Arizona 1
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 1,766
- 3,500
Ndio maana nimeanza nayo, Jana niligonga vyombo vya kufa mtu! Wine ziko ndani kama back up!Wine kumbe nayo ni pombe 😆😆 mimi naitumia kukata ulevi asubuhi.

Pombe ina starehe yake ya kipekee sanaNdio maana nimeanza nayo, Jana niligonga vyombo vya kufa mtu! Wine ziko ndani kama back up!
Mwenye Hela anakunywa glass moja tuIjumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu?
Maisha Magumu, Weekend Iwe Tamu
Let’s be real – maisha yanakandamiza! Kodi, madeni, pressure za kazini/vibaruani, kutopata ajira, mapenzi yanayovunjika ovyo… so ikifika wikiendi watu hawataki kusikia kitu chochote cha “serious.”
Ni muda wa kubadilika – kutoka kwa mtaabikaji wa wiki hadi "Mr. Enjoyment" wa usiku wa manane. Wengine wanatumia hiyo kama healing, wengine kama kiki, wengine kama kimbilio.
Lakini Vipi Wale Waliozidi Dozi?
Unakuta mtu kila weekend lazima alewe, lazima apotee hadi aokotwe. Ni kama kulewa ndio stress-reliever ya pekee aliyobakiza. Ukimuuliza anasema, “Bro unajua stress zangu?”
Lakini je, hii ni furaha au ni temporary escape tu?
Je, tunaburudika au tunaji-stress bila kujua?
Kunywa Kistaarabu au Kuwa Mlevi Mbwa?
Kulewa kila week ni kama kuwa na mpango wa kudumu na pombe. Haina tofauti na kuwa addicted.
Kama ni furaha ya kweli, kwanini ifuatiwe na hangover kali, kupoteza vitu, au kujikuta ummetext ex wako?
Na cha kushangaza zaidi – wengi wanapenda ile attention wanayoipata wakiwa wamelewa… “ulevi unatoa confidence” – kumbe confidence ya bandia.
Tujiulize...
Ukiambiwa usilewe kwa mwezi mmoja tu – je, unaweza?
Ukiambiwa weekend hii usiende club – je, inakuuma au ni sawa tu?
Ukiwa sober, unahisi maisha yako yako boring sana hadi uhitaji kileo ili yawe interesting?
Kama majibu yanauma, basi jibu tayari lipo – huwezi kusema unafurahia kama kila raha yako inahitaji gambe.
Mwisho wa Siku…
Kunywa au kulewa si kosa, lakini je, unafanya kwa sababu unajifurahisha au unajaribu kusahau maisha yako halisi?
Tufurahie, lakini tujitunze. Raha ni nzuri ikiwa haileti madhara kesho yake.
Drop Maoni Yako
Wewe huonaje? Kunywa kila weekend ni lifestyle ya starehe au ni njia ya kutoroka matatizo?
Tuongee ukweli bila kupendeleana.
Sio kweliMwenye Hela anakunywa glass moja tu
Mnywaji anamuona asiyekunywa anajitesa.Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu?
Maisha Magumu, Weekend Iwe Tamu
Let’s be real – maisha yanakandamiza! Kodi, madeni, pressure za kazini/vibaruani, kutopata ajira, mapenzi yanayovunjika ovyo… so ikifika wikiendi watu hawataki kusikia kitu chochote cha “serious.”
Ni muda wa kubadilika – kutoka kwa mtaabikaji wa wiki hadi "Mr. Enjoyment" wa usiku wa manane. Wengine wanatumia hiyo kama healing, wengine kama kiki, wengine kama kimbilio.
Lakini Vipi Wale Waliozidi Dozi?
Unakuta mtu kila weekend lazima alewe, lazima apotee hadi aokotwe. Ni kama kulewa ndio stress-reliever ya pekee aliyobakiza. Ukimuuliza anasema, “Bro unajua stress zangu?”
Lakini je, hii ni furaha au ni temporary escape tu?
Je, tunaburudika au tunaji-stress bila kujua?
Kunywa Kistaarabu au Kuwa Mlevi Mbwa?
Kulewa kila week ni kama kuwa na mpango wa kudumu na pombe. Haina tofauti na kuwa addicted.
Kama ni furaha ya kweli, kwanini ifuatiwe na hangover kali, kupoteza vitu, au kujikuta ummetext ex wako?
Na cha kushangaza zaidi – wengi wanapenda ile attention wanayoipata wakiwa wamelewa… “ulevi unatoa confidence” – kumbe confidence ya bandia.
Tujiulize...
Ukiambiwa usilewe kwa mwezi mmoja tu – je, unaweza?
Ukiambiwa weekend hii usiende club – je, inakuuma au ni sawa tu?
Ukiwa sober, unahisi maisha yako yako boring sana hadi uhitaji kileo ili yawe interesting?
Kama majibu yanauma, basi jibu tayari lipo – huwezi kusema unafurahia kama kila raha yako inahitaji gambe.
