Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Mkuu kula gambe banaKwa hiyo tule tu gambe mangi?
Maisha yenye mafupi haya 😂
Mkuu kula gambe banaKwa hiyo tule tu gambe mangi?
Uzi umenikuta pahala pake , nachamba koromeo hapa😅Mkuu kula gambe bana
Maisha yenye mafupi haya 😂
Kwani permanent happiness ipogo mkuu?Wanaita temporary happiness sijui
Utoke ili iweje?Katika shimo kutoka ni mziki ni Pombe/Madawa ya kulevya
mama yako ana akili nyingi sana...anajua unafki wao mkuuMama yangu huwa ananisisitiza niwaepuke wanywa vyoda kwenye michongo ya maana , sijui kwanini🤔
Mkuu uko wapi tuungane kulisongesha? maana hata mm nimeamka nazo!Uzi umenikuta pahala pake , nachamba koromeo hapa😅
Hasara tuuuUtoke ili iweje?
Hahahahamama yako ana akili nyingi sana...anajua unafki wao mkuu
Hakuna kitu kama hicho kila kitu ni ubatili mtupuKwani permanent happiness ipogo mkuu?
Umekula lakini😆Mkuu uko wapi tuungane kulisongesha? maana hata mm nimeamka nazo!
Pombe haijawahi kumtia mtu hasaraHasara tuuu
Mkuu usimfedheheshe mleta mada, mleta mada kaleta mada nzuri sana hasa Kwa sisi wadau wa vileo!Usipangie watu matumizi!
Kila mtu anatafuta hela kwa njia anayojua yeye !
Yani mtu atafute hela kwa jasho lake, atokee mpuuzi huko ampangie matumizi ?
Mkuu sijaweka chochote tumboni, nimeamka tu home nikavuta chupa ya wine! Nitakula majira ya saa 6.Umekula lakini😆
Wine kumbe nayo ni pombe 😆😆 mimi naitumia kukata ulevi asubuhi.Mkuu sijaweka chochote tumboni, nimeamka tu home nikavuta chupa ya wine!