilio.
Lakini Vipi Wale Waliozidi Dozi?
Unakuta mtu kila weekend lazima alewe, lazima apotee hadi aokotwe. Ni kama kulewa ndio stress-reliever ya pekee aliyobakiza. Ukimuuliza anasema, “Bro unajua stress zangu?”
Lakini je, hii ni furaha au ni temporary escape tu?
Je, tunaburudika au tunaji-stress bila kujua?
Kunywa Kistaarabu au Kuwa Mlevi Mbwa?
Kulewa kila week ni kama kuwa na mpango wa kudumu na pombe. Haina tofauti na kuwa addicted.
Kama ni furaha ya kweli, kwanini ifuatiwe na hangover kali, kupoteza vitu, au kujikuta ummetext ex wako?
Na cha kushangaza zaidi – wengi wanapenda ile attention wanayoipata wakiwa wamelewa… “ulevi unatoa confidence” – kumbe confidence ya bandia.
Tujiulize...
Ukiambiwa usilewe kwa mwezi mmoja tu – je, unaweza?
Ukiambiwa weekend hii usiende club – je, inakuuma au ni sawa tu?
Ukiwa sober, unahisi maisha yako yako boring sana hadi uhitaji kileo ili yawe interesting?
Kama majibu yanauma, basi jibu tayari lipo – huwezi kusema unafurahia kama kila raha yako inahitaji gambe.
Mwisho wa Siku…
Kunywa au kulewa si kosa, lakini je, unafanya kwa sababu unajifurahisha au unajaribu kusahau maisha yako halisi?
Tufurahie, lakini tujitunze. Raha ni nzuri ikiwa haileti madhara kesho yake.
Drop Maoni Yako
Wewe huonaje? Kunywa kila weekend ni lifestyle ya starehe au ni njia ya kutoroka matatizo?
Tuongee ukweli bila kupendeleana.
Haina nouma brohNear soon tuta arrange
Mabomu nnayopigwa sio ya nchi hii maana ni zaidi ya yale IRAN au ISRAELMLETA MADA UMEJICHANGANYA maana umeuchokoza Umoja wa Wanywa Gambe (UWAGA).
Kunywa kiasi chakoPombe kitu cha ovyo Sana , kilinipotezea heshima niliyoijenga for century..
Nikapoteza funguo za gari + geti + nyumba + simu , kila nikikumbuka najiona Fala Sana.
JidanganyeMpaka kubabuka bandama 😀😀
Kuna WALEVI/ WANYWAJI ni vitu viwili tofauti kabisa. Mimi ni mnywaji pia hata hayati baba wa taifa Nyerere alikuaga anakunywa.Ulevi ni janga linaloua kimya kimya kwa njia nyingi. Kwanza ikiwa ni kutapanya pesa, ushiriki wa ngono zembe, uharibifu wa ini, figo moyo, msongo wa mawazo, shinikizo la damu, saratanu na kisukari. Binafsi nimefikia hitimisho kuwa swala la pombe huenda linaratibiwa na shetani ili kuwatumbukiza wanadamu kwenye utumwa wa dhambi, maana linapokuja swala la kuacha pombe, vita inayopiganwa kwenye nafsi huwa ni kubwa hatari. Unaweza urodhosha hasara zote ulizozipata kwenye ulevi lakini bado unajikuta umeangukia kwenye ulevi tena. Vijana tumuombe sana Mwenyezi Mungu atusaidie kushinda ulevi.
JidanganyeMpaka kubabuka bandama 😀😀
Vitu vya mawazoMarehemu Mkapa mbona alikuwa anatandika vyombo hatari sana
Unakunywa chupa ngapi TajiriSio kweli
Nakunywa kiasi tu masterUnakunywa chupa ngapi Tajiri
Respect rastaNakunywa kiasi tu master
Umejuaje nafagilia rasta?Respect rasta