Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Hongera kwanza kwa kukubali shida ni ulevi.Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
First step funga mkanda , kata kila kishawishi kinacho pelekea unywr pombe? Marafiki, company, mademu, sehem za starehe. The focus kwenye mambo ya msingi hobbies
Wakati huu waliokuzoea watakucheka, watakunyooshea vidole, usivunjike moyo. After 6 month utaona kawaida na utakuwa umeipunguxa kwa kiwango kikubwa