Mwisho wa Siku…
Kunywa au kulewa si kosa, lakini je, unafanya kwa sababu unajifurahisha au unajaribu kusahau maisha yako halisi?
Tufurahie, lakini tujitunze. Raha ni nzuri ikiwa haileti madhara kesho yake.
Drop Maoni Yako
Wewe huonaje? Kunywa kila weekend ni lifestyle ya starehe au ni njia ya kutoroka matatizo?
Tuongee ukweli bila kupendeleana.
Marehemu Mkapa mbona alikuwa anatandika vyombo hatari sanaMwenye Hela anakunywa glass moja tu
Kabisa binafsi mimi pia pombe imekutanisha na marafiki wa maana sana kwenye maisha yangu , watu wanachukulia poa ila kuna mishe ni ngumu kuzifanya bila kukaa na mataita na wote wanapatikana bar .Bila pombe kuna maamuzi magumu sana kwenye maisha nisingeyachukua. Heshimu pombe, Heshimu wanywaji. Pia huwa sipendi ushauri wakati nakata maji
Ni kuahilisha matatizo kwa muda kwa ganzi ya ulevi!Tamutamu bia tamu.Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu?
Maisha Magumu, Weekend Iwe Tamu
Let’s be real – maisha yanakandamiza! Kodi, madeni, pressure za kazini/vibaruani, kutopata ajira, mapenzi yanayovunjika ovyo… so ikifika wikiendi watu hawataki kusikia kitu chochote cha “serious.”
Ni muda wa kubadilika – kutoka kwa mtaabikaji wa wiki hadi "Mr. Enjoyment" wa usiku wa manane. Wengine wanatumia hiyo kama healing, wengine kama kiki, wengine kama kimbilio.
Lakini Vipi Wale Waliozidi Dozi?
Unakuta mtu kila weekend lazima alewe, lazima apotee hadi aokotwe. Ni kama kulewa ndio stress-reliever ya pekee aliyobakiza. Ukimuuliza anasema, “Bro unajua stress zangu?”
Lakini je, hii ni furaha au ni temporary escape tu?
Je, tunaburudika au tunaji-stress bila kujua?
Kunywa Kistaarabu au Kuwa Mlevi Mbwa?
Kulewa kila week ni kama kuwa na mpango wa kudumu na pombe. Haina tofauti na kuwa addicted.
Kama ni furaha ya kweli, kwanini ifuatiwe na hangover kali, kupoteza vitu, au kujikuta ummetext ex wako?
Na cha kushangaza zaidi – wengi wanapenda ile attention wanayoipata wakiwa wamelewa… “ulevi unatoa confidence” – kumbe confidence ya bandia.
Tujiulize...
Ukiambiwa usilewe kwa mwezi mmoja tu – je, unaweza?
Ukiambiwa weekend hii usiende club – je, inakuuma au ni sawa tu?
Ukiwa sober, unahisi maisha yako yako boring sana hadi uhitaji kileo ili yawe interesting?
Kama majibu yanauma, basi jibu tayari lipo – huwezi kusema unafurahia kama kila raha yako inahitaji gambe.
Mwisho wa Siku…
Kunywa au kulewa si kosa, lakini je, unafanya kwa sababu unajifurahisha au unajaribu kusahau maisha yako halisi?
Tufurahie, lakini tujitunze. Raha ni nzuri ikiwa haileti madhara kesho yake.
Drop Maoni Yako
Wewe huonaje? Kunywa kila weekend ni lifestyle ya starehe au ni njia ya kutoroka matatizo?
Tuongee ukweli bila kupendeleana.
Hawafunguki!Mama yangu huwa ananisisitiza niwaepuke wanywa vyoda kwenye michongo ya maana , sijui kwanini🤔
Wivu labdaHawafunguki!
Wachoyo piaWivu labda
Dah ila wanywa maji tunajua kuwashikia chini wanywa vyoda😆Sema wasiokunywa wanakuwa wambeawambea sana, wanafiki sana.
Wasiokunywa pia hawana umoja.Dah ila wanywa maji tunajua kuwashikia chini wanywa vyoda😆
Jambo dogo wanataka vikao,ooh Jana ulilewa sana!Sasa pombe ni mtindi ni kipimo Cha utu.Sema wasiokunywa wanakuwa wambeawambea sana, wanafiki sana.
Pombe haitaki stress na ukata, mtu ataharibu maisha yake kbs, hivyo basi watu wasinywe kutafuta faraja ya matatizo.Pombe ina starehe yake ya kipekee sana
Naunga mkono hojaMtu anapokunywa pombe kupunguza stress / kujisahaulisha stress huwa namshangaa sana , binafsi na kunywa pombe kwa vibe tu
Kabisa mimi kuna kipindi niliacha pombe na pesa zikapotea kabisa yani michongo ikawa haisomi sijui kwanini🤔Pombe haitaki stress na ukata, mtu ataharibu maisha yake kbs, hivyo basi watu wasinywe kutafuta faraja ya matatizo.